Ushauri kwa vijana wenzangu ambao wako nyumbani na hawana kazi

Lodrick Thomas

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,339
2,430
Ndugu yangu,

Ni ukweli usiopingika, kwa sasa mambo yamebadilika sana kuanzia mambo ya kijamii, kisiasa mpaka mambo ya kiuchumi.

Sasa leo naenda kuongea na wale vijana wenzangu ambao wako majumbani na wenda wamesoma mpaka chuo kikuu lakini hawana kazi au shughuli ya kufanya.

Ndugu yangu, kwa huu muda unaokaa nyumbani sio muda wa kuwa idle na kurudhika na maisha, sio muda wa kubishana kuhusu Dai na Kiba nani mkali, kumbuka wewe ni kijana na baada ya miaka kadhaa utakua baba au mama na zaidi ya yote jamii inakutegemea.

Huo muda unaokaa idle nyumbani kwanini usisome hata gazeti ujue dunia inaendaje? (No disrespect) nashangaa kwenye mtihani wa TRA watu wametolewa swali la AGOA na makinikia watu wanakuja JF kulalamika mtihani ulikua mgumu, really? Vijana tufwatilie mambo ya msingi na sio kukesha na mambo yasiyo ongeza thamani katika maisha yetu.

Siku zote gari lina mbeba aliyeko stand na sio aliye kitandani.

Kuliko kukaa bila kufanya kitu anza kujifunza vitu mbadala, mfano kupitia majarida mbali mbali ya biashara, kilimo na mengine ambayo yanakua yanaongeza thaman kwenye maisha yako, anza kuongeza ujuzi wa fani yako.

Huwezi jua kesho utakua wapi ndugu yangu anza kujiandaa maana gari likija likukute uko tayari kwa safari sio uko kitandani unachat.

Leo hii ni wangapi tunajua HISA? Wangapi tunajua crypto currency? Wangapi wanajua bonds? Utazijuaje kama hutaki kujifunza na kufwatilia mambo ndugu yangu?

Anza leo kujifunza kitu cha ziada, anza leo kupitia magazeti (sio ya udaku), anza leo kusoma vitabu mbali mbali vya kijamii na kiuchumi, anza leo kufwatilia nini kinaendelea duniani hasa hapa kwetu Tanzania.

Najua vijana wengi hasa wale tulio maliza vyuo, ni ukweli kwamba wengi wetu mitaji ni changamoto kubwa sana! Lakini je ni kisingizio cha kukaa nyumbani na kuangalia series 24/7?

Nikukumbushe tu hamna mtaji mkubwa wa mwanadamu kama ujuzi/elimu na ufahamu wa mambo hasa ya kijamii na kiuchumi na ujue ujuzi haupatikani kwenye kufwatilia mambo yasiyo na tija.

Ndio huna mtaji je ukipewa mtaji utaufanyia nini? Utaufanyia nini kama hauna ujuzi na ulewa jinsi nchi na dunia inavyoenda? Think!

Kipindi hiki ambacho uko nyumbani huna cha kufanya sio kipindi cha kukaa kijuweni na kulaumu maisha magumu ni sio kipindi cha kupoteza muda ni kipindi cha wewe kujiandaa nafasi ikija ikukute uko tayari.

Ni kipindi cha kuandaa mikakati kwa ajili ya Maisha hasa mambo yakikaa vizuri yakukute uko tayar. Ni kipindi cha wewe kujiandaa na kujiongezea ujuzi ili kuutumia vyema nafasi yako ikifika.

Tubadilike jamani, mambo yamebadika, miaka inasonga, spend your time wisely!

Karibuni!
 
Ndugu yangu!

Ni ukweli usiopingika, kwa sasa mambo yamebadilika sana kuanzia mambo ya kijamii, kisiasa mpaka mambo ya kiuchumi!!

Sasa leo naenda kuongea na wale vijana wenzangu ambao wako majumbani na wenda wamesoma mpaka chuo kikuu lakini hawana kazi au shughuli ya kufanya!

Ndugu yangu, kwa huu muda unaokaa nyumbani sio muda wa kuwa idle na kurudhika na Maisha, sio muda wa kubishana kuhusu dai na kiba nani mkali!! kumbuka wewe ni kijana na baada ya miaka kadhaa utakua baba au mama na Zaidi ya yote jamii inakutegemea!!

Huo muda unaokaa idle nyumban kwanini usisome hata gazeti ujue dunia inaendaje? (No disrespect) Nashangaa kwenye mtihani wa TRA watu wametolewa swali la AGOA na makinikia watu wanakuja JF kulalamika mtihani ulikua mgumu, really? Vijana tufwatilie mambo ya msingi na sio kukesha na mambo yasiyo ongeza thamani katika maisha yetu!!

Siku zote gari lina mbeba aliyeko stand na sio aliye kitandani…

Kuliko kukaa bila kufanya kitu anza kujifunza vitu mbadala, mfano kupitia majarida mbali mbali ya biashara, kilimo na mengine ambayo yanakua yanaongeza thaman kwenye Maisha yako!! anza kuongeza ujuzi wa fani yako!! Huwezi jua kesho utakua wapi ndugu yangu anza kujiandaa maana gari likija likukute uko tayari kwa safari sio uko kitandani unachat!!

Leo hii ni wangapi tunajua hisa? Wangapi tunajua crypto currency? Wangapi wanajua bonds? Utazijuaje kama hutaki kujifunza na kufwatilia mambo ndugu yangu?

Anza leo kujifunza kitu cha ziada, anza leo kupitia magazeti (sio ya udaku), anza leo kusoma vitabu mbali mbali vya kijamii na kiuchumi, anza leo kufwatilia nini kinaendelea duniani hasa hapa kwetu Tanzania!!

Najua vijana wengi hasa wale tulio maliza vyuo, ni ukweli kwamba wengi wetu mitaji ni changamoto kubwa sana! Lakini je ni kisingizio cha kukaa nyumbani na kuangalia series 24/7?

Nikukumbushe tu hamna mtaji mkubwa wa mwanadamu kama ujuzi/elimu na ufahamu wa mambo hasa ya kijamii na kiuchumi na ujue ujuzi haupatikani kwenye kufwatilia mambo yasiyo na tija!!

Ndio huna mtaji je ukipewa mtaji utaufanyia nini? Utaufanyia nini kama hauna ujuzi na ulewa jinsi nchi na dunia inavyoenda? Think!!

Kipindi hiki ambacho uko nyumbani huna cha kufanya sio kipindi cha kukaa kijuweni na kulaumu Maisha magumu ni sio kipindi cha kupoteza muda ni kipindi cha wewe kujiandaa nafasi ikija ikukute uko tayari.

Ni kipindi cha kuandaa mikakati kwa ajili ya Maisha hasa mambo yakikaa vizuri yakukute uko tayari…Ni kipindi cha wewe kujiandaa na kujiongezea ujuzi ili kuutumia vyema nafasi yako ikifika!!

Tubadilike jamani, mambo yamebadika!! Miaka inasonga…Spend your time wisely!

Karibuni!!
Umenena vyema mkuu, mwenye akili na hekima atakuelewa.
 
Hayo majarida au magazeti unapewa bure!?
Nilifikiri ameandika jambo la maana, kumbe porojo tu za kijinga. Mimi ni graduate nimetafuta kazi mpaka za ulinzi sijafanikiwa. I have a mult-billion dollar idea, how will it take off wakati nimehitimu chuo nikiwa na madeni, benki sikopesheki, hakuna mtu ananiamini awekeze kwenye idea yangu. Ukiwa kwenye mikopo ya halmashauri mnalazimishwa muwe kundi ( Tena kundi rasmi lililosajiliwa, na gharama za usajili ni kubwa ). Ukiwa machinga unakimbizana kila siku na polisi.

- Yaani nchi hii tuna viongozi kama MISUKULE tu hawana MAONO yoyote zaidi ya kuwauza vijana wao kwa MABEPARI watumikishwe kwa ujira wa Tsh 4,000 kwa saa 24 kwenye viwanda vya wahindi tena kwa mambo ambayo hata vitu ambavyo hata vijana wanaweza kuvisimamisha wakiwekewa mambo madogo tu sawa
- Tanzania kwa sasa kila mtu kwa nafasi yake badala ya kurahisisha mambo, anayafanya kuwa magumuu hata mambo madogo tu
 
Nami nimeshangaa.. Ni rahisi sana mtu kusema vijana jiajirini lakini mwambie akupe hizo mbinu au mtaji wa kujiajiri anabaki kujiumauma.. Hili suala la ajira sio la kuliongelea juu juu..
 
Ndugu yangu,

Ni ukweli usiopingika, kwa sasa mambo yamebadilika sana kuanzia mambo ya kijamii, kisiasa mpaka mambo ya kiuchumi.

Sasa leo naenda kuongea na wale vijana wenzangu ambao wako majumbani na wenda wamesoma mpaka chuo kikuu lakini hawana kazi au shughuli ya kufanya.

Ndugu yangu, kwa huu muda unaokaa nyumbani sio muda wa kuwa idle na kurudhika na maisha, sio muda wa kubishana kuhusu Dai na Kiba nani mkali, kumbuka wewe ni kijana na baada ya miaka kadhaa utakua baba au mama na zaidi ya yote jamii inakutegemea.

Huo muda unaokaa idle nyumbani kwanini usisome hata gazeti ujue dunia inaendaje? (No disrespect) nashangaa kwenye mtihani wa TRA watu wametolewa swali la AGOA na makinikia watu wanakuja JF kulalamika mtihani ulikua mgumu, really? Vijana tufwatilie mambo ya msingi na sio kukesha na mambo yasiyo ongeza thamani katika maisha yetu.

Siku zote gari lina mbeba aliyeko stand na sio aliye kitandani.

Kuliko kukaa bila kufanya kitu anza kujifunza vitu mbadala, mfano kupitia majarida mbali mbali ya biashara, kilimo na mengine ambayo yanakua yanaongeza thaman kwenye maisha yako, anza kuongeza ujuzi wa fani yako.

Huwezi jua kesho utakua wapi ndugu yangu anza kujiandaa maana gari likija likukute uko tayari kwa safari sio uko kitandani unachat.

Leo hii ni wangapi tunajua HISA? Wangapi tunajua crypto currency? Wangapi wanajua bonds? Utazijuaje kama hutaki kujifunza na kufwatilia mambo ndugu yangu?

Anza leo kujifunza kitu cha ziada, anza leo kupitia magazeti (sio ya udaku), anza leo kusoma vitabu mbali mbali vya kijamii na kiuchumi, anza leo kufwatilia nini kinaendelea duniani hasa hapa kwetu Tanzania.

Najua vijana wengi hasa wale tulio maliza vyuo, ni ukweli kwamba wengi wetu mitaji ni changamoto kubwa sana! Lakini je ni kisingizio cha kukaa nyumbani na kuangalia series 24/7?

Nikukumbushe tu hamna mtaji mkubwa wa mwanadamu kama ujuzi/elimu na ufahamu wa mambo hasa ya kijamii na kiuchumi na ujue ujuzi haupatikani kwenye kufwatilia mambo yasiyo na tija.

Ndio huna mtaji je ukipewa mtaji utaufanyia nini? Utaufanyia nini kama hauna ujuzi na ulewa jinsi nchi na dunia inavyoenda? Think!

Kipindi hiki ambacho uko nyumbani huna cha kufanya sio kipindi cha kukaa kijuweni na kulaumu maisha magumu ni sio kipindi cha kupoteza muda ni kipindi cha wewe kujiandaa nafasi ikija ikukute uko tayari.

Ni kipindi cha kuandaa mikakati kwa ajili ya Maisha hasa mambo yakikaa vizuri yakukute uko tayar. Ni kipindi cha wewe kujiandaa na kujiongezea ujuzi ili kuutumia vyema nafasi yako ikifika.

Tubadilike jamani, mambo yamebadika, miaka inasonga, spend your time wisely!

Karibuni!
Tunazisubiri NOAH zetu tuwe matax driver!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom