usi mislead watu,UNV hamna mshahara,huwa wanapewa allowances za kujikimu,ni kubwa kwa hapa tz koz ipo interms of dollars,sema haifiki $9000,ni around $1500-2000 hivi.Take it man and don't West it, nigga huwa unasain short contract but ziko so okay, unachukua up to 5 million per month, halafu kama bado ni kijana unaweza kupata un staff ambayo utakuwa umeyapatia maisha, coz salary yao ni up to 9000 $$ so kwa ushauri wangu don't waste it, but make sure English inapanda coz wako na interview ambayo sio ya kidogo... Goodluck
usi mislead watu,UNV hamna mshahara,huwa wanapewa allowances za kujikimu,ni kubwa kwa hapa tz koz ipo interms of dollars,sema haifiki $9000,ni around $1500-2000 hivi.
Mkuu unv niliapply mpaka leo hata hawajaniita,zaidi ya kunitumia newsletters za kila mwezi,na natamani kweli kujoin hii kitu,hebu nipe maujanja uliingiaje humo?
un v ndio nini?
Mtende utakuwa umekosea tu iangalie vizuri yako mara nyingi utakuwa umekosea tu na pengine umeweka herufi kubwa wakati uliisajiri kwa small case maranyingi huwa ni case sensitive..... ukipata shida ni PM... ngoja nijibu baadhi ya post hapa,,,,, mimi kuomba masaada siku na nia ya kuwakoga nilikua nashida ya msaada wa ku compare hapa nilipo na kuko ili nianye maamuzi mazuri.. lakini pia nia yangu ilikuwa ni kuhamasisha vijana kujiuunga na UNV na volunteer services zingine maaana watu wakisikia volunteeering wanadhani ni bure imagine dolla 2600 kwa madafu ni kama 400,000,00 ni ndogo kwa kijana tena unaenda pata exposure ya nje? jaribu msiktaishwe tamaa link hii hapa tena United Nations Volunteers:Â-HomeMimi nimejaribu kujisajili ila password yangu inakataa kuwa accepted na ina 8 characters kama wanavyoitaji,nisaidie tatizo laweza kuwa nini ?
hii hapa Gemmy c lazima ujue vyote vingine unajifunza...ndo maana kuna school na mitandao ya kijamii kama JF ni kwa ajili ya kufundishana...kwa maelezo zaidi folow United Nations Volunteers:Â-Home[/QUO
Sawa kiongozi barikiwa sana mapengo junior
sasa kuna tofauti kubwa sana kati ya employed un staff na voluunteers,anyways...ulikuwa unazungumzia kitu ambacho vbeen thr done it....im right ur wrong!Soma vizuri my comment, acha kuvamia, labda nlipokosea ni badala ya up to 5 million allowances per month, nikaweka per month, which there is no big difference since it's like mshahara, and kwa taarifa yako un staff they earn up to that salary plus many allowances.... Acha kudandia treni kwa mbele, am sure of what am saying dude!?
sasa kuna tofauti kubwa sana kati ya employed un staff na voluunteers,anyways...ulikuwa unazungumzia kitu ambacho vbeen thr done it....im right ur wrong!
Kwanza kabisa namshukuru mola wangu na wenu kwa bahati hii japo sijafanya maamui bado, nimeitwa unv west africa .. Nimekuwa kwenye rosta ya unv kwa toka mwaka 2002 na nimeshitwa mara tatu moja nilikataa maana ilikua short mission ya south sudan wakati ule wa uchaguzi na nyingine ilikua ya afghanstan hii sikuiona email yako ilikua trashed kama junk mail. Jana tena wamenitumia offer nyingine ya west africa ,, naombeni msaada kwa wale walopata kufanya kazi za unv complete parkage yao huwa kiasi gani,, yaani ile take home.
Mwisho kabisa na himiza vijana kujisajili na hawa jamaa wa unv,, ni wakweli na hawana mambo ya mlango wa nyuma ukijisajili kwenye system yako unapewa rosta number yao system iki match unaitwa,, kunajamaa yangu yuko un leo alianzia hapa mwaka 1998 mpaka leo ni mwajiriwa wa un full time.
Ni nafasi nzuri. Nakushauri ukubali hiyo offer. Siku hizi zinapatikana kwa shida sana. ...Hata hivyo ukisha-sign mkataba kuna ugumu fulani kupata kazi United Nations hasa kwenye DPKO, huwa inabidi u-resign kisha ukae miezi 6 ndio uwe eligible kuomba kazi kwenye DPKO. Wameweka visheria sheria fulani vya ovyo ovyo vinavyozuia kupata kazi idara zingine za UN. Lakini watu huwa wanapenya pamoja na ukiritimba. .....All in all ni nafasi ni nzuri ukilinganisha na labda hapo nyumbani. Packages inategemea mahali unapopelekwa. Sehemu ambazo zimekuwa declared kwamba ni hazard kwa mtu mwenye dependant anaweza kupata mpaka $3650/mwezi mazagazaga yote inclusive. Note: VLA $1500, House allowance varies btn $500 - $900, Dependant allowance $500, Hazard pay $650. Sina uhakika sana na figures lakini approximation ni ya karibu sana.
Kwanza kabisa namshukuru mola wangu na wenu kwa bahati hii japo sijafanya maamui bado, nimeitwa unv west africa .. Nimekuwa kwenye rosta ya unv kwa toka mwaka 2002 na nimeshitwa mara tatu moja nilikataa maana ilikua short mission ya south sudan wakati ule wa uchaguzi na nyingine ilikua ya afghanstan hii sikuiona email yako ilikua trashed kama junk mail. Jana tena wamenitumia offer nyingine ya west africa ,, naombeni msaada kwa wale walopata kufanya kazi za unv complete parkage yao huwa kiasi gani,, yaani ile take home.
Mwisho kabisa na himiza vijana kujisajili na hawa jamaa wa unv,, ni wakweli na hawana mambo ya mlango wa nyuma ukijisajili kwenye system yako unapewa rosta number yao system iki match unaitwa,, kunajamaa yangu yuko un leo alianzia hapa mwaka 1998 mpaka leo ni mwajiriwa wa un full time.
Mtende utakuwa umekosea tu iangalie vizuri yako mara nyingi utakuwa umekosea tu na pengine umeweka herufi kubwa wakati uliisajiri kwa small case maranyingi huwa ni case sensitive..... ukipata shida ni PM... ngoja nijibu baadhi ya post hapa,,,,, mimi kuomba masaada siku na nia ya kuwakoga nilikua nashida ya msaada wa ku compare hapa nilipo na kuko ili nianye maamuzi mazuri.. lakini pia nia yangu ilikuwa ni kuhamasisha vijana kujiuunga na UNV na volunteer services zingine maaana watu wakisikia volunteeering wanadhani ni bure imagine dolla 2600 kwa madafu ni kama 400,000,00 ni ndogo kwa kijana tena unaenda pata exposure ya nje? jaribu msiktaishwe tamaa link hii hapa tena United Nations Volunteers:Â-Home