Recent content by mzeewaShamba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Cow ear tags

    Zipo kko maduka mifugo panda kule ghorofa ya Kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa eneo linamilikiwa na majini na nimeshalipia pesa

    Waswahili wango hâta mimi yalinikuta kama hayo baada ya kujenga nyumba kule mbagala kwa mangaya walikuja watu na vitisho kama hivyo nilianza kutishika lakini baadae nikajipa moyo nikahamia sijaona chochote mpaka leo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi nitapata tyre size hii? 11.00-16

    Kkoo ule mtaa unaotokea muhimbili kuelea msimbazi siukumbuki jina
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Yohana 18:18 ...mtakalofunga duniani limefungwa na mbinguni na mtakalofungua duniani litafunguliwa mbinguni .... Hata Akina kibwetere walisema walitumia vifungu Kama hivyo hapo juu kuhararisha uovu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu kwa anaefahamu sululisho la huu ugonjwa au hata tiba yake

    Hata mimi nilikwisha ugua ugonjwa huu daktari mmoja bingwa wa magonjwa ya ngozi aliniabia hiyo ni kansa lakini nilitumia dawa rahisi Sana GENTRSON miaka sita iliyopita nimepona kabisa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Wang'eng'i nyang'ana Kurasini pr school 1984
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Haitoshi kumlilia Nape, Tunapaswa kuchukua hatua kumuwajibisha Rais

    <br /><br />Wewe unavyoona kwa bunge hili kuna uwezekano wa kumuwajibisha rais kupitia bunge....!!??<br /><br />Ukilitazama bunge hili..... Labda yule mdada Naibu speaker asiwepo mle bungeni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ana dini?

    Dini ni imani inayo husisha maisha ya binadamu na mungu wake
  9. M

    JamiiForums Tanzania PPF na NSSF sio kama LAPF

    Vyama vya wafanyakazi mko wapi? You are telling us solidarity forever!! Which kind of solidarity while people are suffocating?? Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi vipo wapi?

    Vyama vya wafanyakazi vimelala doroo!! Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali haitujali, mntutumia vibaya walimu. Tusipowahukumu sisi Mungu atawahukumu (Cabinet)

    Chama cha waalimu kinafanya nini? Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako adai yeye ndiye anazuia mvua Dar

    Kujiunga na chama cha Freemason tz ili uwe tajir Piga namba zifuatazo utaongea nao Na kupewa maelekezo, 0689701625,0621427735,0712854564 Haziko hewani Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako adai yeye ndiye anazuia mvua Dar

    Za kuambiwa changanya na zakwako Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mti unaotumiwa na waganga feki kuwatapeli watu

    Duhh Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom