jojujonicas
Member
- Aug 22, 2012
- 46
- 36
Naomba kujuzwa katika hili swala la kuomba ajira serikalini kupitia ajira portal, (website ya utumishi)
Kuna taarifa zozote ambazo muombaji ajira hupata kupitia hii website endapo amefanikiwa kuitwa kwenye usaili au la?? ama kuna jinsi nyingine ambayo hutumika kupata taarifa hizo??
Taarifa kama
1) Hujakidhi vigezo vya kuitwa kwenye usaili
2)Umefanikiwa kuitwa kwenye usahili (mahali,muda na siku husika)