Recent content by Naviboy

  1. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna aliyekutana na hii kitu shuleni au ni mimi tu?

    Watu wa pigo ka zako darasan walikua vilaza sana
  2. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Hatua 10 za Ujasiriamali

    Nimepata vitu hapa
  3. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Salam za mwaka mpya: Je Maaskofu watajibiwa?

    Aaaah kama unaandika kujiburudisha basi vema...endelea kuburudika
  4. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Salam za mwaka mpya: Je Maaskofu watajibiwa?

    Uwezo mdogo wa kufikiri ndo huandika andiko kama hili
  5. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Kigoma wanapenda upinzani,lakini kwanini wanageukwa?

    Wananchi ndio hutangatanga baada ya kukosa viongozi thabiti mf.mbunge wa jimbo fulan la ksl mjin ni wa chama tawala lakn ushindi wake ulikua wa zengwe zilizokua wazi ambazo mpinzani wake ambae alikua former Mp na kwasasa kahamia chama tawala angekua makin kipndi cha uchaguzi...
  6. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Kigoma wanapenda upinzani,lakini kwanini wanageukwa?

    Wanasiasa wa kigoma njaa zimewajaa wengi ni wachumia tumbo...pia wananchi wa kigoma hubadilishwa mawazo kwa siasa nyepesi ni wepesi kubadilishwa msimamo wao ndomana mbunge D alikua chama tawala hakufanya kitu wakampga chini ila yuleyule ambae alifanya madudu karudi wakampa...wakamwamini bwana...
  7. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Hili tatizo kwa waajiriwa waliowengi nchini kwetu
  8. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

    Hilo ndo jawabu mtu na hii kasumba ya uoga inayoendelea kupandikizwa ndo inatafuna wengi,,,,, mwangalie hata huyu Juma kaparatu mtangazaji wa Itv hua anaongoza mdahalo kwa kutokujiamn hasa akiona mtu unakosoa serikal anatoa kisemeo kwako haraka
  9. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

    Si kama wamehongwa ndg yangu ila ukiangalia wengi pale uwezo wao wa kujenga hoja kulingana na mada husika ndo lilikua tatzo uwezo wao mdogo wengi walikua wanasifia tu bila ufafanuzi na si kutoa mafanikio na changamoto,,,, mfano kuna bnti alijitambulisha kama katibu wa uvccm mahala fulan badala...
  10. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Ukizingatia Mambo haya 8 Utafanikiwa

    Copy
  11. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

    Mshana jr
  12. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wenzangu ambao wako nyumbani na hawana kazi

    Facts Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli, E FM nao kumtoa Mr. Nice

    Saida yuko vizur ni mwanamuziki ila promo anayopata na game la sasa sidhan ka ataweza himili wanamtwika mzigo mkubwa ambao hawezi yuko lakin kwa sasa nafasi yake haipo,,,,,,, ka mnakumbuka hao mawingu walishikia bendera singeli hadi akina man fongo wakatamba kutaka kuupeleka muziki huo nje kwa...
  14. Naviboy

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Ndo tatizo lenu wabunge wa viti maalum uwezo mdogo na mnatumika kwa niaba ya chama na watu fulan kama ungekua umepambana kwa jimbo sidhani ka ungepeleka hoja ka ile ya kudai adhabu hamfai Hakika,,,,,hvyo unatafuta kuaminika kwa chama Huna hoja na ingependependeza ungepigwa japo vibao akili...
  15. Naviboy

    JamiiForums Tanzania Vidume tuliopitia kwa ngariba bila ganzi tukutane hapa kukumbushana yale maumivu!

    Vipi kila mtu na kisu chake ama inakuaje
Back
Top Bottom