Napokea tender za kusupply cement

nyamata07

Member
Jun 7, 2016
59
16
Na supply cement ya Twiga na kisarawe au lucky cement,,dar es salaam. 0688121308 kwa mawasiliano zaid. Asante
 
Nikajua ni upcountry uniletee Musoma aisee, Lakini si mbaya ila jaribu kuwa elaborative zaidi kwa Tani 1 ni kiasi gani kwa kila kampuni ya cement.
 
Unaweza ukaleta Kibaha?? Ni bei gan kwa mfuko?? Naulizia bei ya jumla!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Bei kwa tone moja ni 220000 nje ya usafir kwa cement aina zote
 
Unaweza ukaleta Kibaha?? Ni bei gan kwa mfuko?? Naulizia bei ya jumla!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ndio Naweza ni makubaliano tu, kwa mfuko cement ya Twiga ni 11000,na lucky ni 11000,, ila ni kwa jumla kuanzia mifuko 300 afadhali kwa sehem za kibaha,, ndan ya dar ni angalau mifuko 150 kwa kuanza. Asante na karibu
 
Powa ngoja tusubir maana bei ya Cement haitabiriki kwa sasa then nitakutafuta. Dangonte ameua soko la baathi ya makampuni maana kwa huku kibaha ni 11500 rejareja Twiga naye kashusha hadi 12500.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Powa ngoja tusubir maana bei ya Cement haitabiriki kwa sasa then nitakutafuta. Dangonte ameua soko la baathi ya makampuni maana kwa huku kibaha ni 11500 rejareja Twiga naye kashusha hadi 12500.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Poa mkuu,, utakapokua tayar utanitafuta tufanye biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom