Wanawake wenye Ndevu. Tuelimishane

Wanawake wenye Ndevu. Tuelimishane

Ni maumbile tu; Mambo ya hormonal imbalance hayo, sio issue.

Tatizo letu ni uelewa mdogo wa mambo haya, si unajua elimu yetu tena. Wenzetu huko ulaya hawahangaiki na haya tena, awareness ni kubwa kwao.

Anyways, google zaidi.
Una ndevu?
 
Wana element za kiume hao kuolewa mpaka amtongoze mwanaume ila nowdays. Vyakula ndo vinasababisha
 
Unakuta mwanamke ana kipara alafu ana ndevu.! Kuna mmoja nmewahi kumuona ana sharubu kabisa
 
Kuna wanawake wengine wana ndevu nyingiii halafu sijui kwanini hawatoi,wafanye waxing ya sukari hazitoota haraka,yani mpaka unasikia kichefuchefu..

NIMPENDENANI;
Kichefuchefu kwa kumwangalia mwenzio!! Dah! Hapo umezidi. Miye natamani nimpate mwenye zile za kifuani nizae naye sijui hilo toto litakuwaje likiwa la kiume.
Mambo ya nje si kitu, kitu ipo ndani ya 6x6. Anatosheleza?? Ati kumtambulishaukweni, weye ulipoenda kwao walikuonaje? Usijali wasemavyo watu; Kipenda roho hula nyama mbichiiiii.
 
Ni maumbile tu; Mambo ya hormonal imbalance hayo, sio issue.

Tatizo letu ni uelewa mdogo wa mambo haya, si unajua elimu yetu tena. Wenzetu huko ulaya hawahangaiki na haya tena, awareness ni kubwa kwao.

Anyways, google zaidi.
hIVI KUNA WAZUNGU WANAWAKE WENYE NDEVU?
 
Kuna sababu kadha wa kadha zinazosababisha mwanamke kuota vinyweleo au nywele mahali ambapo si pa kawaida kwa mwanamke lkn vinyweleo hivyo vikiota kwa mwanamme ni hali ya kawaida.
Wengi wamekuw na mwitikio tofauti wanapoona au kusikia mwanamke ana ndevu au vinyweleo vingi kupita kiasi ktk mwili wake.
Mfano ni NIMPENDENANI anajisikia kichefuchefu pale anapoona mwanamke mwenye hali hii na baadhi ya wanaume kuamini kuwa mwanamke wa hali hii huwa na bahati sana ya kiuchumi.

Sababu kuu inayotokea kuwa na vinyweleo vingi kupita kiasi au kuota vinyweleo kama ndevu ni kutokana na mparanganyiko wa homone ktk mwili wa mwanamke. Jambo hili husababishwa na sababu hizi pamoja na nyinginezo.
1. Kuongezeka kwa kiwango cha testesterone mwilini. Kawaida mwili wa mwanamke una hormone hii kiwango kidogo ukilinganisha na mwanamme, homorne hii husababisha makuzi ya kijinsia wakati wa kubarehe, huchochea mabadiliko ktk sauti, kuota nywele sehemu za siri na kuboresha misuli pamoja na mifupa. Kwa hiyo ikiwa kiwango hiki kiko juu mwanamke hupata sifa hizo ambazo ni za kawaida kbs kwa mwanamme.

2. Kukosekana au kuharibika kwa receptor za testesterone homone na kupelekea kujaa mwilini.

3. Kupata tatizo la tezi ya adrenali( adrenal gland) ambayo ndio injini inayozalisha Dihydroepiandrosterone(DHEAS) ambayo ni mali ghafi ya kutengeneza testesterone.
5. Kuongezeka kwa hormone ya cortisol mwilini hii huweza kusababishwa na adrenal gland hyperplasia n kuzalisha kwa wingi hormone hii nakupelekea mwanamke kuwa na vinyweleo vingi hali iitwayo Hirsutism.

6. Kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini au corticosteroids zinazotokana na madawa ya hospitalini na baadhi ya cream au mafuta ya kujipaka, madawa ya ngozi ya kutibia allergy, dawa hizi za hospitali hupaswa kutolewa na madaktari kutokana na matatzizo mbalimbali lkn pia ni mchanganyo mzuri kwa kuboresha hali ya ngozi kwa wadada na huweza kuzitumia kwa mda mrefu bila maelekezo kutoka kwa wataalam.

7. Zingatia maelezo namba saba, sababu nyingin muhimu sana ya kuzingatia kwa mwanamke ni mabadiliko ya mfumo wa hormone na kuanzia kwenye ubongo ( hypothalamus)hadi kwenye mfuko wa mayai(Ovary)
Hali hii kutokana na sababu zisizoweza kueleweka zaidi husababisha mtu kuzalisha hormone yakawaida ya testesterone au kuota kwa uvimbe unaozalisha testesterone nyingi. Hali hii humbatanana na vifuko(cysts) kwenye ovary.

Mwanamke anaweza kuona baadhi ya viashilia vya polycystic ovarian syndrome( many cysts on the ovary); anaweza kuwa na mabadiliko ktk mtiririko wa hedhi( menstral irregularities) hasa mwanamke anapokuwa bado ktk umri chini ya miaka 40.

Hivyo basi mabadiliko ya hedhi, kuota vinyweleo vingi kama ndevu na mahali pengine, kubadilika sauti na kuwa nzito kama ya kiume ni dalili kuwa uwezo wa kuzaa( fertility) hushuka kwa mwanamke huyu. Lkn wana maumbile kama ya mwanamke mwingine na uroda kama kawa kwahiyo msiogope kuwatokea au kuwagegeda.
Wadau kumekuwa na ongezeko la wanawake wenye ndevu
na kwa ujumla wanawake hawa wamekuwa wanapata shida sana ikija swala la kuolewa.

View attachment 339820

Kijana wa kiume anapata shida kwenda kumtambulisha kwao wakati mwanamke ana ndevu kuzidi hata za baba mkwe.
Ebu tujuzane wadau, Hii mambo inasababishwa na nini? Je inamaana gani kwa mwanamke?

View attachment 339816

Wana wake wa aina hii wanasuti ya nne!
Tuelimishane ili tuwasaidie wadada wapate wachumba waolewe.
 
Watu kana ninyi kwenye jamii mtafutiwe sehem maalumu iwe rahisi kufikiwa na wenye haja.
Kuna sababu kadha wa kadha zinazosababisha mwanamke kuota vinyweleo au nywele mahali ambapo si pa kawaida kwa mwanamke lkn vinyweleo hivyo vikiota kwa mwanamme ni hali ya kawaida.
Wengi wamekuw na mwitikio tofauti wanapoona au kusikia mwanamke ana ndevu au vinyweleo vingi kupita kiasi ktk mwili wake.
Mfano ni NIMPENDENANI anajisikia kichefuchefu pale anapoona mwanamke mwenye hali hii na baadhi ya wanaume kuamini kuwa mwanamke wa hali hii huwa na bahati sana ya kiuchumi.

Sababu kuu inayotokea kuwa na vinyweleo vingi kupita kiasi au kuota vinyweleo kama ndevu ni kutokana na mparanganyiko wa homone ktk mwili wa mwanamke. Jambo hili husababishwa na sababu hizi pamoja na nyinginezo.
1. Kuongezeka kwa kiwango cha testesterone mwilini. Kawaida mwili wa mwanamke una hormone hii kiwango kidogo ukilinganisha na mwanamme, homorne hii husababisha makuzi ya kijinsia wakati wa kubarehe, huchochea mabadiliko ktk sauti, kuota nywele sehemu za siri na kuboresha misuli pamoja na mifupa. Kwa hiyo ikiwa kiwango hiki kiko juu mwanamke hupata sifa hizo ambazo ni za kawaida kbs kwa mwanamme.

2. Kukosekana au kuharibika kwa receptor za testesterone homone na kupelekea kujaa mwilini.

3. Kupata tatizo la tezi ya adrenali( adrenal gland) ambayo ndio injini inayozalisha Dihydroepiandrosterone(DHEAS) ambayo ni mali ghafi ya kutengeneza testesterone.
5. Kuongezeka kwa hormone ya cortisol mwilini hii huweza kusababishwa na adrenal gland hyperplasia n kuzalisha kwa wingi hormone hii nakupelekea mwanamke kuwa na vinyweleo vingi hali iitwayo Hirsutism.

6. Kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini au corticosteroids zinazotokana na madawa ya hospitalini na baadhi ya cream au mafuta ya kujipaka, madawa ya ngozi ya kutibia allergy, dawa hizi za hospitali hupaswa kutolewa na madaktari kutokana na matatzizo mbalimbali lkn pia ni mchanganyo mzuri kwa kuboresha hali ya ngozi kwa wadada na huweza kuzitumia kwa mda mrefu bila maelekezo kutoka kwa wataalam.

7. Zingatia maelezo namba saba, sababu nyingin muhimu sana ya kuzingatia kwa mwanamke ni mabadiliko ya mfumo wa hormone na kuanzia kwenye ubongo ( hypothalamus)hadi kwenye mfuko wa mayai(Ovary)
Hali hii kutokana na sababu zisizoweza kueleweka zaidi husababisha mtu kuzalisha hormone yakawaida ya testesterone au kuota kwa uvimbe unaozalisha testesterone nyingi. Hali hii humbatanana na vifuko(cysts) kwenye ovary.

Mwanamke anaweza kuona baadhi ya viashilia vya polycystic ovarian syndrome( many cysts on the ovary); anaweza kuwa na mabadiliko ktk mtiririko wa hedhi( menstral irregularities) hasa mwanamke anapokuwa bado ktk umri chini ya miaka 40.

Hivyo basi mabadiliko ya hedhi, kuota vinyweleo vingi kama ndevu na mahali pengine, kubadilika sauti na kuwa nzito kama ya kiume ni dalili kuwa uwezo wa kuzaa( fertility) hushuka kwa mwanamke huyu. Lkn wana maumbile kama ya mwanamke mwingine na uroda kama kawa kwahiyo msiogope kuwatokea au kuwagegeda.
 
NIMPENDENANI;
Kichefuchefu kwa kumwangalia mwenzio!! Dah! Hapo umezidi. Miye natamani nimpate mwenye zile za kifuani nizae naye sijui hilo toto litakuwaje likiwa la kiume.
Mambo ya nje si kitu, kitu ipo ndani ya 6x6. Anatosheleza?? Ati kumtambulishaukweni, weye ulipoenda kwao walikuonaje? Usijali wasemavyo watu; Kipenda roho hula nyama mbichiiiii.
Nadhani hujaona wenyenazo nyingi jirani yetu anazo halafu hazitoi zimesokotana zina mvii na hajali hata ukimwambia
anasema anaona tabu kuzikosa,sasa wakigombana na sister wake anamwambia wewe ndio mana huolewi
mwanamke gani una ndevu mie naishia kucheka tuu........
 
Hahhahaaa duuuh, nimecheka lkn sio mazuri.
Dada mtu anakosea kumdhihaki kosa lisilo lake la kimaumbile tu, hata hivyo kama kuna vinyweleo hadi kumfanya mtu apoteze urembo wake anapaswa kushauriwa vizuri kwa nia njema,.kuna cream/ dawa salama kabisa kwa ajili ya kuondoa vinyweleo zimejaa madukani anaweza kutumia ngozi yake ikakaa smooth.
Nadhani hujaona wenyenazo nyingi jirani yetu anazo halafu hazitoi zimesokotana zina mvii na hajali hata ukimwambia
anasema anaona tabu kuzikosa,sasa wakigombana na sister wake anamwambia wewe ndio mana huolewi
mwanamke gani una ndevu mie naishia kucheka tuu........
 
9c71ddf95a7a2f9b2da7b307e8700bc0.jpg
5dbd620f4b7f2299c78a5ca5f13aee5e.jpg
Acheni kunizingua, mpenzi wangu huyu anazo ndevu na wala sioni tatizo, nampenda saaaaaaaaana
 
Mwe kumbe sio walemavu wa viungo na wadada wenye watoto tu ndio wanaobagulia kumbe hata wadada wenye ndevu pia hua wanabagulia mmh Yesuuu rudi baba tunaangamia
 
Back
Top Bottom