Wapi naweza kupata Cow ear tags

Ufunuo wa Yohana

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
321
66
Ndugu zangu kama kuna mtu anajua wapi hapa Dar napata tags za kuweka ktk masikio ya ngómbe for identification na kile kifaa chemyewe cha kuwekea hiyo tag ktk sikio. natanguliza shukrani tena.
 

Ufunuo wa Yohana

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
321
66
Barikiwa sana kwa kuuliza hili swali maana nami nilikuwa na wazo la kuwafanyia hivyo Mbuzi wangu.

Unajua nimetembelea mifugo yangu sasa kuna ndama wamezaliwa identification inakuwa shida mno nataka kila akizaliwa namuwekea namba. hii itanirahisishia kuweka kumbukumbu sahihi hata kwenye database yangu. hata akifa wakipiga simu nijue ni namba ngapi amekufa.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom