Clouds hili la Kibonde ni Sahihi?

Clouds hili la Kibonde ni Sahihi?

Inawezekana kweli Gwajima anatumia ganja haiwezekani kiongozi wa kiroho akawa hovyo kiasi hicho.
Nakubaliana na Kibonde 100%
 
Leo asubuhi Kibonde amesikika akimkashifu Askofu Gwajima Kwamba anatumia Ganja,mimi navyoona amekifanya chombo chenu hakina maadili kwa sababu yeye mwajiriwa wa Clouds media,
Kama angetaka kuweka uwanja sawa angetoa maada kwa wananchi inayohusu kutumia vyeti ambavyo siyo vyako ni kosa au la,Wananchi ndiyo wajadili sasa mwendesha kipindi mwenyewe anapoanza kukashifu inamaanisha nini?

Clouds media huyo Kibonde unawaharibia,Siamini kabisa Kama Gwajima akiamua kufungua kesi atamfungulia Kibonde peke yake,ataifungulia Clouds media kwa sababu Kibonde ni mwajiriwa wa Clouds.

Kwa ushauri tu ingekuwa bora Kibonde angemwalika Makonda kwenye hicho kipindi ndiyo atoe majibu,hata kama atamkashifu Gwajima hawezi kuwagusa Clouds kwa sababu siyo mwajiriwa wa hapo,

Mnakumbuka yule Dada aliyeleta Mashoga kwenye kipindi chake nani alilipa faini na kuambiwa muombe radhi,Kwa nini asiyambiwe yule dada.Bro Ruge hili suala liangalie kwa jicho la pili,naishia hapa Najua Gwajima hizi tarifa anazo ila mungu ampe hekima na busara Kuhusu suala hili la Kibonde.

MAHABA VERSUS PROFESSIONALISM Kaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli
 
Na wewe mkuu umekosa media ya kusikiliza au kuangalia mpaka uende MAWINGU .
 
Hivi huyo Kibonde sijui Kibonge ana elimu gani?

Leo asubuhi Kibonde amesikika akimkashifu Askofu Gwajima Kwamba anatumia Ganja,mimi navyoona amekifanya chombo chenu hakina maadili kwa sababu yeye mwajiriwa wa Clouds media,
Kama angetaka kuweka uwanja sawa angetoa maada kwa wananchi inayohusu kutumia vyeti ambavyo siyo vyako ni kosa au la,Wananchi ndiyo wajadili sasa mwendesha kipindi mwenyewe anapoanza kukashifu inamaanisha nini?

Clouds media huyo Kibonde unawaharibia,Siamini kabisa Kama Gwajima akiamua kufungua kesi atamfungulia Kibonde peke yake,ataifungulia Clouds media kwa sababu Kibonde ni mwajiriwa wa Clouds.

Kwa ushauri tu ingekuwa bora Kibonde angemwalika Makonda kwenye hicho kipindi ndiyo atoe majibu,hata kama atamkashifu Gwajima hawezi kuwagusa Clouds kwa sababu siyo mwajiriwa wa hapo,

Mnakumbuka yule Dada aliyeleta Mashoga kwenye kipindi chake nani alilipa faini na kuambiwa muombe radhi,Kwa nini asiyambiwe yule dada.Bro Ruge hili suala liangalie kwa jicho la pili,naishia hapa Najua Gwajima hizi tarifa anazo ila mungu ampe hekima na busara Kuhusu suala hili la Kibonde.
 
Yeye alisema akichokozwa tu anampiga yule kiumbe. Sasa itafahamika.
 
Watangazaji wa Clouds TV na Radio kwa pamoja wamekubaliana kujipendekeza kwa CCM. Fuatilia Tundu Lissu anapokamatwa, jamaa hukimbilia kutangaza haraka haraka, lakini anapoigaragaza serikali ya Magufuli hutaona wala kusikia Cloudsccm wakitangaza.
 
Kibonde amezoea kukiuka maadili ya utangazaji kwenye vyombo vya habari vya umma. Mara anawashambulia watu kwa jazba na upendeleo mkubwa kitu ambacho sio sawa kwa mtangazaji wa radio. Juzi nilimsikia aking'aka kuwa " anaeuliza vyeti akamuulize mama yake mzazi amuoneshe vyeti" Kwa kufanya hivyo no kama aliwatukana watanzania.
 
mkuu Kiswahili huwa ni lugha ngumu sana kujifunza,watanzania tumezaliwa ndani ya hii lugha lakini bado Napata mshituko nikiona watu bado wanapata ukakasi ktk kuiongea,hapo nadhani ungeiweka hiyo clip ya Kibonde tungekusaidia kwa ushauri aliitoa as a joke au alimaanisha,mambo mengine tunatakiwa kuwa makini kidogo kukurupuka,
a
Gwajima hatumii ganja tu, madawa, analala na wake za watu, kawa mchawi anatuma mapepo yaende kwa mtu na Mungu asivyokuwa mnafiki, pepo likagoma, jamaa akasema liende kwa watoto wake!!

Gwajima sio mchungaji hafanani na Yesu kwa namna yeyote ile, Kibonde kamheshimu sana kusema anavuta ganja!! jamaa anatumia kila kitu sio ganja tu

kama ni mchungaji wako pole!

kama ishu ya vyeti wiki ya tatu sasa anaongea haoni aibu mkuu wa mkoa yupo

hajaweka evidence yoyote ile anaongea tu

siku ile Gwajima alipogombana na slaa alionyesha mpaka meseji!!! this time anaongea tu! ebu kueni basi...MATAPELI wanaishi kweli

hujagundua tu kuwa hata wewe unatumia bila kujua?
na yeye Makondakta kwa nini asiweke vyeti?
 
Kiukweli Kibonde abajitahidi sana kumtetea makonda mpaka anatoka nje ya mdtari
 
siku hizi kibonde anatangaza asubuhi!
Nilizoea kumsikia jioni!

Vizuri majizo wa efm akafika mpaka mikoani hao ndio watajimaliza wenyewe
Zamani ilikuwa huwezi simama useme umesikiliza radio bila kutaja radio free ila muda ukafika nao wakawa hawavumi tena

Sasa na hao ujuha mwingi mpaka wanaharibu
Binafsi hawa jamaa na wa dharaaaaauuuuuuuuu sana
 
Back
Top Bottom