Ben branco
Member
- Jan 24, 2017
- 30
- 47
Naam wapendwa habari za asubuhi
Leo nipo hapa kufichua siri zinazofanywa na wataalam feki kwa kutumia mti huo pichani
mti huu kwa jina la ukaguruni niliambiwa unaitwa MFUDIKIZA....lakini kila sehemu kuna jina lake kutokana na lugha yao,angalia picha kwa makini utaujua kwani ni mmea maarufu tu humo maporini
BAADHI YA MAMBO YANAYOFANYIKA KIUKWELI KWA KUTUMIA MMEA HUU
~Huu mmea unaweza kuutumia kumtega mchawi akija kwako anase mpk asubuhi
~ukichanganya na karatasi iliyoandikwa jina la fulani na........kisha ukachemsha kwa manuizi na kumwaga njia panda basi unaweza kumsahaulisha mtu anayekudai
pia hutumika,kuua kesi,kulipwa haraka,kuhamishwa au kumuhamisha mtu kutoka sehemu moja mpaka nyingine n.k hizi ni baadhi tuu ya kazi ambazo zinafanyika kwa kutumia mmea huu na ukafanikisha kabisa,lakini kuna mchezo ambao baadhi ya waganga huufanya kwa kudanganya watu kwa kuutumia mmea huu.
NI MCHEZO GANI?
~unaweza kwenda kwa mganga huyu ukiwa una matatizo fulani yanakusumbua mwilini mwako,mganga huyu atatumia ufundi wake kujua tatizo linalokusumbua na tiba yake,lakini,anaweza kugundua ni kitu kidogo sana kinachosumbua mwilini mwako labda ni kiasi tu cha kukuambia KAPIKE MCHICHA KUNYWA MAJI YAKE UTAPONA,lakini hushikwa na tamaa!
~Mganga huyu mwenye tamaa atatafuta mbinu ya kuvuna pesa nyingi kutoka kwako,je unajua atafanyaje?HAPA NDYO ATAUCHUKUA MMEA HUO NA KUANZA NAMNA HII
~Atawasha moto na atakuambia uchemshe mwenyewe miziz ya mmea huo,nawe utaichemsha huku mkisubiri iive vizuri
mmea huu una kawaida ya kukufanya uone ndivyo sivyo(kiini macho)kama utachanganywa na vizimba vingine, kisha utapewa guo zito ujifunike huku unaambiwa
''WEWE UNA MATATIZO MAZITO SAANA YAANI UNGECHELEWA KUFIKA HAPA UNGEWEZA HATA KUFA! KWA SABABU UMELISHWA MAKONOKONO,MAUCHAFU YA MAKABURINI,MATAMBALA MEKUNDU NA ATAKUTAJIA MAZAGAZAGA MENGINE MACHAFU NA MABAYAMABAYA KIBAAOOO ILI UCHANGANYIKIWE NA MWISHOWE ATAKWAMBIA NiTAKUTOA na UTAYAONA LIVE LAKINI KAZI HII NI KUBWA LAZIMA ULIPE........ Atakutajia hela ndeefu.
UTAINGIA TUU KWANI LAZIMA UCHANGANYIKIWE
UKIJIFUNIKA ATAKUAMBIA UCHUKUE DAWA KIDOGO USUKUTUE NA UTEME MULEMULE KWENYE CHUNGU CHA DAWA HALAFU UANZE KUJIFUKIZA HIYO DAWA HUKU YEYE ANANUIZA MANENO FULANI
UKIANZA TU KUJIFUKIZA GHAFLA UTAONA MDOMONI VINATOKA MAGANDA YA KONOKONO KWA WINGI,MAFUPA,NYWELE,KUCHA ZA BUNDI,MATAMBALA NA MAUCHAFU MENGINE ILI MRADI NI SHIDAA.KILA UKITAKA KUFUMBA MDOMO UTASHINDWA YATATOKA MAUCHAFU MENGI NDANI YA DAKIKA KUMI MFULULIZO,MWISHO YATAKOMA NA WAKATI HUO UPO HOI BIN TAABANI
HAPO SASA UTAZIDI KUCHANGANYIKIWA! KUMBE UNACHEZEWA AKILI NA UTAAMBIWA SASA UMESHAPONA NA MWENYEWE UTABAKI KUSIFU DAAAAH YULE MTAALAM NI KIBOOOKO KUUMBE UNGEJUA!!!!!
ZINGATIA
HII HAIMAANISHI KUWA WATAALAM WOTE WANAOTOA VITU HUFANYA HIVI HAPANA,ILA UKIUONA HUO MTI NDYO UNATUMIKA NA PROCESS ZA MAANDALIZI NI KAMA HIZO AKILI KICHWANI MWAKO