Recent content by nalekazo sajaid

  1. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Dar

    mwendo kasiiiii
  2. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Vyama visivyo na wabunge, Magufuli umevifuta?

    sawa tu
  3. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Kwa ili, application inayofaa ni ipi??

    sijawai kupata ila kuna sim nilikua nayo ni nokia pembe mbili ilikua na uwezo huokupitia media player yake
  4. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Walimu wenye vyeti feki watakiwa kujisalimisha kwa hiari kabla ya shuruti

    sina woga ila nimetoa hisia zangu
  5. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Yako wapi maendeleo kati ya nchi za kifalme na nchi za demokrasia?

    Kumekua na malumbano mengi siku hizi kushindana kisiasa za demokrasia. Ahadi nazo zimekua zikidharaulika siku hadi siku viongozi nawao kwa muda mrefu wamekua wakijihusisha na ulanguzi wa mali za umma. Na wafanyakazi wa sekta za umma wamekua wakinyanyasa raia ambao ni wateja wao sekta ambayo...
  6. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Hivi kosa la CCM ni kuaminiwa na Watanzania, au ni lipi?

    mm sitaki siasa, bora turudi kuishi kifalme
  7. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Mafisadi sasa kufilisiwa mali zao na kusweka jela miaka 30

    sawa lakin mali zionekane kweli nazo
  8. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni CCM sio Magufuli - Msimamo 2020 CCM inaondoka

    tumeeee
  9. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Walimu wenye vyeti feki watakiwa kujisalimisha kwa hiari kabla ya shuruti

    barua haina muhuri
  10. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Wabunge wagoma kusalimiana

    tumepoteza muda wa kupiga kura leo hawaongei wanagindwa kuwa pamoja heri demokrasia iishe tu
  11. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Katiba pendekezwa ya Warioba

    ngoja nicheki maktaba yangu nahisi ninayo
  12. nalekazo sajaid

    JamiiForums Tanzania Thamani ya rupia kwa shilingi ya tanzania

    rupia ni fedha ambazo zilikua zikitumika zaman sana (enzi za ukoloni) hivi sasa ukizipata thamani ya madini yale ni bei gan kwa sasa.
Back
Top Bottom