PPF na NSSF sio kama LAPF

PPF na NSSF sio kama LAPF

Hii mifuko vumbi lilitulia ukishajiunga ndo utakiona mimi nliona nssf shida nikachotaga changu nikakimbilia ppf duh fumbiiiii tupu
Enhee!! Na vipi ulivyohamia ppf Kuna unafuu gani ukilinganisha na nssf?! Au afadhali Hao nssf?!
 
Hata hao wanasifia lapf uliza waliomo au walioingia wakatoka hapo ndo utaelewa hakuna kitu kinaudhi pale unapotaka mchanganuo ya michango yako unaambiwa ya mwezi fulani haijaingia kafuatilie kwa mwajiri wat the f####k hapo hapo mwajiri akicheleweshwa anapigwa penalt yani dah
 
Back
Top Bottom