Recent content by MzamiajiX

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuipandisha hadhi manispaa ya Moshi kuwa jiji wanoga

    Moshi inapaswa kuwa na hadhi ya NewYork of Africa. NB: Sidhani kama Moshi kuna vibaka... watashughulikiwa mara moja
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya usalama wa raia Burundi ipo hatarini.

    Baada ya ya rais Pierre Nkurunzinza kuvunja katiba na kugombea urais kwa mhula wa tatu hali ya usalama nchini Buriudi imekua sio nzuri. Uchaguzi uliomuweka madarakani Nkurunzinza ulilaumiwa vikali na jumuiya za kimataifa kuwa sio wa huru na wa haki kwani ulivunja katiba na kukiuka sheria za nchi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa Condom: Inabidi muache ngono kwa muda!

    Hali sio nzuri baada ya kuadimika kwa condom hapa nchini. Yote hii ni sababu ya misaada kukatishwa. Raia mnapaswa mjiongeze msifanye ngono kwa kipindi fulani mpaka misaada itakapoanza kuja tena. Sasa ndugu zangu mchague mawili kifo cha UKIMWI au kuvumilia ukame kwa muda fulani. Pia baadhi ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati na kada mpambanaji wa CHADEMA ndugu Steven Moses atoweka katika mazingira ya kutatanisha wilayani mufindi (Mafinga)

    Kwa namna hiyo huyo mwanasiasa ndio anahusika na kupotea kwa huyu mwanaharakati wa chadema.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kurudi toka ugenini

    Unamsaidiaje mtu alie nchi za watu mbali kabisa na Tanzania ambae hana nauli na uwezo wa kupata pesa hana kwani hana shughuli ya kujipatia kipato? Je ni njia gani reliable za kupokea hela mfano akichangiwa hapa bila kizuizi kwa nauli inayozidi 1500USD? Pengine viwanja vya ndege vingekua vinatoa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku 4 tu kushuhudia Harusi ya Diamond na Tanasha. Je maandalizi yakoje?

    Kuzaa nje ya ndoa si dhambi kwa dini ya kiislamu? Kwanini asiowe halafu kama hamtaki tena huyo mwanamke ampe talaka kwani kwa waislamu ina ruhusiwa kutoa talaka?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume mkristo

    Umesema unahitaji chaguo jema je wewe ni mwema?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari kudai kiti chao Umoja wa Mataifa...

    Kimsingi Zanzibar hawataki huu muungano kwao ni kero. Waliwahi kutaka kushiriki michuano ya kimataifa wao kama Zanzibar na sio Tanzania hapa nazungumzia mpira. Wazanzibar waliwahi kufungua kesi mahakamani wakiwa kundi la watu 40,000 sijui kesi yao iliishia wapi. Kwenye michuano ya secafa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kiroho

    Pole sana ndugu wewe kuna kitu unacho hao watu wanakitaka na sio wema moja kwa moja. 1.Njia pekee ya kujua mawazo ya mtu na kilicho moyoni mwake ni kwa kumtumia Mwenyezi-Mungu au kwa wale washirikina hutumia pepo ambalo huwaambia kita kitu anachofanya mtu, kilichopo moyoni mwake yani kwa msingi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Pole sana mkuu nikuambie tu msingi wa matatizo yote ya dunia hii ni dhambi. Hiyo laana inayowatafuna ndugu zako ni dhambi za wazazi na wazee wenu maana zinawatafuna hadi kizazi cha nne. Pengine wewe una baraka za mzaliwa wa kwanza (Sio lazima uwe umezaliwa wa kwanza kiuzao bali ni kiimani) kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza sana Madaktari hawa wa Saudia Arabia, Mungu awabariki!

    This is strange. MUNGU awabariki kwa kweli.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi nchini Gabon lapindua Serikali ya Ali Bongo

    Huyu mbona siku zake zinahesabika
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi nchini Gabon lapindua Serikali ya Ali Bongo

    Mwisho wa hawa madikteta ni kifo kibaya sana... Yuko wapi Tsar wa Russia? yuko wapi dikteta wa romania? wapi hitler, mussolini, mao, stalin, lenin, Habyarimana, mobutu, iddia amin n.k
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mungu wa kweli hahitaji haya tunayoaminishwa

    1.Fungu la kumi linahitajika kama shukrani kwa MUNGU mkuu nakushauri usome biblia vizuri. 3, Nabishana na wewe. Mungu kamuumba binadamu ili amtumikie na kumpa uhuru wa kuchagua yeye mwenyewe. Hata Yesu alifunga kwa hiyo utaona maombi ni muhimu. Ufalme wa mbingu unapatikana vigumu ndugu so...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tuelezane njia za asili za kujikinga na kuwaadhibu wachawi

    1.Okoka mkabidhi MUNGU maisha yako kamwe hakuna machawi atakae kusogelea ni njia sahihi kwa asilimia 100%. Ukilitaja jina la YESU ni dawa dhidi ya pepo. 2.Nyunyiza chumvi ya mabonge mabonge kwenye makazi yako kwa mfano chumbani, sebuleni shambani, kazini mwako n.k mchawi hawezi sogelea hayo...
Back
Top Bottom