Hii nadhani itakuwa ngumu kidogoNow,our main focus ni hiyo Jumatano...
Kwa huu ubingwa, naona next week tunawatoa hao watoto
Shida yetu concentration kwenye defense. Marking hua sio kabisa.. Tukiweza ku defend vizuri tunashinda bila mashaka.Game itakua ngumu sitegemei madrid kama tuta deliver ngoja tusubiri hadi iyo j5
Wakuu hivi Takefesu Kubo anaendeleaje?
Rodrigo na Vinicious, Camavinga, Mendy, Varvede Vijana wanafuture nzuri sana
Kwa mambo wanayoyafanya sinamashaka nao, vijana wamekomaa angalia namna wanavyojifunza, angalia work rate yao, assist zao walivyowatulivu uwanjani Sina wasiwasi naoBado msimu mmoja tuone kama wata deliver. Natamani waendelee kupewa muda zaidi wa kucheza. Nafikiri hizi game zilizobaki laliga zinawatosha.
Wish nije nione timu iko na cebalos, Valverde, camavinga, rodrigo, vin

35Mbona hakuna hata picha za kubeba ubingwa![]()