Wewe unatafuta laana toka kwa allah, kwa sababu unazusha uongo, hakuna aya hiyo kwenye QUR'AN tukufu.
sisi waislam tunaheshimu na kuamini vitabu vyote viilivyoshushwa kwa mitume wote(zaburi, torati, injili, na qur'an). Ndio maana hatutukani maandiko ya mwenyezimungu. Kwani yesu kwetu sisi ni...