Wapendwa wanajukwaa! Natafuta mashine ya kutotolea mayai yenye uwezo wa kubeba mayai kati ya 200 mpaka 500. ...ukiniambia mahali zinakopatikana na bei zake ntakushukuru.
Natafuta mashine ya kuangulia mayai. Mwenye info mahali zinapopatikana na bei zake kulingana na capacity. Kama hutajali na mashine ya kuchanganya chakula.
Mleta hoja yuko clear sana, lakini hao wenye mahakama yao naona wanaruka ruka tu bila kujenga hoja. Hivi miongoni mwa Waislamu hakuna hata mmoja mwenye ufahamu wa mahakama hii akatujuza msingi wa kutaka iingizwe kwenye katiba na ihudumiwe na kodi za wananchi?
Kumng'ang'ania Pinda na ajenda yake...
Je huu ni uzuzu, uzezeta, au ulimbukeni? Kwani umaarufu mpaka utoboe masikio na kuvaa heleni? Haya, hiyo haitoshi sasa wasuka twende kilioni na mkorogo wapaka.
Acheni hizo bana, mnatudhalilisha wanaume wenzenu.
Ni nafasi nzuri. Nakushauri ukubali hiyo offer. Siku hizi zinapatikana kwa shida sana. ...Hata hivyo ukisha-sign mkataba kuna ugumu fulani kupata kazi United Nations hasa kwenye DPKO, huwa inabidi u-resign kisha ukae miezi 6 ndio uwe eligible kuomba kazi kwenye DPKO. Wameweka visheria sheria...
Tangaza bei,
jamani kiwanja kinauzwa kinyerezi kinaukubwa wa mita 20 kwa 20 kimepimwa kwa tape na sio miguu. wahi sasa wasiliana na muhusika kwa namba 0768570703
Wote waliuana maana ilikuwa ni vita. Kwa kawaida wanaoshindwa vita ndio wamekufa zaidi. Kwa hapa Wahutu ndio walikimbia baada ya kushindwa. Data ambazo sio rasmi inasemekana walikufa watu 800,000. Kabla ya mauaji population ya watusi wote including watoto inasemekana ilikuwa hawazidi 500,000...
Yote haya hayana budi kutokea ili kujua mbichi na mbivu. Yawezekana damu yenu imo ndani ya CDM lakini ni damu chafu, inatakiwa kuwa drained, sio kusafishwa maana haiwezi kutakata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.