Waislam msiende liliondo- redio kheir

Wakati wa DECI mlikusanyana pale Sabasaba Kilwa Road mkasema maneno haya haya. Oooh Yesu anagawa utajiri, kwa Mungu yanawezekana! mwisho ukweli ukajulikana kuwa ilikuwa ni SCAM! Nashangaa wale maaskofu walioshadidia hili hawakuwaomba radhi!

Leo unakuja ushetani mwingine watu mnaleta stori zilezile! Soon ukweli utajulikana msije mkabadilisha kauli hapa!

La msingi, nani aliyepimwa na kuthibitika ana HIV antumia ARV akaenda huko kwa babu akapona? Apimwe tuthibitishe kuwa kapona! Msitulee stori za imani imani hapa!
nimekuchukia hata jina unalotumia halikufai manake haliendani na matendo yako.Imnai haipimwi hospitali,wacha wanaoamini waende na ww pia kapime kisukari nk.
 
Hizi dini tulizorithi au kupokea zinatupeleka pabaya sasa!

Watu wanajitafutia tiba mbadala, wengine wako busy na vipaaza sauti wakiwakataza! tuone itakavyokuwa.

HUU UDINI UNATUFUNDISHA NINI HAPA TANZANIA?

Nilisikitika sana jana niliposikiliza mawaidha kwenye misikiti 3 tofauti juu ya hilo.

Tena nilikuwa napita barabarani mchana saa saba kwa dakika tofauti matamshi yanafanana mahala tofauti,nahisi ni ajenda ndani ya misikiti kadhaa.Hii ni hatari kwanini wanawasemea waislamu wengine?kwani wao hawawezi kufanya maamuzi yao kwakuwa hakuna anayelazimishwa.
 
Hivi mi naumwa kiukwelii nimeingia huko msikintini miaka kibao sijapona leo naambiwa kuna dawa inaponya nisiende! labda kama walioambiwa hivyo hawana akili timamu. Ila kwa sasa nakubaliana nao wasubiri kwanza tutibiwe foleni ikiisha wataenda
 
Jana kulikuwa na mjadala na kuwataka waislam kuacha kwenda liliondo. walisema hio ni dawa ya kiini macho. walisema kama kuna mtu amepowa kwa dawa hiyo ajitokeze waziwazi kabla ya kupoa akiuumwa nini na sasa apime aonyeshe kwamba kama kweli amepoa.
waliwataka waislam kuachana na kabisa dawa hiyo wanayoita ni DECI

Imani ya baba haimponyi mwana. Suala la matibabu ni la mtu mmoja mmoja na kwa imani yake
 
Kula kiboga na kunywa dawa ipi ni dhambi kubwa? hawa jamaa wanaongoza kwa kula viboga wenzao ila hilo hawaoni km ni dhambi.
Sasa babu hajawaita watu, kila mtu anajiendea kwa shida zake wasituletee uzandiki wao hapa kwanza hizo ni moja ya zile redio mbao.

hawajui km kiranja wao alishatinga kwa babu na sasa yuko fit wakamuulize yeye kwanza kabla ya kutangaza upuuzi km huo.
 
Kumbe ni kweli, yaani kiranja wao huyuhuyu ninayemjua mie!
 
Nafikiri nyinyi walevi coz uislam unakataza tiba yoyote inayomtoa m2 ktk uislam kwa mfano uimbe yesu mungu ili upone au ndo kweli wakristo wandawazimu coz munakula nguruwe ambao ISSA{A.S}yesu alimtoa mtu kichaa akawapa nguruwe au amujui hilo nakuhusu sheikh yahya anachofanya kinapingana na uislam 100% ndo maana tunataka mahkama ya KADHI iwashughulike wa2 wa aina yahya lkn nyinyi mnapinga inatupa wasiwasi wengi wa wateja wa yahya ni wakristo ndo maana hawataki mahkama ya kadhi itamuondoa mshirikina mwenzao ictoshe km huyo babu kaoteshwa na mungu ni uongo na usanii coz kunawa2 wanatibu mafigo moyo bt hawajasema kama wameoteshwa
 
Tiba kwanza, niwe na afya njema nipate nguvu za kupiga swala tano msikitini.
 
Wakati wa DECI mlikusanyana pale Sabasaba Kilwa Road mkasema maneno haya haya. Oooh Yesu anagawa utajiri, kwa Mungu yanawezekana! mwisho ukweli ukajulikana kuwa ilikuwa ni SCAM! Nashangaa wale maaskofu walioshadidia hili hawakuwaomba radhi!

Leo unakuja ushetani mwingine watu mnaleta stori zilezile! Soon ukweli utajulikana msije mkabadilisha kauli hapa!

La msingi, nani aliyepimwa na kuthibitika ana HIV antumia ARV akaenda huko kwa babu akapona? Apimwe tuthibitishe kuwa kapona! Msitulee stori za imani imani hapa!

Hujalazimishwa kwenda wala hujaitwa na Babu,ukiona haifai nenda kapewe mihirizi yenu huko kwa shk yahya ,tuache sisi tunaoamini Yesu ni muweza twende! I blv one kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri yakwamba Yesu Kristo ndie Bwana,na nimponya na ni njia ya uzima wa milele!! Kwa hyo hata ukishawishi watu kwa jinc yeyote ile bado wokovu na uponyaji upo palepale,sana sana unajichelewesha njoo kwa Yesu akufungue kwasababu upo kifungoni mwa ibilisi!
 
Waislamu uwa hawapelekwi kibubusa na vyombo vya habari. Kwanini hao wagonjwa wa kwa babu wanaogopa kupimwa ? Ukimwi una vipimo, chukua mgonjwa mpime kisha mpe dawa halafu pima tena. Kama ukimwi umeisha ndo tuamini lakini kuelezwatu kwa mdomo häitoshi tuamini. Shida ya ukiristo ni kuaminishwa vitu ambavyo havipo. VIBWETERE, DECI, VIWETE KUPONA.
 
Nafikiri nyinyi walevi coz uislam unakataza tiba yoyote inayomtoa m2 ktk uislam kwa mfano uimbe yesu mungu ili upone au ndo kweli wakristo wandawazimu coz munakula nguruwe ambao ISSA{A.S}yesu alimtoa mtu kichaa akawapa nguruwe au amujui hilo nakuhusu sheikh yahya anachofanya kinapingana na uislam 100% ndo maana tunataka mahkama ya KADHI iwashughulike wa2 wa aina yahya lkn nyinyi mnapinga inatupa wasiwasi wengi wa wateja wa yahya ni wakristo ndo maana hawataki mahkama ya kadhi itamuondoa mshirikina mwenzao ictoshe km huyo babu kaoteshwa na mungu ni uongo na usanii coz kunawa2 wanatibu mafigo moyo bt hawajasema kama wameoteshwa

Kweli ibilisi anaku2mia vema! Hivi kwa akili yako ukiangalia waganga(wachawi) wengi wapo dini gani? Or majina yao yapo dini gani!? Na majini (mapepo) yanajulikana kwa majina ya dini gani? Na watu wadini gani wanaangaishwa namapepo na mihirizi wanayoiabudu kama miungu yao? Mahakama yakadhi? Wewe mwendawazimu nini? Umeckia hii nchi ni ya kwenu peke yenu? Shirikisha ubongo wako unapojitosa humu jamvini si unatalk none sense,yahya shee wenu(mganga wenu) leo unamkataa? Hatua nzuri ipo cku utamkiri YESU KRISTO KUWA NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO,NA YEYE PEKEE NDIE NJIA YA UZIMA WA MILELE...
 
Waislamu uwa hawapelekwi kibubusa na vyombo vya habari. Kwanini hao wagonjwa wa kwa babu wanaogopa kupimwa ? Ukimwi una vipimo, chukua mgonjwa mpime kisha mpe dawa halafu pima tena. Kama ukimwi umeisha ndo tuamini lakini kuelezwatu kwa mdomo häitoshi tuamini. Shida ya ukiristo ni kuaminishwa vitu ambavyo havipo. VIBWETERE, DECI, VIWETE KUPONA.
 
Nasikitika kwamba sikuiona thread yako mapema, nafikiri kwenda na kutokwenda kwa Specialist ni hiari ya mtu mwenyewe, sasa wenzangu, marafiki zangu waislam mkianza hata mambo personal mnataka myatolee tamko ninashindwa kuwaelewa na itafikia wakati hata wenzenu wenye nia mzuri watawakimbia,
Ninashauri masuala yanayohusu ibada, sherehe za dini, matukio ya dini haya yasimamiwe na dini lakini tusifike mbali huko, watataka kujua waumini wako wanamatatizo na wanaishije nchi nzima utaweza?
 
wenzetu wabinafsi sana cha msingi tiba ipatikane na mungu ni mmoja.
 
mbona hata siku moja wakristo hawajawahi kutumia vyombo vyao vya habari kuwakataza wakristo wasiende pale Mwembechai kwa sheikh yahya?
Kwa sababu wateja wake wengi ni wakristo.
Ningependa kusikia siku moja
maaskofu wamezuia waumini wao kwenda kwa sh.yahya kwani mtakuwa mmetusaidia kumpiga vita mshirikina huyu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom