Vyama visivyo na wabunge, Magufuli umevifuta?

Vyama visivyo na wabunge, Magufuli umevifuta?

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,009
Reaction score
74,643
"Kila mtu afanye mkutano wa siasa sehemu aliyochaguliwa" by JPM
bwana mkubwa ana kauli tata kweli! Ina maana vile vyama ambavyo havina wabunge nchini ndio anavifuta? Kwa sheria gani? Au sehemu iliyochaguliwa CCM vyama vingine vitajijengaje bila mikutano ya kujitangaza?

Anachotaka kutuambia mahali kama Arusha mjini CCM wafunge kabisa ofisi zao maana hawakuchaguliwa na hawawezi kufanya mikutano kwa amri ya mkuu? Nadhani ni wakati wa kuwajua kwa uwazi kabisa majina ya washauri wa Siasa na Uchumi wa Rais maana yaweza kuwa wanampotosha ili aharibikiwe.
Yaweza kuwa anamshauri wa siasa mwana UKAWA hivyo anampoteza ili aharibikiwe na kudharauliwa kama sasa.
 
"Kila mtu afanye mkutano wa siasa sehemu aliyochaguliwa" by JPM
Bwana mkubwa ana kauli tata kweli! Ina maana vile vyama ambavyo havina wabunge nchini ndio anavifuta? Kwa sheria gani? Au sehemu iliyochaguliwa ccm vyama vingine vitajijengaje bila mikutano ya kujitangaza?
Anachotaka kutuambia mahali kama Arusha mjini CCM wafunge kabisa ofisi zao maana hawakuchaguliwa na hawawezi kufanya mikutano kwa amri ya mkuu?
Nadhani ni wakati wa kuwajua kwa uwazi kabisa majina ya Washauri wa Siasa na Uchumi wa Rais maana yaweza kuwa wanampotosha ili aharibikiwe.
Yaweza kuwa anamshauri wa siasa mwana Ukawa hivyo anampoteza ili aharibikiwe na kudharauliwa kama sasa.
Itakuwa hashauriki... na kama anashaurika bc mshauri wake si mwanasiasa
 
"Kila mtu afanye mkutano wa siasa sehemu aliyochaguliwa" by JPM
Bwana mkubwa ana kauli tata kweli! Ina maana vile vyama ambavyo havina wabunge nchini ndio anavifuta? Kwa sheria gani? Au sehemu iliyochaguliwa ccm vyama vingine vitajijengaje bila mikutano ya kujitangaza?
Anachotaka kutuambia mahali kama Arusha mjini CCM wafunge kabisa ofisi zao maana hawakuchaguliwa na hawawezi kufanya mikutano kwa amri ya mkuu?
Nadhani ni wakati wa kuwajua kwa uwazi kabisa majina ya Washauri wa Siasa na Uchumi wa Rais maana yaweza kuwa wanampotosha ili aharibikiwe.
Yaweza kuwa anamshauri wa siasa mwana Ukawa hivyo anampoteza ili aharibikiwe na kudharauliwa kama sasa.
CCM inashika mitaa zaidi ya sabini huko Arusha ...

CCM imefanya chaguzi zake za ndani bila maandamano.

Zitto badala ya kwenda kuhamasisha kigoma kila kukicha yuko facebook.

Mbowe anasubiri 2020 aende HAI kupeleka ambulance second hand ya kuwazugia wananchi.

Lissu yuko busy kumtukana Rais wakati jimboni kwake watoto wanakaa chini.

Mnyika anapeleka kesi yakuomba kuonekana live wakati Kibamba hamna maji.
 
Afute wabunge wa viti maalum
NB; Hofu yake ni Lowassa kuzunguka tu.
Inadhirisha wazi mkulu anakiogopa kivuli cha Lowassa. Kumbe Lowassa ni heavy weight champs kumlinganisha na dikteta uchwara.
 
CCM inashika mitaa zaidi ya sabini huko Arusha ...

CCM imefanya chaguzi zake za ndani bila maandamano.

Zitto badala ya kwenda kuhamasisha kigoma kila kukicha yuko facebook.

Mbowe anasubiri 2020 aende HAI kupeleka ambulance second hand ya kuwazugia wananchi.

Lissu yuko busy kumtukana Rais wakati jimboni kwake watoto wanakaa chini.

Mnyika anapeleka kesi yakuomba kuonekana live wakati Kibamba hamna maji.
Vyote hivyo vinahitaji siasa safi na yakinifu kufikia malengo mapana kuwakwamua wananchi kwenye dimbwi la matatizo yaliyoshindikana kwa miaka 50plus.
 
Atafute mshauri mwenye kuifahamu vzr siasa na c vinginevyo ...zaidi ataingia kwenye historia mbaya kuwa ndo kiongozi aliyefanya nchi iingie kwenye machafuko
Sasa kama hashauriki tufanyaje. mambo yanaenda kimzukamzuka na mwendo kasi.
 
Sasa kile chama chetu changa na kimezaliwa juzi juzi na cha kizalendo je kitajijengaje?
Yaa, itakuwa ajabu sana kuiambia ACT Wazalendo eti mikutano yake inaruhusiwa kufanyika Kigoma Kaskazini tuu!
 
Yaa, itakuwa ajabu sana kuiambia ACT Wazalendo eti mikutano yake inaruhusiwa kufanyika Kigoma Kaskazini tuu!
Tena kigoma mjini tu. Huko kwingineko ni marufuku. Sijui kama zipo kwa tamko hilo. Kwa namna ya uropokaji wake huyu bwana anastahili kuwa kwenye level ya uwaziri mkuu. Uraisi ni busara na hekima na sio mabavu.
 
Vyote hivyo vinaitaji siasa safi na uakinifu kufikia malengo mapana kuwakwamua wananchi kwenye dimbwi la matatizo yaliuoshindikana kwa miaka 50plus.
Maandamano kila kukicha ndio siasa safi?
 
Back
Top Bottom