Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Huu ndio ukweli mchungu kwa sasa Tanzania hakuna chama upinzani kinachoonyesha umakini kutwaa dola kimkakati au chenye ajenda endelevu inayogusa maisha ya kila siku ya Mwananchi.
Vyama vya upinzani badala ya siasa za masuala sasa wamehamia "siasa katuni" zenye nia ya kuburudisha au kichaka cha kupooza hasira au ngao ya kuficha waovu kwa kauli kuwa "tunaonewa"
Hakuna chama cha Upinzani kinachotengeneza viongozi badala yake wanaoteza watu eti kwa kisingizio "kuongeza idadI ya wapiga kura" sasa ni nani wamemuandaa apimwe kura?au wapiga kura siku hizi wote ni mateja?
Labda tujiulize hao wanaochukuliwa kwa mamilioni ya ruzuku wana sifa za uongozi?
Hapa ndipo ni nakubaliana na kauli ya Lowassa ya tar.30.5.2015 kwamba "hata katika kipindi hiki ambacho Watanzania wanataka mabadiliko bado CCM ndicho chama pekee kinachoweza kuleta mabadiliko"
UKweli bado ni kuwa vyama vya upinza ni vipo kwa mujibu wa sheria bila tija.