Yako wapi maendeleo kati ya nchi za kifalme na nchi za demokrasia?


nalekazo sajaid

nalekazo sajaid

Senior Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
117
Likes
12
Points
35
nalekazo sajaid

nalekazo sajaid

Senior Member
Joined Jun 28, 2014
117 12 35
Kumekua na malumbano mengi siku hizi kushindana kisiasa za demokrasia.
Ahadi nazo zimekua zikidharaulika siku hadi siku viongozi nawao kwa muda mrefu wamekua wakijihusisha na ulanguzi wa mali za umma.

Na wafanyakazi wa sekta za umma wamekua wakinyanyasa raia ambao ni wateja wao sekta ambayo imekua ikitupiwa mizigo na lawama kubwa ni elimu kwa kipindi kirefu nimekia nikifuatila sana nchi za kifalme nimegundua mengi ukilinganisha na sisi wa demokrasia.

Pamoja na kuwa maamuzi ya nchi za kifalme yanatoka katika familia moja lakini inalenga katika mendeleo na nchi hizi ziko safi katika sekta zake na mara nyingi hazina ulimbikizaji wa mali kama na sisi tunahitaji maendeleo kwanini tusiondoe utata takafanya kama nchi hizo.

Jamani ni mtazamo wangu kama unaunga mkono.
 
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Messages
3,301
Likes
5,883
Points
280
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2012
3,301 5,883 280
Yani unataka Magufuli awe Mfalme wa Tanzania?
 

Forum statistics

Threads 1,236,609
Members 475,218
Posts 29,263,908