mbwiganyuki
Senior Member
- Nov 3, 2012
- 156
- 105
UKAWA hamna tofauti na mwanamke mlalamishi ambaye nyumba yake imemshinda kwa udhaifu wake mwenyewe kisha anaanza kulaumu ndugu, jamaa na majirani zake. Poor you!
.
Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.
Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.
ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.
Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Wapenzi wa chadema bana....Unadhani mkutane wa Lema ni muhimu sana kwa maendeleo yetu?.

Mengi si wa mchezo mchezo.. Kama watoto wa mjini kama JK & Manji & Rostam and company walimshindwa unafikiri nani anaweza kumsumbua. Mengi is always smart..mengi anaogopa wakimfanya km manji atashindwa kumhudumia mtoto mzuri kylnn
Mkuu Lema alivyopata dhamana habari yake iliwekwa ya kwanza kabisa mbele hata ya habari ya ziara ya Magufuli Mtwara. Jana Lema kafanya mkutano na wananchi wake wa Arusha mnataka iwe habari ya kitaifa pia? Hivi wabunge wangapi wanafanya mikutano huko majimboni kwao na hatuwaoni wakirushwa?Wakati mwingine ukikaa kimya inasaidia kuto expose umbumbumbu wako! Hata kama una chuki na Lema ile habari ilikuwa ni muhimu sana kwa taifa!