Nkiri inashida gani? inagoma kushusha mzigo anayeju chimbo lingine anise msaada ili niweze kushusha hata series moja
Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
Mimi sijaona kosa la mshikaji mpaka mfikie maneno kama haya kwakuwa kila mtu ana mapenzi yake na kila mmoja ana kitu ambacho kinamvutia hivyo atazame zilizotafsiriwa ni yeye cha msingi si amecheki maniadje
Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
Dah!! Pole sana mkuu ila ilo mbona swala dogo sana wewe ndiyo unafanya liwekubwa sababu bado unampenda na yeye anajua unampenda ndiyo maana unaumia
Fanya hivi jichanganye na washikaji, kula msosi safi na vimazoezi kimtindo alafu tafuta pisi ambayo haina mambo mengi maana wachumba wapo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.