Degree bongo?
Degree bongo?
Uje nikuelekeze matumizi yake. Usisahau fungu la kumi kwa Mungu na sio Guest na pombe
HAPO NDIO UMEFUKA KAMA SIGARA INAYOUNGUA, DEGREE NI DEGREE TU HUWEZI KUIBADILI. Suala la msingi umepata kazi sio kuwashinda wenye degree. Fanya shukrani kwa Mungu wako sio kuleta majigambo hapa. Interview huwa tunaangalia vitu vingi sana sio uwezo wa kushinda interview. Nipe email yako nikutumie "Recruitment and Selection Process" usome, kutoka kwenye Principles and Practises of HR. Waliosoma HR wanajua hzo mambo
NARUDIA TENA, MSHUKURU MUNGU WAKO SIO KULETA MAJIGAMBO HUMU
hatimaye mat.---- yamelia mbwata...!
tutegemee nini kutoka kwako?
Degree bongo?
Degree bongo?
Habari yako kiongozi?
Duh! Baada ya kusota sana mtaani hatimae nimepata kazi. Ndugu zangu tusikate tamaa kuapply ipo siku utapata. Nilifanya oral na written interview sijahonga wala nini nina diploma ila nimeongoza interview zote tukichuana na wenye degree. Nashukuru wanajamii kwa yote. Confidence ni muhimu sana kuelekea kufaulu usaili japo so kwa asilimia mia moja.
Degree bongo?