Je, Mungu ana dini?

isotaaaa

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
1,944
824
Jamani wana JF poleni na majukumu kila siku, ndiyo wajibu na na haki kwa kila mtu kufanya kazi.

Ndugu zangu sote tumeumbwa na mwenyezi MUNGU lakini katika uwepo wake kwa binadamu, kwa upendo wakutufanya sisi tuishi bila hofu wala kununua pumzi hii tunayo lingua.

Ningepnda kufahamu je, Mungu wetu mpendwa ana dini? Kama ana dini ni ipi Kati hizi nine.
1.Christianity
2.Muslim
3.Pagan
4.BUDDHAN RELIGION
 
Christian wanae Mungu wao ambae yeye wanaamini anamwana anaitwa Yesu na baada ya maisha ya hapa duniani wataishi nae huko wanako amini mbinguni na watakuwa na mwili mpya na hakutakuwa na kuoa wala kuolewa kwa Mungu wa wakristo.

Waislam wanaamini pia wanae Mungu wao ambaye yeye waamini kwamba baada ya haya madhira ya hapa duniani wataenda ahela, ambako huko ahela/peponi wao wanaamini wataozwa wanawake sabini wenye macho mazuri na makubwa kila mmoja, watalala nao pasipo nyeti zao kuishiwa nguvu wao waamini hivyo.

Wapagani wao hawamjui Mungu na wanaamini ukishakufa itz over.

Buddha pia wanae Mungu wao wanaejitengenezea na kumwabudu wanamwamini huyo.

Kwa hiyo ukifatilia vizuri kila kila dini ina Mungu wake,
si kweli kwamba eti wote twamwabudu Mungu mmoja la..!
 
Jamani wana JF poleni na majukumu kila siku,ndiyo wajibu na na haki kwa kila mtu kufanya kazi.
Ndugu zangu sote tume umbwa na mwenyezi MUNGU lakini ktk uwepo wake kwa binadamu ,kwa upendo wakutufanya sisi tuishi bila hofu wala kununua pumzi hii tunayo lingua.

Ningepnda kufahamu je ,Mungu wetu mpendwa ana dini?Kama ana dini ni ipi Kati hizi nine.
1.Christianity
2.Muslim
3.Pagan
4.BUDDHAN RELIGION

!
!
sio yoyote kati ya hizo......Mungu Dini yake ni Upendo
 
ngoja nikwambie ..mung anayo din na yy ndio alieileta hii dini..na maana ya neno din ni mfumo wa maisha kwa kila mwanaadam alioletewa na mung ..kwaiyo din ya mungu ni uislam,..ndo din yke na na alioileta hpa.dunian pasina nyingne. sura ya 3:19
1ed24e32f1b9d439936a9310b2fa5532.jpg
 
Jamani wana JF poleni na majukumu kila siku,ndiyo wajibu na na haki kwa kila mtu kufanya kazi.
Ndugu zangu sote tume umbwa na mwenyezi MUNGU lakini ktk uwepo wake kwa binadamu ,kwa upendo wakutufanya sisi tuishi bila hofu wala kununua pumzi hii tunayo lingua.

Ningepnda kufahamu je ,Mungu wetu mpendwa ana dini?Kama ana dini ni ipi Kati hizi nine.
1.Christianity
2.Muslim
3.Pagan
4.BUDDHAN RELIGION
Hivi hapa JF hakuna JUKWAA LA DINI?
 
ngoja nikwambie ..mung anayo din na yy ndio alieileta hii dini..na maana ya neno din ni mfumo wa maisha kwa kila mwanaadam alioletewa na mung ..kwaiyo din ya mungu ni uislam,..ndo din yke na na alioileta hpa.dunian pasina nyingne. sura ya 3:19
1ed24e32f1b9d439936a9310b2fa5532.jpg
Check huyu Naye...... Sasa Ulidhani Quran itasema Hakika Mungu ni Mkristo. Lazima Ijibebe Yenyewe
 
Mwenye dini ni yule wa waislam. Miungu wengine wao ndo wanaoabudiwa kwa hiyo hawahitaji wawe na dini
 
Napata wasiwasi kama kweli mungu yupo na kama kweli yupo basi dini ingekua moja duniani kote.
 
ngoja nikwambie ..mung anayo din na yy ndio alieileta hii dini..na maana ya neno din ni mfumo wa maisha kwa kila mwanaadam alioletewa na mung ..kwaiyo din ya mungu ni uislam,..ndo din yke na na alioileta hpa.dunian pasina nyingne. sura ya 3:19
1ed24e32f1b9d439936a9310b2fa5532.jpg
mh uislam mbona aufanani hata kidogo kwanza wengi n makatili,wanalipiza visasi
 
  • Thanks
Reactions: R.K
Back
Top Bottom