kanjuki
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 209
- 95
Kwanza amua rasmi kuokoka, usiwe 50/50. Kuwa na imani thabiti. Zaidi njoo inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanichanganya sana katika maongozi yako, mara hao hao ndugu zako wako bega kwa bega na wewe na wanakwenda mpkaa kwa waganga hapo hapo unasema hao ndugu zako wana imani kubwa, sasa mtu mwemye imani inakuaje waende kwa waganga tena kama sio imani haba hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo umeshaenda hata kwa waganga nashindwa hata nikushauri, mtu mwenye imani kwa waganga ni mtu mbaya sana Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa usemacho lakini ilikuwa katika Hali ya kujaribu tuTatizo umeshaenda hata kwa waganga nashindwa hata nikushauri, mtu mwenye imani kwa waganga ni mtu mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app