Mahakama ya Kadhi ni nini?

Mahakama ya Kadhi ni nini?

mkuu mgen,hawa watu hawawezi kuelewa kamwe,hata uwaeleweshe vipi.kuna kipindi mwaka jana nilikuwa nina semina pale Edema,jirani kabisa na chuo chao cha kiislamu,nikashangaa kuwasikia wasomi wao eti wanasema nchi hii inaendeshwa kwa mfumo kristo ndio maana hata wimbo wa taifa kuna maneno ya Kikristo kama "Mungu Ibariki".Sasa kama hao ndio vichwa,je hao walioishia kwenye elim akhera itakuwaje?
Mkuu ukiwauliza wataje Mkristo.1 tu anae-wazui wasiweke qadi hawawezi! Tunachokataa na si Wakristo tu bali hata wasio na deen na baadhi ya waislamu ni kutumika KODI yenye malengo yake, kuendeleza uislamu! Mbona hatuwalazimishi badala ya kufuga ndevu wafuge nguruwe kwa ajili ya afya na kiuchumi? Kwa nini wao watulazimishe tugharamie qadi ambaye hana manufaa kwangu?
 
Kadhi Court is diabolical and inhumane. In fact, in said Court, women are inferior and are counted as half of a man, See Quran 2: 228. The constitution of Tanzania is not in support of immoral laws of Allah who is against women from day one.

Example:

A male gets a double share of the inheritance over that of a female.
The Quran in Sura 4:11 says:
The share of the male shall be twice that of a female . . . . (Maududi, vol. 1, p. 311)

A woman’s testimony counts half of a man’s testimony.
The Quran in Sura 2:282 says:
And let two men from among you bear witness to all such documents [contracts of loans without interest]. But if two men be not available, there should be one man and two women to bear witness so that if one of the women forgets (anything), the other may remind her. (Maududi, vol. 1, p. 205).

A wife may remarry her ex-husband if and only if she marries another man, they have sex, and then this second man divorces her.
The Quran in Sura 2:230 says:
And if the husband divorces his wife (for the third time), she shall not remain his lawful wife after this (absolute) divorce, unless she marries another husband and the second husband divorces her. (In that case) there is no harm if they [the first couple] remarry . . . . (Maududi, vol. 1, p. 165)

The finally and absolutely divorced couple is not permitted to remarry each other unless she marries another man, they have sex, and he divorces her. Sura 2:230 engenders a divorce on the road to a possible reconciliation.

Why should it be necessary to have the intervening steps of a second marriage and divorce before the first couple can work out their differences and get back together?

Mkuu,

Kwa ushahidi huu Mahakama ya kadhi itakuwa ni TATIZO zaidi kuliko SULUHISHO!!
 
ISHMAEL , say yes or no,be a Muslim or no, be a woman or no, it is a system by the human designer that a woman is inferior to a MAN MORALLY
 
ISHMAEL , say yes or no,be a Muslim or no, be a woman or no, it is a system by the human designer that a woman is inferior to a MAN MORALLY

Its is Islamic and quaranic and not as you construed:

The Quran in Sura 2:282 says:
And let two men from among you bear witness to all such documents [contracts of loans without interest]. But if two men be not available, there should be one man and two women to bear witness so that if one of the women forgets (anything), the other may remind her. (Maududi, vol. 1, p. 205).

Mkuu,

Kwa ushahidi huu Mahakama ya kadhi itakuwa ni TATIZO zaidi kuliko SULUHISHO!!
Exactly Mkuu. Hakuna jema kwenye Mahakama ya Kadhi. Kama kesi inapelekwa kwa Mtu ambaye teyari hamjali Mwanamke na teyari kwake yeye Mwanamke ni inferior to man, kwasababu imani yake insema hivyo, basi elewa kuwa hakuta kuwa na haki katika hizo mahakama.

Zaidi ya hapo, kwenye hizo Mahakama hakuna kukata rufaa na wala kujitetea zaidi ya kumsikiliza Hakimu ambaye anajua Quran tu na wala hafahamu sheria za raia na haki za Binadamu.
 
Kila ukikaribia uchaguzi CCM huja na mbinu chafu za kuwagawa wananchi ili wapate kura hata kama mbinu hizo zinamatokeao mabaya kwa amani ya nchi yetu. Hivi sasa CCM wameshatupa fupa ili wananchi wakimbilie na kuacha kujadili uovu wa CCM kama vile katiba mbovu pendekezwa ya kulazimisha na ufisadi mwingi ambao viongozi wa chama tawala inaufanya.

Tunalazimika kufuata fupa hili lililorushwa na CCM ili kuzuia madhara ambayo nchi hii itayapata ikiwa tutawaachia CCM kufanya mambo machafu wapendevyo ili kubaki madarakani.

Mahakama ya kadhi ya serikali ya CCM haikubaliki kwa sababu nyingi, japo watetezi wake ambao CCM inawatumia wanakuja na sababu zao ambazo hazina msingi na zinapingana. Baadhi ya sababu zinazotolewa na wanaojiita wanazuoni wa kiislam, ambao wamewahi kutamka waziwazi kuwa Tanzania inaongozwa na mfumo kristoni ni kama zifuatazo:

1.Waislam wanafungwa na utaratibu maalum wa maisha ambao chanzo chake ni kurani na maelekezo ya mtume

2. Wanahitaji kufuata amri za mwenyezi Mungu na suna ya mtume na sheria hizo haziwezi kujadiliwa bungeni.

3. Wanahitaji mahakama ya kadhi inayokidhi mahitaji ya kijamii ya waislamu kwa sasa. Mambo yanayotajwa kwa sasa kuwa
yatashughulikiwa na mahakama ya kadhi ni ndoa, mirathi, wakfu. malezi ya watoto. Wanasisitiza kuwa mambo hayo ni mahitaji ya kijamii na siyo fahari ya kidini, hivyo wenye imani nyingine isiyo ya kiislamu wasiwe na wasiwasi.

Shida moja wapo kubwa ya mahakama ya kadhi ni kuwa serikali ya CCM inataka kulazimisha watu kushiriki imani ya kiislamu, ilimradi tu wao wapate kura. Ni njia ya kuislimisha nchi, na hii ni kuwafurahisha wale wanaodai kuwa nchi hii inafuata mfumo kristo. Hebu angalia, anayeteua kadhi na wasaidizi wake ni rais wa nchi.

Maana yake ni kwamba unajenga dhana kuwa rais anatakiwa awe muislamu kila wakati ili kukidhi matakwa ya uislamu. Ndiyo maana itakuwa vigumu kwa mkiristo kuwa rais wa Zanzibar ambako kuna mahakama ya kadhi. Kufuatia malalamiko ya watu wa imani nyingine na hasa ukristo kusema wazi kuwa kazi ya serikali si kuchagulia watu imani gani wafuate, watetezi wa mahakama ya kadhi kwa sasa wamekuja na version mpya ya utetezi. Hawataji kwa wazi kuwa mahakama ya kadhi itaamua kuhusu masuala ya Ramadhani.

Kwa ufupi, kuna hila na kujipinga kwa kauli zinazotetea mahakama ya kadhi ya serikali ya CCM. Wanasema ni mahitaji ya kijamii siyo fahari ya kidini. Wakati huo huo wanasema wanataka kufuata maelekezo ya kurani na mtume. Haya ni masuala ya imani yanayowahusu waislamu, kwa nini serikali iwe na dini?

Katiba yetu inasema serikali haina dini bali watu wanadini zao. Hivyo mahakama ya kadhi inatakiwa kuanzishwa na kuendeshwa na waislamu wenyewe siyo wananchi wote. Kuna hoja kwamba viongozi wa serikali hutumia gharama za wananchi wote kuhudhuria sherehe za kuapishwa maaskofu au mashehe.

Vitu viwili hivi ni tofauti kabisa. Kuhudhuria hizo sherehe ni adhoc, siyo lazima, hakuna matakwa yoyote ya kimfumo wa serikali. Kuweka sheria ya mahakama ya kadhi kuendeshwa na serikali ni kulazimisha kila mtu kishiriki uislamu. Unalazimishwa kulipa kodi ya kuhudumia mahakama hizo kuanzia ngazi ya kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda na taifa.

Na wahudumu katika mahakama ya kadhi ni waislamu tu, ‘makafri' kuwaruhusiwi. huu ni ubaguzi wa wazi. Kuna mtetezi mmoja anasema kuwa watu wa dini nyingine pia wanaweza kutumia mahakama ya kadhi. Hii ni kujichanganya, mara unasema ni kwa waislamu pekee kulingana na imani yao, mara unasema vingine. Mtu wa imani nyingine anahusika vipi na ibada za kiislamu. Maana mambo yanayosimamiwa na mahakama ya kadhi ni ibada. Hivyo mahakama hizi ziendeshwe na waislamu wenyewe pekee.

Kuna kitu kingine kimejificha katika madai ya mahakama ya kadhi. Kuwa mahakama ya kadhi itashuguhulika na mahitaji ya kijamii ya sasa ya waislamu. Hii inamaana kuwa mahitaji ya kijamii kwa waislamu yakibadilika, kama vile hitaji la kuhukumu wezi, waislamu watadai hitaji hilo la kijamii liongezwe katika mambo yanayoshughulikiwa na mahakama ya kadhi.

CCM inatupeleka pabaya. Kuna watu hawana dini, kuna wanaofuata dini za asili, kuna wakristo, wahindu, serikali itagharimia uendeshaji wa mahakama za dini zote hizo na wale wasio na dini? CCM kweli ni janga la taifa.
 
Watu wengi wanaojadili hasi hili swala wana mitazamo miwili. Mtazamo wa kwanza ni chuki za kiimani na mtazamo wa pili ni ujinga wa kutokujua nini mahakama ya kadhi na majukumu yake kwa nchi kama yetu ya Tanzania.

Ukiwa upo kwenye mtazamo wa kwanza, upo sahihi kwa sababu hilo ni jambo ambalo lipo moyoni mwako na kama huwezi kupambana na ashki za moyo wako basi litaendelea kuwepo tu kama vumba la samaki wa maji ya ngama.

Na kama upo kwenye mtizamo wa pili basi ni kuendelee kuongeza kiwango cha ujinga kujadili na kulitolea maoni jambo ambalo huma elimu au ufahamu nalo.
 
Tanzania ni nchi yenye mchanganyiko wa watu wenye imani tofauti. Pamoja na utofauti wetu ki imani lakini pesa zote tunaweka kwenye kapu moja, hivyo kwa vyovyote vile kama Serikali ikilazimisha pesa za kwenye kapu la watu wa imani tofauti zinufaishe imani nyingine kutatokea msuguano ukizingatia kuwa nchi yetu bado ni masikini, yaani tunategemea misaada ya kutoka nje ya nchi lakini eti tutengeneze chombo kingine kitakachogharimu pesa.

Baada ya utangulizi huo napenda kuwashauri waislam hivi:

Waislam waanzishe mahakama zao za kadhi kutokana na sheria itakayowekwa hasa kwenye aina za kesi zinazoruhusiwa kushughulikiwa na Mahakama ya kadhi. Kama kweli waislam wanaona Mahakama ya kadhi ni muhimu sana katika maisha yao, basi kila muislam alieajiriwa serikalini au mashirika binafsi nk, kila mwezi akatwe asilimia kadhaa kwenye Mshahara wake/Pato lake na zipelekwe kwenye account ya Mahakama ya kadhi, kama vile tunavyokatwa kwenye NSSF, TRA nk. Mkifanya hivyo mtaweza kuendesha mahakama zenu kwa gharama zenu bila

Hao watu ni manyang'au. Tutakula nao sahani moja, wasitulazimishe kila mtu ashiriki imani isiyomhusu, eti tu wapate kura.

wakina nani hao , swala halijakubaliwa na wala halitopitishwa , zaid ya JF kuna sehemu nyngne umewakuta watu wakijadili ama hata kulikumbuka?
 
mashodi

ujinga wako ni kuwa hujajua kiini cha malalamiko, tatizo sio hiyo mahakama tatizo ni serikali kuhusishwa
 
Last edited by a moderator:
Tanzania ni nchi yenye mchanganyiko wa watu wenye imani tofauti. Pamoja na utofauti wetu ki imani lakini pesa zote tunaweka kwenye kapu moja, hivyo kwa vyovyote vile kama Serikali ikilazimisha pesa za kwenye kapu la watu wa imani tofauti zinufaishe imani nyingine kutatokea msuguano ukizingatia kuwa nchi yetu bado ni masikini, yaani tunategemea misaada ya kutoka nje ya nchi lakini eti tutengeneze chombo kingine kitakachogharimu pesa.

Baada ya utangulizi huo napenda kuwashauri waislam hivi:

Waislam waanzishe mahakama zao za kadhi kutokana na sheria itakayowekwa hasa kwenye aina za kesi zinazoruhusiwa kushughulikiwa na Mahakama ya kadhi. Kama kweli waislam wanaona Mahakama ya kadhi ni muhimu sana katika maisha yao, basi kila muislam alieajiriwa serikalini au mashirika binafsi nk, kila mwezi akatwe asilimia kadhaa kwenye Mshahara wake/Pato lake na zipelekwe kwenye account ya Mahakama ya kadhi, kama vile tunavyokatwa kwenye NSSF, TRA nk. Mkifanya hivyo mtaweza kuendesha mahakama zenu kwa gharama zenu bila

Wewe unakatwa kodi kwa ajili ya kuendesha mahakama ya kazi i mean kazi sio kadhi unajua? Unakatwa kodi kwa kwa kuendesha baraza la usuluhishi fair competition tribunal ambayo wafanya biashara wakubwa tu linawahusu..wewe unanufaika nini la kodi unayokatwa kuendesha hizo mahakama na mabaraza? Unadhani waislam hawachangii chochote kwenye misamaha ya kodi inayopata makanisa?..akili yako na ubongo wako imejaa ukungu mzito huoni wala huwezi kufikiria zaidi ya hapo..upo upo tu kama zuzu flani
 
Mleta hoja yuko clear sana, lakini hao wenye mahakama yao naona wanaruka ruka tu bila kujenga hoja. Hivi miongoni mwa Waislamu hakuna hata mmoja mwenye ufahamu wa mahakama hii akatujuza msingi wa kutaka iingizwe kwenye katiba na ihudumiwe na kodi za wananchi?
Kumng'ang'ania Pinda na ajenda yake ya kisiasa si sawa kabisa. Mtamliza Mzee wa watu kama alivyolizwa na mauaji ya Albino. Suppose msukumo unatoka kwa Tunu, unatarajia nini hapo?!
 
Wewe unakatwa kodi kwa ajili ya kuendesha mahakama ya kazi i mean kazi sio kadhi unajua? Unakatwa kodi kwa kwa kuendesha baraza la usuluhishi fair competition tribunal ambayo wafanya biashara wakubwa tu linawahusu..wewe unanufaika nini la kodi unayokatwa kuendesha hizo mahakama na mabaraza? Unadhani waislam hawachangii chochote kwenye misamaha ya kodi inayopata makanisa?..akili yako na ubongo wako imejaa ukungu mzito huoni wala huwezi kufikiria zaidi ya hapo..upo upo tu kama zuzu flani

Mkuu nimesema kila muislam akatwe kiasi fulani cha fedha kwenye mshahara wake kwa ajili ya kuendesha mahakama ya Kadhi, kosa langu nini? Ama hukuelewa
 
Mkuu nimesema kila muislam akatwe kiasi fulani cha fedha kwenye mshahara wake kwa ajili ya kuendesha mahakama ya Kadhi, kosa langu nini? Ama hukuelewa
waislamu wote una uhawakika wanafanya kazi
 
Sheria gani iwekwe? Kwa nini serikali itunge sheria kwa ajili ya waislam tu? Kwa akili zao wanadhani shida zao zitaisha kwa mahakama ya kadhi.

Waislam wanatakiwa wakae chini ili wajue ni kitu gani kinachowafanya wawe na malalamiko na madai yasiyo isha.

waangalie, walillia chuo kikuu, wakapewa, bado kimewashinda.

Wakalilia kuchinja mifugo, wanaendelea kuchinja lakini maslahi ya kuchinja kule wanayajua wao.

Wamelilia kuvaa hijabu shule za seriakli, wameruhusiwa, na kama hijabu hazijawasaidia kuongeza ufauli hadi wanachakachuliwa marks, na suala la mimba liko kama kawaida . Maslahi ya hijabu wanayajua wao.

Wamelilia madaraka, 60% ya mawaziri wote ni waislam, bado kuwa na mawaziri wote hapa, wanajua nini kimebadilika kwao.

Wakuu wa mikoa 70% wamepangwa waislam, bado waislam wana lalamika tena kwa fujo.

Raisi wa nchi mwislam tena mdini than ever, bado waislam wanalalamika.

Makamu wa raisi musilam, bado hawaridhiki.

Wameambiwa waandike MOA yao ka ajili ya miradi yao, hawajui inaandikwaje na kuomba misaada kanisani hawataki wanaishia kulalama.

Migawanyiko na marumbano yaaisyoisha miongoni mwao, yanawatafuna lakini hawajui tatizo lao liko wapi.

Sasa wanalazimisha serikali iwaanzishie wizara ya sheria za kiislam na mahakama yao. Hii mahakama ndiyo jibu la matatizo na migongano ya kijamii iliyomo ndani ya uislam?

Ninachokiona, hawa watu hawajui wanataka nini, hawajui matatizo yao ni nini, na wanachofanya ni kuhangaika kutafuta nguvu ya serikali kuwalazimisha wa comply na imani yao.

Kama Kadhi ni ibada, wafanye hko huko misikitini. Hatutaki serikal yetu iwe na mambo ya kidini ka kuwa ni kinyume cha katiba.

Tanzania ni nchi yenye mchanganyiko wa watu wenye imani tofauti. Pamoja na utofauti wetu ki imani lakini pesa zote tunaweka kwenye kapu moja, hivyo kwa vyovyote vile kama Serikali ikilazimisha pesa za kwenye kapu la watu wa imani tofauti zinufaishe imani nyingine kutatokea msuguano ukizingatia kuwa nchi yetu bado ni masikini, yaani tunategemea misaada ya kutoka nje ya nchi lakini eti tutengeneze chombo kingine kitakachogharimu pesa.

Baada ya utangulizi huo napenda kuwashauri waislam hivi:

Waislam waanzishe mahakama zao za kadhi kutokana na sheria itakayowekwa hasa kwenye aina za kesi zinazoruhusiwa kushughulikiwa na Mahakama ya kadhi. Kama kweli waislam wanaona Mahakama ya kadhi ni muhimu sana katika maisha yao, basi kila muislam alieajiriwa serikalini au mashirika binafsi nk, kila mwezi akatwe asilimia kadhaa kwenye Mshahara wake/Pato lake na zipelekwe kwenye account ya Mahakama ya kadhi, kama vile tunavyokatwa kwenye NSSF, TRA nk. Mkifanya hivyo mtaweza kuendesha mahakama zenu kwa gharama zenu bila

mahakamaha ya kadhi kutambuliwa tanzania waislamu msasahau kabisa huu ndo ukweli serikali ya ccm inacheza na akili zenu kama walishindwa viongozi wenu wakiwa ndani ya bunge la katiba mpaka katiba iliyopendekezwa ikapita basi mtegemee tena kupata nafasi kama hiyo tena ..mnapoteza muda wenu kuipigia kelele mahakama za kadhi labda mfanyie huko misikitini kibabe .
 
Wewe unakatwa kodi kwa ajili ya kuendesha mahakama ya kazi i mean kazi sio kadhi unajua? Unakatwa kodi kwa kwa kuendesha baraza la usuluhishi fair competition tribunal ambayo wafanya biashara wakubwa tu linawahusu..wewe unanufaika nini la kodi unayokatwa kuendesha hizo mahakama na mabaraza? Unadhani waislam hawachangii chochote kwenye misamaha ya kodi inayopata makanisa?..akili yako na ubongo wako imejaa ukungu mzito huoni wala huwezi kufikiria zaidi ya hapo..upo upo tu kama zuzu flani

Usitumie Nguvu mkuu, hayo mabaraza is ya kiimani, misamaha ya kodi hata waislam wanapata kwa taasisi zao. bado tunashauri waislamu muendeshe mambo yenu kwa gharama zenu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
waislamu wote una uhawakika wanafanya kazi
Kwa wale wanaofanya kazi, hasa walioajiriwa ni rahisi kukata pesa zao, wale wafanya biashara wapeleke michango yao wenyewe kwa sababu Mahakama ni kwa ajili yao
 
Back
Top Bottom