Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 3,584
- 7,471
Ingekuwa ni hiyari mimi nisingekubali kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii. Tangu walipofanya yale mabadiliko ni vilio tu kila mahali.
Hii imekuwepo muda mrefu.... ukiwa umepoteza kazi kwa kufukuzwa au mkataba kuisha, pesa huwa wanakupa. Ila ukiacha kazi mwenyewe hupewi mkuu.ajira yake imekoma au ameachishwa kazi
Nasikia kuna dawati maalum la afisa usumbufu.... yaani huyo ukifika kwanza anakukatisha tamaa hutakaa uamini, na nalipwa vzr kwa kusumbua wateja!!Wakuu,
Fao la Kujitoa kwa waajiriwa lilifutwa toka mwaka 2018 kipindi cha Magufuli ambapo likabadilishwa na kuwa Fao la Kukosa Ajira, kikokotoo kikaingia kazini ambapo mtu akiachishwa kazi au ajira yake kuisha alikuwa anapewa asilimia 33% ya mshahara wako wa mwisho kwa muda wa miezi 6 na baada ya hapo utakaa miezi 18 wakiashumu kuwa utakuwa umepata kazi ndani ya muda huo, na ikiwa hautakuwa umepata kazi basi ndio utaweza kupewa pesa yako iliyobaki!
Kikokotoo hicho kimeleta milio mingi, unashikiliaje pesa ya mtu muda wote huo wakati angeweza kufanya mtaji akajikwamua kimaisha? Kwanini akope na afe kwa madeni wakati hela zake zipo?
Baada ya mivutano mingi hatimaye sheria ilibadilishwa Disemba 18, 2025 na kurudisha Fao la Kutoa (kama jinsi ilivyochapishwa na Gazeti la Serikali Disemba 26, 2025), ambapo mtu ataweza kupewa hela zake zote ikiwa ajira yake imekoma au ameachishwa kazi. Mwenye michango akienda kupewa mafao yake anatakiwa kujulishwa juu ya machaguo haya mawili;
1. Unaweza kuchukua mafao yako yote (Lump Sum)
2. Unaweza kuchukua mafao yako kwa njia ya kikokotoo (ukichagua hapa hutaruhusiwa kurudi tena kwenye Lump Sum ikiwa umeshaanza kuchukua michango yako)
Kwa mwenye michango chini ya miezi kumi na nane (18) atapewa hela yake yote fasta bila kusubiri chochote mara tu ajira yake itakavyokoma, na kwa mwenye michango zaidi ya miezi 18 atatakiwa kusubiri siku tisini (90) na kwenda kuomba apatiwe mzigo wake wote.
Kanuni zilianza rasmi kutumika Februari 19, 2026. Lakini utekelezaji wake umekuwa changamoto!
- Kwanza, NSSF wenyewe hawajatangaza kwa umma kuhusu mabadiliko haya, yaani yamepita kimya kimywa wakati ni suala lenye maslahi ya umma ambapo wananchi wanatakiwa kutaarifiwa ili waweze kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo linaloathiri maishiri yao. NI KWANINI?
- Wananchi wakienda kuomba mafao yao hawajulishwi kuwa wana machaguo mawili ya kupewa mafao yao (yote au kwa kikokotoo - kidogo kidogo), hivyo unakuta mtu anapewa chaguo la 33% automatically. NI KWANINI?
- Wananchi wakienda kudai mafao yao na kuchagua kupewa pesa zao zote (Lump Sum) hawapewi, wengine wanaambiwa hawawezi kupewa mpaka (NSSF) wapewe maelezo "Kutoka Juu", huku wengine wakikanusha kuwa hakuna kitu kama hicho! NI KWANINI?
NSSF kwanini mnawataabisha Watanzania huku pesa ni zao? Kuna ajenda gani mnajaribu kuificha hapa? Au hela hakuna mnashindwa kuwaambia wananchi ukweli?
Najua mnapita humu, Wananchi wanataka MAJIBU!
Msaada kiongoziUnaweza kudai pesa zako hata sasa ukikubali kuliwa kidogo.
Duh!Nasikia kuna dawati maalum la afisa usumbufu.... yaani huyo ukifika kwanza anakukatisha tamaa hutakaa uamini, na nalipwa vzr kwa kusumbua wateja!!
Ngoja nikutafutie namba umuone mtu pale, Bongo kila kitu kimchongomchongo tu.Msaada kiongozi
Naomba muongozo wa hili
Hii mifuko ya jamii imegeuzwa kuwa vitega uchumi vya CCM. Juzi Rais Samia alimnunulia gari mama Kayumba lenye thamani ya Tsh milioni 100. Pesa za mchezo mchezo kama hizi huwa zinachotwa kwenye mifuko ya jamii. Ikiwemo.NSSF na PSSSF. Ifike wakati serikali ya CCM iache kuchezea fedha za wastaafu.Wakuu,
Fao la Kujitoa kwa waajiriwa lilifutwa toka mwaka 2018 kipindi cha Magufuli ambapo likabadilishwa na kuwa Fao la Kukosa Ajira, kikokotoo kikaingia kazini ambapo mtu akiachishwa kazi au ajira yake kuisha alikuwa anapewa asilimia 33% ya mshahara wako wa mwisho kwa muda wa miezi 6 na baada ya hapo utakaa miezi 18 wakiashumu kuwa utakuwa umepata kazi ndani ya muda huo, na ikiwa hautakuwa umepata kazi basi ndio utaweza kupewa pesa yako iliyobaki!
Kikokotoo hicho kimeleta milio mingi, unashikiliaje pesa ya mtu muda wote huo wakati angeweza kufanya mtaji akajikwamua kimaisha? Kwanini akope na afe kwa madeni wakati hela zake zipo?
Baada ya mivutano mingi hatimaye sheria ilibadilishwa Disemba 18, 2025 na kurudisha Fao la Kutoa (kama jinsi ilivyochapishwa na Gazeti la Serikali Disemba 26, 2025), ambapo mtu ataweza kupewa hela zake zote ikiwa ajira yake imekoma au ameachishwa kazi. Mwenye michango akienda kupewa mafao yake anatakiwa kujulishwa juu ya machaguo haya mawili;
1. Unaweza kuchukua mafao yako yote (Lump Sum)
2. Unaweza kuchukua mafao yako kwa njia ya kikokotoo (ukichagua hapa hutaruhusiwa kurudi tena kwenye Lump Sum ikiwa umeshaanza kuchukua michango yako)
Kwa mwenye michango chini ya miezi kumi na nane (18) atapewa hela yake yote fasta bila kusubiri chochote mara tu ajira yake itakavyokoma, na kwa mwenye michango zaidi ya miezi 18 atatakiwa kusubiri siku tisini (90) na kwenda kuomba apatiwe mzigo wake wote.
Kanuni zilianza rasmi kutumika Februari 19, 2026. Lakini utekelezaji wake umekuwa changamoto!
- Kwanza, NSSF wenyewe hawajatangaza kwa umma kuhusu mabadiliko haya, yaani yamepita kimya kimywa wakati ni suala lenye maslahi ya umma ambapo wananchi wanatakiwa kutaarifiwa ili waweze kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo linaloathiri maishiri yao. NI KWANINI?
- Wananchi wakienda kuomba mafao yao hawajulishwi kuwa wana machaguo mawili ya kupewa mafao yao (yote au kwa kikokotoo - kidogo kidogo), hivyo unakuta mtu anapewa chaguo la 33% automatically. NI KWANINI?
- Wananchi wakienda kudai mafao yao na kuchagua kupewa pesa zao zote (Lump Sum) hawapewi, wengine wanaambiwa hawawezi kupewa mpaka (NSSF) wapewe maelezo "Kutoka Juu", huku wengine wakikanusha kuwa hakuna kitu kama hicho! NI KWANINI?
NSSF kwanini mnawataabisha Watanzania huku pesa ni zao? Kuna ajenda gani mnajaribu kuificha hapa? Au hela hakuna mnashindwa kuwaambia wananchi ukweli?
Najua mnapita humu, Wananchi wanataka MAJIBU!
Wakuu,

Daaah noma sana nimenyimwa ela zangu NSSF kisa eti investigator aliniona nimetoka private (NSSF) sector ila nipo hazina(govt-PSSF)sharti la kupataa fao la kukosa ajira moja ni barua ya mwajiri wako awe amekufukuza kazi, ukijifukuzisha hupati fao lalo,nahisi mwajiri wako amesoma mchezo vizuri ,ila kuna room ya kuiomba compliance officer wa eneo anaemkagua mwajiri wako kupenyesha agenda ya kupata barua ya kuachishwa kazi yoka kwa mwajiri wako labda hapo utapata haki yako,lakini hakikisha huna kazi kama una kazi ni ngumu
Hii imekutokea lini mkuu?Daaah noma sana nimenyimwa ela zangu NSSF kisa eti investigator aliniona nimetoka private (NSSF) sector ila nipo hazina(govt-PSSF)
Wadau mna weza nisaidia?
Pengine hii inasubiriwa itangazwe Mei MosiWakuu,
Fao la Kujitoa kwa waajiriwa lilifutwa toka mwaka 2018 kipindi cha Magufuli ambapo likabadilishwa na kuwa Fao la Kukosa Ajira, kikokotoo kikaingia kazini ambapo mtu akiachishwa kazi au ajira yake kuisha alikuwa anapewa asilimia 33% ya mshahara wako wa mwisho kwa muda wa miezi 6 na baada ya hapo utakaa miezi 18 wakiashumu kuwa utakuwa umepata kazi ndani ya muda huo, na ikiwa hautakuwa umepata kazi basi ndio utaweza kupewa pesa yako iliyobaki!
Kikokotoo hicho kimeleta milio mingi, unashikiliaje pesa ya mtu muda wote huo wakati angeweza kufanya mtaji akajikwamua kimaisha? Kwanini akope na afe kwa madeni wakati hela zake zipo?
Baada ya mivutano mingi hatimaye sheria ilibadilishwa Disemba 18, 2025 na kurudisha Fao la Kutoa (kama jinsi ilivyochapishwa na Gazeti la Serikali Disemba 26, 2025), ambapo mtu ataweza kupewa hela zake zote ikiwa ajira yake imekoma au ameachishwa kazi. Mwenye michango akienda kupewa mafao yake anatakiwa kujulishwa juu ya machaguo haya mawili;
1. Unaweza kuchukua mafao yako yote (Lump Sum)
2. Unaweza kuchukua mafao yako kwa njia ya kikokotoo (ukichagua hapa hutaruhusiwa kurudi tena kwenye Lump Sum ikiwa umeshaanza kuchukua michango yako)
Kwa mwenye michango chini ya miezi kumi na nane (18) atapewa hela yake yote fasta bila kusubiri chochote mara tu ajira yake itakavyokoma, na kwa mwenye michango zaidi ya miezi 18 atatakiwa kusubiri siku tisini (90) na kwenda kuomba apatiwe mzigo wake wote.
Kanuni zilianza rasmi kutumika Februari 19, 2026. Lakini utekelezaji wake umekuwa changamoto!
- Kwanza, NSSF wenyewe hawajatangaza kwa umma kuhusu mabadiliko haya, yaani yamepita kimya kimywa wakati ni suala lenye maslahi ya umma ambapo wananchi wanatakiwa kutaarifiwa ili waweze kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo linaloathiri maishiri yao. NI KWANINI?
- Wananchi wakienda kuomba mafao yao hawajulishwi kuwa wana machaguo mawili ya kupewa mafao yao (yote au kwa kikokotoo - kidogo kidogo), hivyo unakuta mtu anapewa chaguo la 33% automatically. NI KWANINI?
- Wananchi wakienda kudai mafao yao na kuchagua kupewa pesa zao zote (Lump Sum) hawapewi, wengine wanaambiwa hawawezi kupewa mpaka (NSSF) wapewe maelezo "Kutoka Juu", huku wengine wakikanusha kuwa hakuna kitu kama hicho! NI KWANINI?
NSSF kwanini mnawataabisha Watanzania huku pesa ni zao? Kuna ajenda gani mnajaribu kuificha hapa? Au hela hakuna mnashindwa kuwaambia wananchi ukweli?
Najua mnapita humu, Wananchi wanataka MAJIBU!
NSSF Wenyewe wapo kimyaWakuu,

Jan 2026Hii imekutokea lini mkuu?
Kwa severe financial crisis inayokuja duniani kuna mambo serikalini yatabadilika watumishi wa umma watashangaa sana kwa mfano serikali itake isitake italazimika kuwalipa watumishi wake based on performance maana serikali itakuwa na pesa kidogo sana za kuwalipa watumishi mishahara.Kenya wameanza mkakati wa kuajiri serikalini kwa mikataba. very soon huu utaratibu utaanza TZ. Hatuwezi kuafford kuajiri watu on permanent and pensionable basis. Hata mataifa yaliyoendelea hayafanyi hivi.
Taratibu tutafika tuu.
WamechelewaKwa severe financial crisis inayokuja duniani kuna mambo serikalini yatabadilika watumishi wa umma watashangaa sana kwa mfano serikali itake isitake italazimika kuwalipa watumishi wake based on performance maana serikali itakuwa na pesa kidogo sana za kuwalipa watumishi mishahara.
Halijawahi kuzuiwa sema MAGUFULI alileta uhuni wa kuzuia watu wasichukue PESA zao ,enzi za kikwete ndani ya wiki tatu tu unachukua mzigo wako.Wakuu,