afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,254
- 2,678
Pepo
Mkuu Gwajima kaingiaje hapo?Kijambo ni afya,na ukiona mtu anamfucha mpenzi wake kijambo huyo hampendi,mjambie hata puani so long as ni kijambo cha upendo,kinachonukia pilao ,si umekula maharagwe yako kama ya Gwajima alafu unatoa ushuzi
Anataka umnunulie bodaboda huyo! Indirect message!
Kwani hiyo si ni njia ya kujisaidia? Kiafya linaruhusiwa,,,ila issue tu ni kwamba unajisaidiaje bila kuwa kero kwa mwenzako,,,lakini kwa wanandoa ni kuvumiliana tu,,,wala sio issue kubwa. Bora tu asifanye hivyo mbele za watu wengine,,,Kujamba inaonekana limeanza kua tatzo la kudumu kwenye ndoa nying maana thread nying zinalalamikia hilo swala
Kosa liko wapi unaposema ukweli na roho inatulia wengi wa kiume hukaa na vijiba mwisho wake ni kifo kwann ufiche kitu cha kipuuzi?Hivi mtu unaanzaje kutoa siri za mke/mume wako....?
Vipi shuzi lake linanuka ama?!tuanzie hapo kwanzaNina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. Mimi na mke watu tuna watoto wawili, ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. Mke wangu anapenda kujamba, jamani acheni kabisa, yaani anajamba kwa nguvu zote na kwa kujisikia raha sana, nimejaribu kumwambia kuwa hiyo hali inanipa kero lakini wala haelewi.
Na jambo hili halitegemei kala nini awe amekunywa mchemsho au chips atajamba.awe amekula maharagwe au kunde atajamba. Awe amekula wali samaki atajamba, si mchana si usiku, ye muda wote ni hali hiyo, nimejaribu kuangalia sehemu yake ya haja kubwa kama pengine inaweza kuwa wazi au sijapata uthibitisho wowote bado.
Lakini nachoshangaa ni kuwa anapotaka kufanya jambo hilo huwa kabisa anajiandaa na kubinua makalio yake huku akikenua meno kana kwamba anafanya jambo la busara, raha na la kustahili sifa, yaani ana enjoy sana hilo jambo, lakini starehe yake kwa wengine ni kero. Nisaidieni ana tatizo gani au nimsaidie vipi asiwe anafanya jambo hilo, too much is harmful.