wanatia hasir hawa viumbe hatari!!!mawazo yao wanafikiri kutambulishwa jujuuu ndo guarantee,hawatambui kuw hakuna mwanamke anaetaka kukaa ktk mahusiano kama fasion,hakuna mtu asotaka progress kutoka hatua moja kwenda nyngne ktk mahusiano,nlichoobserve n kwamba type hizi za wanaume ni wazito...
Changu since last year Dec sijawah lipishwa till morning hiii nmeangalia habari,ni free tu na sta
r times may be inataegemea na aina ya kingamuzi chenyewe
Mwngie hata akuone unahangaika vipi atakutizama km mpicha,km hakujui vile,kuna wanaume wanamijiroho mibaya jamani,uhangaike na mtoto upike ufue,ufanye kazi zooote lenyewe limevimba tuu kwny kochi,mpyuuuuu
Nikiwa naona post kama hizi nafarijika kumbe bado kuna watu wa aina hii ya mtazamomm kam mwanamke,ni wanaume wachache wanaoappriciate uwepo na umhimu wa mwanamke katika familia,I appriciate your post,be blessed
Naomba niamsha saa kumi na moja asubuhi baby" weka alam mm ntakuwa na ucngzi" hahahaa,baby mwezi huu ntakuwa hali mbaya kiuchumi naomba nisapot walau kwa pesa kidogo"unamshahara jua kupangilia na uwe na malengo"" looooh ngachokaaa
Sijakuelew lengo lako ni nini hasa!ujue kilichosafishwa na kungarishwa na Mungu huwezi chafua hata siku Moja,TANZANIANS they fallen in love with this guy u know!! huwambii kitu at,ukijaribu kumchafua utachafuka wewe!!! hhahaah utasubiri sanaaaa na bado...
Kwa karesch kangu kadogodogo nlokafanya nmeona almost kila dish la azam basi kuna kishumbusi cha statamz pembeni,coz yan nn ukalipie 15,20 .....tsh uangalie local channel za Azam akat unawez ziangalia free kwa kishumbusi cha statamz,yamebaki kama makumbusho kwamba waliwahi miliki Azam dish
Anaogopa kufanya maamuzi anajua fika kuwa akikuruhusu muachane hata yeye nafsi itamuuma vilevile,na anafikiria atarudije kuomba huo msamaha,watu wa ivo hawataki kutamka kwa kuhofia kujutia maamuzi badae,kinachofanyika ni mtajikuta mnaachana kimya kimya ili iwe rahisi kurudiana kwa kuwa hajatamka...
Hata siku moja usiwe mwepesi kukata tamaaa kiasi hicho,weka bidii katika kutafuta na si kulalamika,usibase sana kutafuta serikalini ndg yangu hata privet omba kuwa hata intern au volunteer watu wanaanza chini kabisa mwsho wa siku utatoka, Nina Experience na hiyo situation nlisota mwaka miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.