Laana ya mwanamke

Laana ya mwanamke

kuna mtu hadi leo namuombea mabaya hadi arudi kuomba msamaha! khhaa!
 
kuna mtu hadi leo namuombea mabaya hadi arudi kuomba msamaha! khhaa!
Bado unampenda!! Ukiona huwezi kumtoa mtu moyoni, una kisirani nae...bado una hisia kali kwake.
Badala ya kuendelea, unajirudisha nyuma. Ukisahau na ku move on, maisha yanasonga bila shida...
 
kuna mtu hadi leo namuombea mabaya hadi arudi kuomba msamaha! khhaa!
Ukikaa kumuombea mtu mabaya kamwe haji kupatwa na mabaya..
Chanzo cha kuachana ni kipi?
Ww ulikuwa mwaminifu kwake?
Hukuwahi kumkosea?

Halafu mambo mengne mtambue kuwa kila jambo hupangwa na Mungu kuoana au kutooana kwenu Mungu aliyapanga hayo.. Kwan kulikuwa na mkataba gani kuwa lazma muoane?
 
hakyanani sijui nilioshewa nini utotoni, halafu huwa nasamehe kabisa na kusahau ila wanakuja wenyewe na magoti juu...chaa pole yao
Huo ndio ujanja sasa...na ni kweli ukiwapotezea...wanarudi mikono nyuma...
 
Shosti tupe ujuzi waliaji basi lolest
ujuzi ni kusamehe, kusahau na kumuombea atambue alipokosea...si watu wote hukusudia kutuumiza...na si mahusiano yote lazima yaende utakavyo..kuna kipindi Mungu hutuepusha na makubwa sana..if you were good atarudi tu kuomba msamaha...
 
80% ya men tungekuwa na laana hadi sasa. Yaani tuzini wote halafu laana ya mzinzi mmoja wa kike ndio peke yake iwe na nguvu? So sie tukila vibuti hatunaga laana?
 
Hili ni kwa Wanawake tu, ukimsomesha mwanamke harafu akakukimbia yeye hapatwi na tatizo. Kuna wanawake wengi tu wamewafanyia wanaume
Pia kuna wanawake waliwakaataa wanaume na mahari ishatolewa ...ikarudishwa
leeeeoooo mpk keshoooo hawajaolewa...so km ni laana yatoka kotekote....mi nasema laana yatoka kwa Mungu
 
mbona sisi wanaume tunaumizwa sana na kupotezewa mda na tunalia sana ina maana laana zetu hazifiki au??? this world is NOT fair for real. God correct this problem
 
Mie moyo wangu una kisebengo, hata mtu anitende vipi, nitamsamehe tu kwa moyo mmoja. Najua kulia mimi jamani, but Nikimaliza tu nashusha pumzi "Mungu Ahsante kwa yote", afu namalizia kale kamsemo kangu "I don't lose people, people lose me" lol.
Ntakuwa tu na hasira wiki za kwanza, hapo mtu asinitafute sio kwa hilo povu ntakalomtolea, but huyo baadaye nasamehe na kusahau. Kukaa na kinyongo moyoni kunaniumiza zaidi mimi mwenyewe na hakuna kitu nachovalue kama my peace of mind, siruhusu mtu au kitu kiniharibie furaha yangu, Never. And thank God moyo wangu una space tu kwa ajili ya Mungu na kwa ajili ya watu wachache ninaowapenda sana. No space kwa ajili ya chuki au kinyongo

So tujifunze tu kusamehe hata bila kuombwa msamaha.
1. Ili tusizuie baraka zetu
2. For your peace of mind. Kwa nini mtu mwingine akukoseshe amani? She/he isn't that much worth. Afu imagine kuishi juu juu kusubiri mtu aanguke, bahati mbaya kuna muda kila unavyosubiria aanguke ndo yeye anazidi kubarikiwa na msamaha hakuombi hahaha
3. You have learnt your lesson. Kuna muda we learn some lessons in a very hard way, kiasi kama ingekuwa unaambiwa tu kwa maneno bana kuna A, B, C usingeelewa hadi yakukute. Despite maumivu na Kila kitu, lakini kila mahusiano yana somo nyuma yake. Shukuru Mungu umepata somo lako mapema, litumie vizuri.

Mnaotenda wenzenu, endeleeni tu... mtakipata
Hahaha umetoa ujumbe mzuri dear
 
ujuzi ni kusamehe, kusahau na kumuombea atambue alipokosea...si watu wote hukusudia kutuumiza...na si mahusiano yote lazima yaende utakavyo..kuna kipindi Mungu hutuepusha na makubwa sana..if you were good atarudi tu kuomba msamaha...
Leo umeamkaje? Naona umeongea point sana
 
Baadhi ya wanaume wamekumbwa na hilo tatizo hawajatambua chanzo.....Wapo ambao hawana watoto na ujana wao waliwakataa
 
Kwakweli kusamehe ni mhim!
Lkn linapokukuta ni ngum ni kuomba Mungu tu uweze kusamehe!

Na wengi ni wahanga wa hii wamewaumiza wengine ss wanateseka bt hawajui kwann mambo yao hayaendi
 
Hakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
mmh! ANGELITA kwanini usimsamehe bila yeye kuja kukuomba msamaha? Kumbuka kuna kusamehe bila kuombwa msamaha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom