Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

Mkuu samahani naomba nikuulize mambo mawili Muhimu:
1.wewe ni Ukawa au Vyama vingine?
2.Kwasababu ulikuwepo unahisi Chama kipi Upinzani Au Tawala ndo huenda kinapendekezwa?[/QUO

Soma vizuri HITIMISHO langu.

Queen Esther
 
Ni kweli.... Lakini sisi hatutapiga kura? Kama tukiwa objective tar 25 tutamchagua nani?
 
GT habari za asubuhi.

Kampeni za mwaka huu viongozi wa dini ya KIKRISTO wameongoza kuvunja sheria na taratibu za uchaguzi kwa kuonesha bayana yule wamtakaye.

Hili linanikumbusha habari ya kuchaguliwa kwa mfalme Daudi kuwa mfalme wa Israel. Mambo yafuatayo yalijitokeza:-
1. Mungu alimtuma Nabii Samwel akampake mafuta mfalme wa Israel
2. Mungu alimtuma Nabii Samwel aende katika nyumba ya Yesse na kati ya vijana wake Mungu amemchagua mmoja kuwa mfalme.
3. Nabii Samwel alipowaendea wazee wa Bethlehem walistuka hata kumuliza Je kuna amani??? Na ndipo alipowaambia na tutoe dhabihu.
4. Wakati IBADA ilipoanza ndipo Nabii Samwel alipoanza kuchagua mfalme mpya kwa kufuata matamanio ya moyo wake na sivyo Mungu alivyotaka.
5. Mungu alimuonya Nabii Samwel asiangalie mwonekano mzuri, urefu wa mtu,nk kwani Mungu haangalii hayo.
Mungu haangalii kama mwanadamu anavyoangalia, haijalishi ni Nabii, Mtume, Mwalimu au Askofu.
6. Tabia ya Mungu ni kuangalia NIA YA NDANI (For The Lord does not see as man sees; for man looks at the outward appearance, but The Lord looks at the HEART) statement of fact.
Tafsiri - Mungu haangalii vile mwanadamu anavyoangalia, kwani mwanadamu anaangalia mwonekano wa nje lakini Mungu anaangalia MOYO).
7. Hivyo basi haijalishi nani katabiri nini, nani kahubiri nini? nani kasema nini. Bado mpango wa Mungu na kusudi la Mungu kwa Tanzania litasimama.
8. BWANA HUYABATILISHA MASHAURI YA MATAIFA, HUYATANGUA MAKUSUDI YA WATU, SHAURI LA BWANA LASIMAMA MILELE, MAKUSUDI YA MOYO WAKE VIZAZI NA HATA VIZAZI.
9. Mwisho tunaona Nabii Samwel akiulizia iwapo kuna kijana mwingine wa Mzee Jesse, na ndipo Daudi akachaguliwa kuwa mfalme.
10. Daudi hakuwa amejiandaa hata kidogo kuwa mfalme, bali ulikuwa ni mpango wa Mungu mwenyewe.

HITIMISHO
Viongozi wa dini wameamua waziwazi kutuhamasisha tumchague mtu fulani kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Viongozi hawa wamesahau wajibu wao kutuongoza kuomba ili Mungu amchague yule aliyeupendeza moyo wake.

Kuna viongozi waliolifanya hili wazi na wengine wametumia akili ila unaelewa moyo unakoelekezwa. Haya nimeyaona katika mahubiri ya safari hii ya Mwl MWAKASEGE.

Jambo hili sio geni hata Nabii Samwel alifanya haya haya na mwisho wa siku Mungu aliyakataa mapendekezo ya Nabii Samwel na ndipo Daudi akawa mfalme wa Israel. TENA AKAWA THE BEST LEADER BAADA YA WOTE WALIOMTANGULIA KUBORONGA.

KWA MAANA HIYO BASI, WATU WOTE TUINGIE KWENYE MAOMBI YA TOBA NA TUMUOMBE MUNGU ATUPE RAIS ALIYEUPENDEZA MOYO WAKE. USISAHAU KUSINDIKIZA MAOMBI YAKO NA SADAKA. Viongozi wa dini tuelekezeni kwenye maombi na sio kwenye majina ya watu. Let the will of God prevail.

EE MUNGU TUSAIDIE. EE MUNGU IBARIKI TANZANIA. EE MUNGU TUPE DAUDI.

QUEEN ESTHER

sijakuelewa......
kwa hapa kwetu sheria inasemaje kama mmoja wa wagombea akifariki kabla ya kura?
 
KAMA UNASEMA MWL MWAKASEGE ALIMLENGA LOWASA KUWA NDIYE RAIS AJAYE; JE NI SAHIHI KWA MTUMISHI WA MUNGU??? JE NDIO ZILE HADITHI ZA KKKT HAIJAWAHI KUTOA RAIS???????????????

Je majibu yakija tofauti heshima yake itakuwaje kwenye jamii ya waaminio????
pQueen Esther

Acha unafki huku ukiweka dini kama mwamvuli ili uonekane huegemei upande wowote ni dhahiri hapo Mwakasege alimlenga LOWASSA kama Rais ajae na wewe hukupenda kwakua wewe unamsupport Magufuli
CCM hapa ilipotufikisha watu wamechoka wanatamani watoke ata leo watanzania tunahitaji mabadiliko kuliko kitu chochote.
Mwisho nikuulize swali: Ingekua Mwakasege anampigia debe Magufuli unaempenda wewe ungekuja kuanzisha thread humu? Tuache kujificha kwenye mwamvuli wa dini huku kutetea tunachokipenda sisi KUMBE NI UNAFKI MTUPU!!
VIVA UKAWA!!!!
 
Mimi ni team mwakasege ni wapi amekuambia mchague lowasa? Acha kuhukumu Mungu yeye ndo anayejua Raisi atufaaye. Usiudanganye umaa. Simama kwenye zamu yako.
 
KAMA UNASEMA MWL MWAKASEGE ALIMLENGA LOWASA KUWA NDIYE RAIS AJAYE; JE NI SAHIHI KWA MTUMISHI WA MUNGU??? JE NDIO ZILE HADITHI ZA KKKT HAIJAWAHI KUTOA RAIS???????????????

Je majibu yakija tofauti heshima yake itakuwaje kwenye jamii ya waaminio????
pQueen Esther

Hoja yako ingekua na maana zaidi kama ungekua hujaonesha unapoegemea kwenye suala zima la wagombea.
All in all yasome mawazo ya Mwl. Mwakasege na uanze kuyazoea sababu LOWASSA NDIE RAIS. UKWELI MCHUNGU.
VIVA UKAWA!!!
 
GT habari za asubuhi.

Kampeni za mwaka huu viongozi wa dini ya KIKRISTO wameongoza kuvunja sheria na taratibu za uchaguzi kwa kuonesha bayana yule wamtakaye.

Hili linanikumbusha habari ya kuchaguliwa kwa mfalme Daudi kuwa mfalme wa Israel. Mambo yafuatayo yalijitokeza:-
1. Mungu alimtuma Nabii Samwel akampake mafuta mfalme wa Israel
2. Mungu alimtuma Nabii Samwel aende katika nyumba ya Yesse na kati ya vijana wake Mungu amemchagua mmoja kuwa mfalme.
3. Nabii Samwel alipowaendea wazee wa Bethlehem walistuka hata kumuliza Je kuna amani??? Na ndipo alipowaambia na tutoe dhabihu.
4. Wakati IBADA ilipoanza ndipo Nabii Samwel alipoanza kuchagua mfalme mpya kwa kufuata matamanio ya moyo wake na sivyo Mungu alivyotaka.
5. Mungu alimuonya Nabii Samwel asiangalie mwonekano mzuri, urefu wa mtu,nk kwani Mungu haangalii hayo.
Mungu haangalii kama mwanadamu anavyoangalia, haijalishi ni Nabii, Mtume, Mwalimu au Askofu.
6. Tabia ya Mungu ni kuangalia NIA YA NDANI (For The Lord does not see as man sees; for man looks at the outward appearance, but The Lord looks at the HEART) statement of fact.
Tafsiri - Mungu haangalii vile mwanadamu anavyoangalia, kwani mwanadamu anaangalia mwonekano wa nje lakini Mungu anaangalia MOYO).
7. Hivyo basi haijalishi nani katabiri nini, nani kahubiri nini? nani kasema nini. Bado mpango wa Mungu na kusudi la Mungu kwa Tanzania litasimama.
8. BWANA HUYABATILISHA MASHAURI YA MATAIFA, HUYATANGUA MAKUSUDI YA WATU, SHAURI LA BWANA LASIMAMA MILELE, MAKUSUDI YA MOYO WAKE VIZAZI NA HATA VIZAZI.
9. Mwisho tunaona Nabii Samwel akiulizia iwapo kuna kijana mwingine wa Mzee Jesse, na ndipo Daudi akachaguliwa kuwa mfalme.
10. Daudi hakuwa amejiandaa hata kidogo kuwa mfalme, bali ulikuwa ni mpango wa Mungu mwenyewe.

HITIMISHO
Viongozi wa dini wameamua waziwazi kutuhamasisha tumchague mtu fulani kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Viongozi hawa wamesahau wajibu wao kutuongoza kuomba ili Mungu amchague yule aliyeupendeza moyo wake.

Kuna viongozi waliolifanya hili wazi na wengine wametumia akili ila unaelewa moyo unakoelekezwa. Haya nimeyaona katika mahubiri ya safari hii ya Mwl MWAKASEGE.

Jambo hili sio geni hata Nabii Samwel alifanya haya haya na mwisho wa siku Mungu aliyakataa mapendekezo ya Nabii Samwel na ndipo Daudi akawa mfalme wa Israel. TENA AKAWA THE BEST LEADER BAADA YA WOTE WALIOMTANGULIA KUBORONGA.

KWA MAANA HIYO BASI, WATU WOTE TUINGIE KWENYE MAOMBI YA TOBA NA TUMUOMBE MUNGU ATUPE RAIS ALIYEUPENDEZA MOYO WAKE. USISAHAU KUSINDIKIZA MAOMBI YAKO NA SADAKA. Viongozi wa dini tuelekezeni kwenye maombi na sio kwenye majina ya watu. Let the will of God prevail.

EE MUNGU TUSAIDIE. EE MUNGU IBARIKI TANZANIA. EE MUNGU TUPE DAUDI.

QUEEN ESTHER
Ambacho nakishuhudia kwa waamini wengi hivi sasa ni kuwa wanasahau kuwa unapoomba inabidi uwe tayari pia kusikiliza sauti ya Mungu.....usiwe na majibu yako kichwani....Mungu anapokupa jibu lazima uwe tayari kusikiliza na pia uwe tayari kufanyia kazi!!!haijalishi mazingira yanakuonyesha nini kama unaomba kwa imani ni wazi pia utaamini kuwa jibu alikokupa Mungu ni sahihi hata kama kwa jicho la kibinadamu unaona hali-make sense...angalia watumishi wa Mungu katika bible alikiwa anawachagua jinsi walivyo,alipoona kuwa hao ndio waliobeba kusudi lake aliwachagua na mara nyingine hata watumishi waliwwka pingamiza lakini bado Mungu aliwaonyesha kuwa ni wao wa kubeba hilo kusudi si vingineveyo refer Musa, Sauli, Daudi, Yakob0, Yusuphu, Rahel etc naungana na wewe kwa mada hii umetenda haki....tuache kuangalia kwa macho ya kibinadamu,tusikilize sauti ya Mungu na tuchague kwa kuisikiliza....pia hapo juu naomba nitofautiane na wewe kjwa mtumishi Mwakasege anachofanya ni kuweka foundation ya kile anavhopewa kufundisha na kuachilia ambao ni ujumbe wa Mungu...unayesikliza sasa,ukianza kuwa na prejudice au kutaka kuwa na kipimo cha anamzungumzia fulani lazima utaishia ku-miss hoja na kubaki ma majibu yasiyo sahihi...bottom line,tumsikilize Roho wa Mungu...Mungu anaipenda nchi hii kupita ukomo,ameipendelea kwa namna nyingi sana,ana makusudi nayo makubwa mno...katupa nafasi kila 5years kuchagua wenye kutufikisha Kanani yetu,tusiposikiliza kila ukifika wakati wa kuchagua basi hatuna wa kumlaumu ila sisi wenyewe....
 
Wewe ni Team MWAKASEGE sawa!!

Mimi nimeshauri maombi maana neno linasema amelaaniwa AMTUMAINIAE mwanadamu. Mimi naitumaini kazi ya msalaba.

Queen Esther

Mimi ni team mwakasege ni wapi amekuambia mchague lowasa? Acha kuhukumu Mungu yeye ndo anayejua Raisi atufaaye. Usiudanganye umaa. Simama kwenye zamu yako.
 
Amen nimepokea mtumishi.

Queen Esther

Ambacho nakishuhudia kwa waamini wengi hivi sasa ni kuwa wanasahau kuwa unapoomba inabidi uwe tayari pia kusikiliza sauti ya Mungu.....usiwe na majibu yako kichwani....Mungu anapokupa jibu lazima uwe tayari kusikiliza na pia uwe tayari kufanyia kazi!!!haijalishi mazingira yanakuonyesha nini kama unaomba kwa imani ni wazi pia utaamini kuwa jibu alikokupa Mungu ni sahihi hata kama kwa jicho la kibinadamu unaona hali-make sense...angalia watumishi wa Mungu katika bible alikiwa anawachagua jinsi walivyo,alipoona kuwa hao ndio waliobeba kusudi lake aliwachagua na mara nyingine hata watumishi waliwwka pingamiza lakini bado Mungu aliwaonyesha kuwa ni wao wa kubeba hilo kusudi si vingineveyo refer Musa, Sauli, Daudi, Yakob0, Yusuphu, Rahel etc naungana na wewe kwa mada hii umetenda haki....tuache kuangalia kwa macho ya kibinadamu,tusikilize sauti ya Mungu na tuchague kwa kuisikiliza....pia hapo juu naomba nitofautiane na wewe kjwa mtumishi Mwakasege anachofanya ni kuweka foundation ya kile anavhopewa kufundisha na kuachilia ambao ni ujumbe wa Mungu...unayesikliza sasa,ukianza kuwa na prejudice au kutaka kuwa na kipimo cha anamzungumzia fulani lazima utaishia ku-miss hoja na kubaki ma majibu yasiyo sahihi...bottom line,tumsikilize Roho wa Mungu...Mungu anaipenda nchi hii kupita ukomo,ameipendelea kwa namna nyingi sana,ana makusudi nayo makubwa mno...katupa nafasi kila 5years kuchagua wenye kutufikisha Kanani yetu,tusiposikiliza kila ukifika wakati wa kuchagua basi hatuna wa kumlaumu ila sisi wenyewe....
 
Wewe ni Team MWAKASEGE sawa!!

Mimi nimeshauri maombi maana neno linasema amelaaniwa AMTUMAINIAE mwanadamu. Mimi naitumaini kazi ya msalaba.

Queen Esther

Sass kama ni ushauri ni sawa ila wasema Christopher anaonyesha kuwa tumchague lowasa! Simama katk nafasi yako Jana alisema Leo kuna maombi ya kuombea uchaguzi na akasema usimbebe mtu kifuani pako mwachie Mungu yeye ndo anayejua Raisi yup anayetufaa. Amen
 
hekima yako imethibitika chini ya jua.

Queen esther

umeanza vizuri qs [queen esther] lakini umemaliza kwa personal judgement. Watu wa zamani waliwackiliza manabii na kuwaamini kwani ni wao pekee waliowasiliana na mwenyezi mungu na baadae kuwasilisha kwa waamini wao. Nikuulize unajuaje hao watumishi wa mungu wanaoongezeka kila kukicha wakitudirect kwa mgombea huyo huyo hawajawasiliana na mungu hata wakiwapima wagombea na mungu akiwaelekeza huyo huyo?
 
Sass kama ni ushauri ni sawa ila wasema Christopher anaonyesha kuwa tumchague lowasa! Simama katk nafasi yako Jana alisema Leo kuna maombi ya kuombea uchaguzi na akasema usimbebe mtu kifuani pako mwachie Mungu yeye ndo anayejua Raisi yup anayetufaa. Amen

Je umehudhuria huu mkutano siku zote au umeanza jana.
Ni vyema na yafaa.
Asante.
Queen Esther
 
Hata shetani wakati mwingine humpotosha Nabii wa Mungu na Bible reference zipo nyingi tuu. Ila hiyo siyo hoja kwa nilichoandika.

Nimeshauri tusikilize mahubiri lakini tusipoteze nafasi yetu ya kuomba. Je umesahau kuna watumishi wa Mungu walimtabiria Mrema kuwa Rais?? Je alikuwa Rais??? Baada ya hapo heshima ya viongozi hao kwenye jamii ya waaminio imekuwaje???

Mungu sio kigeugeu, sio mtu hata ajute wala sio mwanadamu hata aseme uwongo. Sisi tuombe na jawabu la ulimi latoka kwa Bwana.

Queen Esther

umeanza vizuri qs [queen esther] lakini umemaliza kwa personal judgement. Watu wa zamani waliwackiliza manabii na kuwaamini kwani ni wao pekee waliowasiliana na mwenyezi mungu na baadae kuwasilisha kwa waamini wao. Nikuulize unajuaje hao watumishi wa mungu wanaoongezeka kila kukicha wakitudirect kwa mgombea huyo huyo hawajawasiliana na mungu hata wakiwapima wagombea na mungu akiwaelekeza huyo huyo?
 
Bwanaee wacha wao wampigia mkatoliki mwezao sawaa haina shida..... sie tunaungana na waislam tunampigia lowasa saaa tuone nani atakae shida
 
Back
Top Bottom