Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanaogopa wake zao

ni kweli hii, mimi naamini mwanamke akiwa na ushawishi mwema kwa mume atamweshim na atafanyia kazi mawazo yake, nimeolewa na najitahidi kutumia nguvu yangu ya ushawishi kwa mume na ninaona maendeleo kiukweli. Tatizo wanawake wengi wanataka kuwatawala waume zao kinguvu na hapo ndipo shida huanzia
Hakika wewe ni mke mwema kabisa, yani mwanamke na akili zake akipendwa ndio linakuwa kosa anataka apande kichwani kabisa anye hapohapo, mwanamke wa hivyo ni zuzu peke yake ndio atakayevumilia upuuzi huu.

Mleta mada somehow naye ni walewale ameshakamatwa na akakamatika anadhani uzoba ni uniform kwa kila mwanaume.

Mwanaume kamili kabla ya kuinvest project yoyote tunafanya research ya kutosha then ndio tunajitosa, sasa mke akikataa hiyo ni shauri yake cha msingi si pesa ya mke ninayoinvest, na dunia ya leo successful people ni wale tu risk takers.

Nachukia sana viwanaume kama hawa kila mnaloongea wanaume anapeleka kwa mkewe kwa ajili ya maamuzi wakati wanawake wengi kwenye mambo yao huamuwa wenyewe na ukupa taarifa baadaye akipenda.

Huu uzungu uzungu unaondoa hata maana ya mwanaume na kumfanya Mungu kama mjinga wakati anafanya uumbaji.
 
Mkuu, mimi kwa uzoefu wangu ndani ya familia yangu mwenyewe na mke wangu, naona upo sahihi 100%.
Vilevile uzoefu wangu kwa maeneo mengi nilikolelewa; yaani kwa wazazi wangu na aunt zangu n.k hayo mambo yapo kama ulivosema. Miradi ambayo alianzisha mzee au anko bila baraka za mkewe mingi niliyoishuhudia ilikufa! Halafu mradi ukishakufa utasikia mke anasema" si nilikwambia hukutaka kunisikiliza?". Kwakweli haya mambo yapo. Waliooa au kulelewa kifamilia ni mashahidi wa hili
 
Siwezi kumuogopa my wife hata siku moja, na Mungu anisaidie kwa hilo. Lakini ninamuheshimu sana, na nazidi kumuomba Mungu nimheshimu. Utaishije na mtu unayemuigopa?
Mi nafikiri hujamuelewa mtoa mada, ni matumizi ya lugha tu, nafikiri hata ukisoma mantiki nzima ya alichokiandika ni heshima kwa wake zetu ambayo kimsingi ni ngumu sana kutenganisha heshima na woga.
 
Mkuu, mimi kwa uzoefu wangu ndani ya familia yangu mwenyewe na mke wangu, naona upo sahihi 100%.
Vilevile uzoefu wangu kwa maeneo mengi nilikolelewa; yaani kwa wazazi wangu na aunt zangu n.k hayo mambo yapo kama ulivosema. Miradi ambayo alianzisha mzee au anko bila baraka za mkewe mingi niliyoishuhudia ilikufa! Halafu mradi ukishakufa utasikia mke anasema" si nilikwambia hukutaka kunisikiliza?". Kwakweli haya mambo yapo. Waliooa au kulelewa kifamilia ni mashahidi wa hili
Unajuwa nyinyi ndio mnaitwaga matutusa, Scandinavia bus service imekufa, kwahiyo kama mke alishauri mume asifunguwe ule mradi na mume akafunguwa ule mradi unataka kutuaminisha mume alikosea?
Hizi ndio poor IQ akili za salon unaziindorse kwenye ubongo wako, mwanamke ambaye hajui hata knowledge ya ecomics anaweza vipi kukushauri project za kuinvest. Mapenzi yasiwatie upofu kiasi hichi. Labda kama upo kwenye level ya kufikiria kuanzisha biashara za M-pesa, duka la mikate, vipodozi n.k tegemea ushauri wa mke na achana na professional consultant.
 
Hao wanawake unaowataja hapo kweli wapo wapo sana tu,
lakini hali halisi ya ndoa za sasa ni nadra sana kuwapata wanawake wa aina hiyo katika jamii yetu hii ya sasa imebaki baadhi tu ya jamii,
Mwanamke wa sasa yuko tayari kushirikiana na mtu wa nje hata kukutapeli.anaweza kushirikiana na mfanyabiashara kukuongezea bill,yuko tayari kukuletea bill hewa mradi tu apate pesa,
mpaka kuna wakati unajiuliza mtu hivi ulitakiwa kuowa mwanamke wa aina gani katika maisha yako
 
Umenikumbusha mbali sana; juzi kati hapo kuna ndugu yake na wife (ndugu yake kabisa, tumbo 1) alikua ana hama to another place so kulazimika kuuza baadhi ya asset zake including some business, mtu wa kwanza kumfikiria alikua ni mimi shemeji yake (niwe mnunuzi) Ukweli aliponiambia nilikubali kwa 100% nikiwa pia nina uhakika hi kitu mbona ya kaka wa wife; kurudi nyumbani na kumpa deal hilo; wife akalitolea nje hilo wazo na tena akaanza kuniambia ni kwanini anapinga ununuzi wa vitu hivyo; alinishawishi kusema ukweli and wazo hilo likawa terminated! MWanamke ana nguvu sana ya ushawishi. But sorry, hivi hata haya mateso ya humu duniani si ni kwasababu ya lile tunda alilokula Hawa na akamshawishi na Adam KULA!? A strong man like Adam akajikuta ame fall into big mess hadi kwa wanawe (ambao ndio sisi) Kwa Wakristo, ugomvi wa Waarabu na Israel pia chanzo ni mwanamke, huyu ndiye aliyemshawishi mumewe (Ibrahim) apige issue kwa house girl wake na binti yule akamzaa Ishmail ambaye ndiye mzazi wa Waarabu na motto mwingine ndiye mzazi wa Wayahudi leo na watu hawa hawatakuja kupatana hata siku 1, tatizo ni nguvu ya ushawishi wa mwanamke. Hakuna mwanaume mwenye nguvu kubwa kwa mkewe, nakubaliana na mleta HOJA.
 
Mahubiri ya Mch Dr. Gwajima yanasema mwanaume ni kiumbe kamili na hakihitaji hata kuoa. Mafanikio yapo kama kawaida, nimenukuu baadhi ya mahubiri ya huyo bwana ambayo yanapatikana ktk mafundisho yake ya "Siri ya Kusubiri kabla ya ndoa, Uoe au Uolewe na nani?"
Adam angelikuwa kamili asingepewa Eva...labda hukuelewa somo la mchungaji vizuri..
 
Unajuwa nyinyi ndio mnaitwaga matutusa, Scandinavia bus service imekufa, kwahiyo kama mke alishauri mume asifunguwe ule mradi na mume akafunguwa ule mradi unataka kutuaminisha mume alikosea?
Hizi ndio poor IQ akili za salon unaziindorse kwenye ubongo wako, mwanamke ambaye hajui hata knowledge ya ecomics anaweza vipi kukushauri project za kuinvest. Mapenzi yasiwatie upofu kiasi hichi. Labda kama upo kwenye level ya kufikiria kuanzisha biashara za M-pesa, duka la mikate, vipodozi n.k tegemea ushauri wa mke na achana na professional consultant.
Upo sahihi kwa jinsi ulivotafsiri, mm kadhalika nipo sahihi. Mke mara nyingi hakatai kitu ukimuelewesha kwa uzuri. Tunachosema hapa ni kulazimisha mambo bila hata kuwa na mutual understanding. Mke hakatai kitu chenye manufaa ya familia, akikataa na umemuelewesha vyema unapaswa kutafakari kwa kina na sio kulazimisha.
 
Nikiwa naona post kama hizi nafarijika kumbe bado kuna watu wa aina hii ya mtazamomm kam mwanamke,ni wanaume wachache wanaoappriciate uwepo na umhimu wa mwanamke katika familia,I appriciate your post,be blessed
 
Hujaelewa, si kwamba hatuapreciate wanawake, hapana ila kuna wanawake nadhani ndivyo walivyofundishwa na mama zao kulazimisha kumtawala mwanaume hiki ndicho wenye akili sawasawa tunakipinga, kuna wanawake tabia hizi wamezirithi kwa mama zao, nina umri wa kutosha kuyachanganuwa na kuyatambuwa haya mambo vizuri sana.

Naandika haya through my experience kwa kuona na siyo kihisia, kuna mdau mmoja humu wa kike aliwahi kuandika ndoa ya vijana wa sasa itakayokuwa na amani basi mama wakwe wawe wameshakufa, kitu ambacho kina ukweli mtupu na kamwe hutosikia baba wakwe ndio wenye chokochoko kwenye ndoa za watoto zao.
 
ni kweli hii, mimi naamini mwanamke akiwa na ushawishi mwema kwa mume atamweshim na atafanyia kazi mawazo yake, nimeolewa na najitahidi kutumia nguvu yangu ya ushawishi kwa mume na ninaona maendeleo kiukweli. Tatizo wanawake wengi wanataka kuwatawala waume zao kinguvu na hapo ndipo shida huanzia
Kweli wewe ni ladyfocus...unaangalia mbali
 
hv ni kweli wanawake wanakomaa kiakili haraka kuliko wanaume?
 
Nikiwa naona post kama hizi nafarijika kumbe bado kuna watu wa aina hii ya mtazamomm kam mwanamke,ni wanaume wachache wanaoappriciate uwepo na umhimu wa mwanamke katika familia,I appriciate your post,be blessed
Amen.Thanx mkuu
 
Wanaume waliosoma wengi ndo wanaongoza ktk tabia hizi. Lakini wasiosoma ni wababe kwa wake zao
 
binadamu wote ni sawa na sio sawa, ni sawa interms of mwanamke na mwanaume wote have their own strengths and weaknesses.

Na binadamu wote sio sawa kwa persepective kwamba tuna uwezo tofaut wa kufikiri na maamuzi kutokana na genetics na mazingira tuliyokulia(elimu, exposure, experience n. k).

Pamoja upo sawa in your judgement lakin maamuzi yako yapo subjective zaidi na experience uliyopata kutoka kwa mkeo. Ila objectively experience hazifanani. Shukuru umepata mke mwema.
Nakubaliana na wewe.
 
Hakika wewe ni mke mwema kabisa, yani mwanamke na akili zake akipendwa ndio linakuwa kosa anataka apande kichwani kabisa anye hapohapo, mwanamke wa hivyo ni zuzu peke yake ndio atakayevumilia upuuzi huu.

Mleta mada somehow naye ni walewale ameshakamatwa na akakamatika anadhani uzoba ni uniform kwa kila mwanaume.

Mwanaume kamili kabla ya kuinvest project yoyote tunafanya research ya kutosha then ndio tunajitosa, sasa mke akikataa hiyo ni shauri yake cha msingi si pesa ya mke ninayoinvest, na dunia ya leo successful people ni wale tu risk takers.

Nachukia sana viwanaume kama hawa kila mnaloongea wanaume anapeleka kwa mkewe kwa ajili ya maamuzi wakati wanawake wengi kwenye mambo yao huamuwa wenyewe na ukupa taarifa baadaye akipenda.

Huu uzungu uzungu unaondoa hata maana ya mwanaume na kumfanya Mungu kama mjinga wakati anafanya uumbaji.
Ni mtazamo wako tu mkuu...After all u dont know anything about me. Kwa uzoefu wangu wanaume wanaojitapa kama wewe hamna lolote.Real niggaz like me stays quite but deadly...
 
Mkuu, mimi kwa uzoefu wangu ndani ya familia yangu mwenyewe na mke wangu, naona upo sahihi 100%.
Vilevile uzoefu wangu kwa maeneo mengi nilikolelewa; yaani kwa wazazi wangu na aunt zangu n.k hayo mambo yapo kama ulivosema. Miradi ambayo alianzisha mzee au anko bila baraka za mkewe mingi niliyoishuhudia ilikufa! Halafu mradi ukishakufa utasikia mke anasema" si nilikwambia hukutaka kunisikiliza?". Kwakweli haya mambo yapo. Waliooa au kulelewa kifamilia ni mashahidi wa hili
Uko vizuri kichwani mkuu...
 
Back
Top Bottom