Natafuta mume mkristo

wanaume walio na huo umri ulioutaja walio wengi wameoa, punguza umri iwe kuanzia miaka 18-34 uone kama kesho tuu haujaanza vikao vya ndoa na kuunda kamati

Ukipunguza umri na mm piah ntakuwa mmoja kati ya wavulana watakaonufaika na mpango wako wa punguzo la miaka..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi.
Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu.
Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani.
Nimhitimu katika chuo cha veta.
Tofauti na hapo napambana na life.
Mimi ninatafuta mwanaume ambaye tutaishi vyema.
Tupendane nakusikilizana.
Tushauriane na kuwaza maisba.
Mimi nipo serious sana katima hili .
Elimu ni muhimu kwangu kwa sababu lazima uondoe ujinga.
Kazi pia ni muhimu awe nayo.
Umri ni 34- 38 naomba waje walioserious.
Kama mimi kwani nipo serious kiasi cha userious.
Nanimwanadada ninayejitambua nanina hitaji chaguo jema.
Kama upo serious unajua huu ndio muda wako sahihi wakuwa nafamilia njoo tuyajengee.
Nipo northzone.
Vp namba ya simu
 
Nipo northzone.[/QUOT
Una hela, ( namaanisha una nauli??)
 
Mimi natafuta mwanamke wa kudanga uko tayari??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom