Waislam msiende liliondo- redio kheir

Waislam msiende liliondo- redio kheir

Kama ni kweli kucheka kunaongeza miaka basi labda nimeogeza kumi kidogo! Muhogo umenichesha sana, yaani waaslam wa Dar es Salaam wanaisaidia Serikali kazi au nia yao nini? wanapaswa kufanya zoezi la kuhakiki juu ya hiyo dawa ni Serikali na bahati mabaya viongozi wengi ni Waislaam wenzetu na wameshakwenda kunywa hiyo dawa hivyo hawawezi kuzuia.

Kusita kuzuia kunainyesha kuwa hata viongozi wetu walioinywa wanajijua matokeo yao waliyopata baada ya kuinywa.

Inachekesha kuona kuwa hawajui imani inamuhusu mtu na nafsi yake siyo msikiti wala jamii ya Kiislam!

Ina maana Misikitini hawajui kuwa makanisa ya Walokole waliojaa humo wengi kuombewa ni Waislaam? hawajui pia Siku hizi waislaam tunaongoza kula nguruwe kuliko hata wakatoliki?

Watu wanasema msiende hili mpunguze nafasi wenye shida waende
 
Uislamu unahubiri amani maeneo gani wandugu, Somalia, Iraqi, Pakistan, Palestina au wapi? Na hiyo amani wanaihubiri kwa vikundi vijulikanavyo kama Islamic Jihad, Al Shabaab, Al Qaeda, Boko Haram, nk. Na misahafu wanayoitumia ni mabomu ya kujifunga kiunoni! Matokeo ya mahubiri ni Sept 11, 2001, ulipuaji wa balozi za Marekani nchini Kenya na Tz, London bombing and above all, TERRORISM!
maneno ya busara yanasema 'usiangalie ulipoangukia bali pale ulipojikwaa' wanachofanya waislamu ni retaliation kutokana na kuhujumiwa na wabeba misalaba wakiongozwa na marekani. Iraq ilikuwa ni nchi salama wakati wa sadam, palestina ilikuwa nchi salama kabla ya kuvamiwa na mayahudi, afghanistani ilikuwa ni nchi salama kabla ya kuvamiwa na marekani. Haingii akilini mtu aje nyumbani kwako auwe familia yako na abake mkeo na binti zako halafu umkenulie meno huo utakuwa ni ukhanithi.
wakitaka amani ktk nchi za kiislamu waache kuingilia mambo ya waislamu na kuacha kuropokaropoka kama watoto wa kike eti ooh wanamiliki silaha za maangamizi(wakati wao ndio watumiaji wa silaha hizo ktk vita), ooh wanaoa wake wanne(lakini wao hawaoni tabu kumiliki vimada ishirini), ooh wana wivu sana, ooh wanatuzuia kuona miili ya dada zao(lakini hawaoni mavazi ya watumishi wao makanisani), ooh wanatuzuia kuzini kwa kutuchapa bakora miamoja (wakati kuna watu wanawakata nyeti wagoni wao na hawachukuliwi hatua yoyote), ooh wakimkamata mwizi wanamkata mkono (wakati wengine wanawachoma moto na kuwapiga risasi ingawa hawalaumiwi), ooh inatuuma sana kwanini nchi zao zina utajiri wa mafuta, ooh sijui nini na nini.
Sasa ili amani ipatikane acheni kuchonga midomo yenu na kuingilia mambo yasiyowahusu.
 
Hizi cult I mean islamic fundamentalists and/or muham-mad cultural jihad "Islamic Jihad, Al Shabaab, Al Qaeda, Boko Haram" ni za deen gani?

http://www.thereligionofpeace.com/

PUMBA, ongea kwa mifano nshakuelezea juu ila unataka kuwapotezea watu muda.
Ndo nawe upo kny kundi la Greatthinker?? Go back and Thinktwice kny izo propaganda. Km Uislamu ndo ugaidi mbn tangu Sept11 itokea waUSA wengi walitaka kujua ukweli na ndo hao wanaosilimu kila kukicha? Soma mzee usiwe mtu wa kuchota maneno ya vijiweni na fix za kny Bar wkt mshalewa.
 
Kama ni kweli kucheka kunaongeza miaka basi labda nimeogeza kumi kidogo! Muhogo umenichesha sana, yaani waaslam wa Dar es Salaam wanaisaidia Serikali kazi au nia yao nini? wanapaswa kufanya zoezi la kuhakiki juu ya hiyo dawa ni Serikali na bahati mabaya viongozi wengi ni Waislaam wenzetu na wameshakwenda kunywa hiyo dawa hivyo hawawezi kuzuia.

Kusita kuzuia kunainyesha kuwa hata viongozi wetu walioinywa wanajijua matokeo yao waliyopata baada ya kuinywa.

Inachekesha kuona kuwa hawajui imani inamuhusu mtu na nafsi yake siyo msikiti wala jamii ya Kiislam!

Ina maana Misikitini hawajui kuwa makanisa ya Walokole waliojaa humo wengi kuombewa ni Waislaam? hawajui pia Siku hizi waislaam tunaongoza kula nguruwe kuliko hata wakatoliki?

Watu wanasema msiende hili mpunguze nafasi wenye shida waende
Usiwe mtu wa Ku-generalize vitu. Km wewe unakula nguruwe ambae ata Yesu kamchukia basi iyo ni wewe tu usiseme sisi waislamu ndo tunaongoza. Nina mashaka na wewe si muislamu bali unazuga watu kwa jina. Na kama ikitokea
We ni Muislamu basi unahitaji kupigiwa TAKBIRA nne(upo km mfu manake hujielewi).
 
Jamani mimi sina macho mpaka niwe fooled na western media? Historia ya Muhammad iliyojaa ugaidi inajieleza yenyewe! Soma Quran itakueleza maana ya ugaidi-means Jihad (the war against non-muslims)! Sidhani kama utathubutu kudai ushahidi wa Quran ambao uko wazi kabisa!
Ukinipa verses from Qur-an zinazosema
JIHAD=TERRORISM basi mie ndo wa kwanza kuiacha dini ya kiislamu leo hii.
Nipe aya zinazosema Jihad=ugaidi=kuuwa non muslim innocent km zipo. Hutapata ata aya 1. Haya nasubiria ushahidi wako. Huwa sipendi kuongea bila evidence.
 
Mimi hicho kipindi nilkisikia kilikuwa cha maswali na majibu. Alie uliza swali alijibiwa kuwa
Kujitibu ni wajibu pale unapougua. Kuwa mwislamu anaweza kutumia tiba zinazotolewa hata na wasio waislamu alimradi hazikiuki sheria. Mtu akikwambia ukinywa dawa hii usimsalimie mtu hiyo dawa haifai. Mtu akisema dawa hii nimeambiwa na mungu niwaletee hiyo dawa haifai kwani mungu alishasitisha kuongea na watu mojakwamoja siku nyingi sana.
 
Kwani wameitwa? kwanza wasiende watatumalizia dawa yetu! ingekuwa wao...usingetia mguu hadi uitwe Juma, rahima, ramadhani n.k ndio maana hata ile mboga 'hawali'!!!!!
khah! Nyinyi nani?
 
Wakristo kiuhakika katika mafunzo hawana cha kushika wala cha kuonesha mfano.Hili la Loliondo ni fedheha yao nyengine tu na inaweza kugeuka Loliiondo gate-2.Hii inakwenda sambamba na ahadi ya Allah kwenye Qur'an 85:20.
Utashangaa wakuu wao iwe ndani ya makanisa au serikalini huwa wananasa kwenye mitego hii.Hiyo dawa ya mchungaji ni dawa ya shetani na wala Yesu hayumo hapo.Kikawaida shetani ni rafiki wa watu wajinga.
Kabla ukristo kuja na dawa ya maradhi sugu kwanza utuoneshe mafunzo yao kuhusiana na maradhi ya kawaida tu kama vile minyoo na chawa ni jinsi gani wakristo wameelekezwa kujikinga nao.
Tahadhari iliyotolewa kabla katika thread hii ni muhimu, kwamba wale wanaoshabikia habari za babu wa Loliondo wasikimbie hapo baadae hadaa za shetani zitakapowawacha solemba.
 
Unaposema waislamu wanahubiri chuki sijui unayo mifano? Tofautisha kati ya ukweli/haki na chuki. Kwa kukusaidia jina la dini yetu tu ni Amani,je inawezekana kuikana amani tena? Usiwe mfata mkumbo au umeathirika na propaganda za western. Wapi uislamu umehubiri fujo kny Msahafu? Usikariri vibaya soma utaona beauty of Islam.
Uislamu ndo dini pekee inayohimiza mema na kukataza mabaya.

Umeshawahi kuwa na dini zaidi ya uislam ukahimizwa kuvunja amani?
 
Waache kwenda wenyewe kwani atakayekufa ni wao au mimi? Alas!
 
Kama ni kweli kucheka kunaongeza miaka basi labda nimeogeza kumi kidogo! Muhogo umenichesha sana, yaani waaslam wa Dar es Salaam wanaisaidia Serikali kazi au nia yao nini? wanapaswa kufanya zoezi la kuhakiki juu ya hiyo dawa ni Serikali na bahati mabaya viongozi wengi ni Waislaam wenzetu na wameshakwenda kunywa hiyo dawa hivyo hawawezi kuzuia.

Kusita kuzuia kunainyesha kuwa hata viongozi wetu walioinywa wanajijua matokeo yao waliyopata baada ya kuinywa.

Inachekesha kuona kuwa hawajui imani inamuhusu mtu na nafsi yake siyo msikiti wala jamii ya Kiislam!

Ina maana Misikitini hawajui kuwa makanisa ya Walokole waliojaa humo wengi kuombewa ni Waislaam? hawajui pia Siku hizi waislaam tunaongoza kula nguruwe kuliko hata wakatoliki?

Watu wanasema msiende hili mpunguze nafasi wenye shida waende
kama unakula nguruwe basi umeshajitoa mwenyewe kwenye Uislam, subiri damu ya Bwana ikukomboe.
 
Jana kulikuwa na mjadala na kuwataka waislam kuacha kwenda liliondo. walisema hio ni dawa ya kiini macho. walisema kama kuna mtu amepowa kwa dawa hiyo ajitokeze waziwazi kabla ya kupoa akiuumwa nini na sasa apime aonyeshe kwamba kama kweli amepoa.
waliwataka waislam kuachana na kabisa dawa hiyo wanayoita ni DECI

hivi wale waganga wa kienyeji mbele ya misikiti karibu yote ya Dsm dawa zao zimehakikiwa na nani?, na misikiti?! Au?!.
 
Kitu cha msingi kwa ndugu zangu waislamu ni vyema kama wangetoa njia mbadala ya wagonjwa wanaenda huko kabla ya kuwazuia, watu wanahangaika na magonjwa hayo bila tiba muda mrefu leo mchungaji anatoa tiba imani ya kiislamu inakataza, sasa mnataka waislamu wenzenu wafe au wafanyeje, mimi binafsi kama mngetoa njia mbadala niwaona mna busara sana, lakini kumbuka asiye na ugonjwa hamjui mwenye ugongwa inawezekana ikawa rahisi kuzungumza kwa sababu wao hawaumwi, kumbuka wenye dini yao (waarabu) wameenda. Hebu chukulia babu angeamua kutibu wakristo peke yake hiyo ndiyo ingekuwa mbaya maana uislamu pengine ingeisha kwa waumini wake kuslim mimi naona anavyofanya ni vizuri kwanza hamuulizi mtu yeyote jina wala dini yake, kwani mungu anaamini wote ni kondoo wake isipokuwa wengine wamepotea. **** mpo makini kuna mama mmoja alitoa ushuhuda TBC amepona kisukari na alivyoenda kupima akaona sukari ipo narmal yaani 6.1 sasa sijui mnataka ushahidi upi. Hilo ni jambo jema na wapongeza ndungu zangu waislamu walioamua kwenda kuokoa maisha yao kwanza kwa babu halafu ndipo wairudie imani kwani wamelazimika kufanya hivyo kwa sababu hakuna jinsi. Kumbuka hata vitabu vyenu vya dini vimewaruhusu kula vitu halamu(nguruwe) endapo hakutakuwa hamna namna(yaani kwa ajili ya njaa au mengineyo), mmeambiwa kama mtakuwa na njaa na hamna jinsi nguruwe kura ruksa(ruhusa). Quran 6:145
 
Hoja imetolewa,nani kapona.Nyinyi na usomi munaojidai nao mbona mnaleta ushabiki wa enzi za kale.
Wametibiwa muda gani na baada ya muda gani wakapona?.Uchunguzi gani umethibitisha kupona kwao?.Wakristo aibu ya Loliondo inawajongelea.
 
Jana kulikuwa na mjadala na kuwataka waislam kuacha kwenda liliondo. walisema hio ni dawa ya kiini macho. walisema kama kuna mtu amepowa kwa dawa hiyo ajitokeze waziwazi kabla ya kupoa akiuumwa nini na sasa apime aonyeshe kwamba kama kweli amepoa.
waliwataka waislam kuachana na kabisa dawa hiyo wanayoita ni DECI
sawa muhogo mchungu
 
Mahita kapona, dada kurusumu aliehojiwa Clouds kapona sasa mnataka nini? Hapa ni suala la imani tu. Waislamu nendeni mwambieni na Mufti aende atapona yale maradhi yake jamani. Babu yetu Sheikh Yahya na wewe nenda nakwambia safari hii ukienda India tena hurudi si umesikia ya mkuu wa wilaya ile ya Mkoani Mwanza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom