Umejibiwa vizuri hakuna kampuni iliyosajiliwa Brela kama kampuni ikakosa Limited, ikimaanisha kampuni inajulikana kisheria na inaweza kufunguliwa mashtaka ama kushtakiwa na haiingiliani na mmiliki wake, hata ikifilisika mali za wakurugenzi binafsi hazitahusika kulipa madeni ama mishahara ya...
Wakuu mambo,
Nami mwanzo nilijua wanafanya mawasiliano kupitia Portal account ya mhusika kumbe hapana. Kinachofanyika kama wakiita watu wa nafasi za kawaida wengi kwa pamoja wanatumia njia ya website kule CALL FOR INTERVIEW cha kufanya ni kucheck kama umeitwa kule kuna muda, mahali na tarehe...
Sina uhakika wa hiki mleta maada anachoongelea kama kina hata chembe ndogo ya ukweli kama ifuatavyo:
1. Muda wa mwenyekiti halali [Substantive Chair] hauwezi kuishia katikati ukaacha wajumbe wengine wakiendelea na uhudumu wao coz mara nyingi huanza pamoja na kumaliza kipindi pamoja.
2. Sheria...
Ushauri wako siyo sasa kabisa hasa baada ya kuwaasa watu waachane na mikopo kwa ajili ya ujenzi napata wasiwasi na weledi wako katika masuala ya biashara na uchumi. Mfano mtu ni kijana ana umri wa miaka 25 na amepanga nyumba analipa TZS 300,000 kwa mwezi anaamua kuchukua mkopo wa miaka 5 ili...
HA HA HAAAAAAA huku kukua kwa Kampuni hii ni hatari aiseee, wanajamii forum ngoja niwarahisishie alivyopata growth rate ya 5000% amefanya simple calculation ifuatayo:
alikuta mabasi 7 na sasa yako 400 so kwake yeye asilimia za ukuaji ni kama ifuatavyo:
=400/7*100=5714% lakini jambo la...
Kweli mkuu lile tawi nami nimekuwa natembelea pale liko very excellent kila idara watumishi wanajituma sana toka manager akiwa Mbisse na sasa Masanja wako fast na hata idara ya mikopo pale kuna Eliza na kijana Jose wako very brialiant na huduma za ukweli kwa wakati. Dirishani pia mie kama mie...
KULIPA wamaanisha kitu gani, kuwa biashara izo unaziendesha wewe au we chako ni jengo unataka kukodisha tu ambapo kodi yako haibadiliki kulingana na bei ya soko lilivyo mahali hapo? Tunaomba ufafanuzi nachofahamu mie bei ya pango haitegemei aina ya biashara ila hadhi yake na soko la upangishaji...
Mshauri avumilie tu kwa sababu kupata fedha zake ni chini ya mwezi hiyo haraka aliyo nayo ni ya kitu gani? Kwanza amebakisha kama cku 10 contract iishe then 2 weeks apate hiyo fedha halali kwake bila kuipunguza kwa interest. Hata hivyo endapo ni issue ya shule, ugonjwa, biashara nk cku izi...
Mkuu nakubaliana na mleta maada hasa kundi linalonyanyaswa ni vijana ambao wako under 40 pindi wanapoomba Senior position umri unakuwa umewekwa juu sana kama kigezo cha kuwaondoa wasiajiriwe japo kiuhalisia ni kwamba unapokuja kwenye Private Sector vijana wanashikilia senior position nyingi...
babhe wacha hizo huo mpango thabiti wa kuwezesha mgombea urais na haina ubishi wowote, kumbuka kutoa ni moyo na c utajiri toa kwa kuchangia au baki na ulichonacho, malofa ngoja tuchangie
Rubbish and non sense statement. Watanzania milioni zote hatuna uwezo au unaumwa wewe! Serikali ipi yenye wizara 20 ikose watu wenye sifa? Hizi cm toka zimilikiwe na wanyonge hata wa kufikiri zikawapa uwezo wa kutuma chochote imekuwa taabu kweli
umeanza vizuri qs [queen esther] lakini umemaliza kwa personal judgement. Watu wa zamani waliwackiliza manabii na kuwaamini kwani ni wao pekee waliowasiliana na mwenyezi mungu na baadae kuwasilisha kwa waamini wao. Nikuulize unajuaje hao watumishi wa mungu wanaoongezeka kila kukicha wakitudirect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.