Recent content by Ndekango Jr

  1. Ndekango Jr

    Shamba linauzwa Handeni

    Hekari 127 zipo Handeni Komkonga Bei kwa heka 600,000 - Tunakata na kuuza kuanzia heka 30 -Shamba limesafishwa -Linafaa kulima mahindi, mkonge, machungwa na mazao mengine -Lina hati ya mauziano ya serikari za mitaa na minute ya kikao cha uthibisho - Call 0785670285 if interested
  2. Ndekango Jr

    Picha: Makonda kamrithi Mwigulu?

    At least you spoke the truth Watu wengi humu sana hawafuatilii vitu wanacomment kwa hearsays na hallucinations
  3. Ndekango Jr

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    Alikuwa department gani na miaka ipi
  4. Ndekango Jr

    Mnyukano mkali kati ya Zitto, Mwigulu na Profesa Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings)

    Atleast you have narrated it very well Watu wanaongelea reinvestment in 6 months bila kujua cashflow position ya companies Records reported on financial statement ni historic henceforth retained earnings reported not necesarily company iwe na hiyo cash flow of the same amount
  5. Ndekango Jr

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Halaaa Madrid
  6. Ndekango Jr

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa nini Bisaka asirudi kwenye back 3 na Lindelof acheze kama wingback??
  7. Ndekango Jr

    Nahitaki pumba Dar es Salaam kwa bei poa

    Nahitaji tani kumi Njoo pm tuyajenge
  8. Ndekango Jr

    Mama J, shabiki wa Yanga

    Njoo whatsapp
  9. Ndekango Jr

    Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

    Wanakodishaje mkuu Na nikitaka kununuua bei zipoje
  10. Ndekango Jr

    Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

    Hiyo mishahara ni gross au net
  11. Ndekango Jr

    Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

    Hiyo 6m ni gross au net
Back
Top Bottom