Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,749
Kulindana kulinda ni seaa ya CCM hio ,tusitegemee ipo siku sheria itafuata mkondo wake katika Taifa hili la Tanzania ,sheria bado ipo chini na viongozi wapo juu ya sheria ,sera ya kulindana ipo palepale ,unaposikia ..wala msiwe na wasiwasi kaeni kwa raha kabisa ...hapo wanaambiwa wastaafu, ambapo kuna madai bado yapo juu ya meza wengine walifanya ikulu sehemu ya biasahala ,leo wananchi wanaoweka matumaini juu yako kuwa utayashughulikia ya Kiwera,Tegeta ,makaa ya mawe,wanunuzi wa rada mbovu ,wanakusikia ukisema utawalinda viongozi wastaafu wala wasiwe na hofu ?
Kama waandishi wakithubutu kukuhoji utawalinda kwa jambo gani ? Kuna lipi lililokupelekea kusema wasiwe na hofu utawalinda ?
Kama ni ulevi wa madaraka sasa naona viongozi wameanza kuwa wenyeji na njia zza uongozi,uongozi na utawala wa kiccm kiasi ya kutoa guarantee ya ulinzi wa uhakika ,hii inamaanisha kwa yeyote atakaekuja baadae nae aje kumlinda ! Je sasa mheshimiwa nae anataka kuanza kuchukua chake mapema ?
2020 haipo mbali tena ,nina hakina mori wa WANANCHI upo palepale, Magufuli na rai zake hazitowabdilisha muelekeo ,wala watu hawatataka kutafuta ametenda lipi amefanya lipi ,hatuhitaji sera ,kwanza ni kuiondosha CCM kishaa tuihukumu kwa maadili ya kufuata sheria.Ili wajue sheria inafuatwa vipi na kutekelezwaje,sio kuunda sheria zinazzowalinda wao,hilo tunaliona.
Na sasa kura nyingi sana zimeongezeka ukichukulia hiki kipindi kifupi tu cha utawala wa Mheshimiwa Magufuli ,CCM imeshapoteza asilimia kubwa yaa kura zake,hilo halihitaji tochi.
jambo moja kwa sasa ni kuelekeza nguvu katika kuziondoa hizi tume za kijechalism,tume ambazo hazipo katika mfumo ufumbuzi,zipo kiccm zaidi na ndio kama tulivyoona,zinaburuzwa. Hizi ndio iwe changamoto.
VYAMA VYA UPINZANI viache kazi zote ziweke nguvu katika hili la tume kuanzia sasa ,achaneni na Magufuli kabisa kabisa ,mwacheni aendeleze serikali yake nyinyi wekezeni katika tume za Uchaguzi ,huko msiwape nafasi ya kukaa na kufikiri iwe ndio suala la mwanzo kila kukich