Recent content by nammbazi kashaa

  1. N

    Msaada wa mawazo ya haraka, How do I tell her she is HIV Positive?

    Hakuna ridhaa hapo. Ukimtoa damu in lazima amweleze dhahiri sababu ya kufanya hivyo. Kwa hiyo nakushauri uanze na kuomba ridhaa yake na umpe ushauri nasaha.
  2. N

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mwisho wa ubaya ni aibu
  3. N

    Magufuli ulimtembelea Sumaye. Ina maana na wewe msaliti?

    Again, double standard building up!
  4. N

    Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

    Moja ya majukumi ya kiongozi was kiroho ni kukemea maovu. Makondacta anatuhumiwa kutumia vyeti visivyo vyake(forgery). Kwa hiyo Gwajima yupo sawa kwa anachokifanya. Pamoja hilo dini na siasa vitu ambavyo huwezi kuvitenganisha kwani they are in the same coin!
  5. N

    Clouds hili la Kibonde ni Sahihi?

    Kibonde amezoea kukiuka maadili ya utangazaji kwenye vyombo vya habari vya umma. Mara anawashambulia watu kwa jazba na upendeleo mkubwa kitu ambacho sio sawa kwa mtangazaji wa radio. Juzi nilimsikia aking'aka kuwa " anaeuliza vyeti akamuulize mama yake mzazi amuoneshe vyeti" Kwa kufanya...
  6. N

    ITV mmewakosea sana watanzania

    ITV huko nyuma walijenga imani kubwa sana kwa RAIA, lakini kwa mwenendo huu mlioonesha karibuni hapa mnatia mashaka sana. Sasa sijui watz tukimbilie wapi.jifunzeni kusimamia mnachoamini!
  7. N

    Magufuli aokoa dili Bomba la Mafuta la Uganda-Tanzania kwa mazungumzo na Museveni akiwa ziarani

    Mleta mada ndio mchochezi kwani gazeti halioneshi chochote kuhusu kufutwa mradi huu wa bomba LA mafuta. Mleta mada angeandika hivi; kuwa kulikuwa na tishio LA mradi kukwama baada ya serikali ya Tz kutaka tozo ya usafirisha ipande.
  8. N

    Makonda aenda likizo Afrika Kusini kwa zaidi ya miezi miwili

    PhD Doctor of Philosophy na si P.H.D
  9. N

    Sakata la viroba: Mselia wa Dodoma ajipiga risasi na kufa

    Serikali ilipaswa kwenda hatua kwa hatua; kwanza kusitisha uzalishaji viwandani pia uingizaji wa viloba kutoka nje. Na hatua ya kupiga marufuku matumizi ya viroba ingefuata. Najiuliza, serikali inawezaje kupiga marufuku wakati viwandani bidhaa hiyo ilikuwa bado inatengenezwa kihalali...
  10. N

    Kwa sasa hakuna chama cha Upinzani chenye nia na uwezo kutwaa dola, masihara yamezidi

    Nakubaliana na mleta hoja kuwa kwa sasa vyama vya upinzani havijapata wataalamu wa figisufigisu kama chama tawala.
  11. N

    BAVICHA wamjibu Kamanda Sirro kuhusu Mbowe kutakiwa kuripoti Polisi

    Watanzania wengi ni wanafiki na cha ajabu anaepalilia huu unafiki alishawahi kulalamikia unafiki kwenye chama chake!
Back
Top Bottom