Recent content by my country 1969

  1. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, Kamanda Sirro, Mwakyembe na Mrisho Gambo, kesho mtakuwa wageni wa nani?

    Wakumbuke huyo mwajiri wao ana kinga ya kutofika kwa pilato mara baada ya madaraka kwisha, na wao wana kinga?
  2. M

    JamiiForums Tanzania StarTV wasaliti agizo la Chama cha Wandishi wa Habari

    Mnashangaa nini? mnataka wawe tofauti na home boy? mmesahau kipindi cha uchaguzi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kutegemea makongamano ni fedheha kubwa

    Walikuaga wanategemea mikutano ya hadhara.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama wasemaji wa sasa wa CHADEMA ni Lowassa na Makongoro Mahanga

    Sasa umesha juwa?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe Umehusika kwa kiasi kikubwa kufutika kwa CHADEMA nchini

    Uko usingiiziini cdm imefutika? Ruhusuni kukutanika
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio jambazi wa magari Dsm,walioibiwa wafike kituo cha Polisi Mbezi Luis

    Sasa mbona wamependeza hivyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Benson Bana: Rais alishauriwa vibaya kuhusu waliogushi vyeti

    Sasa Dr ashauriwe na nani? Si anasema hapangiwi cha kufanya. Halafu anataka aombewe mamlaka ya urais yasije yakampa kiburi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Fuatialia vya Bashite kwanza?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Umbea tu yanawahusu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Hivi wapo binadamu wanakosa aibu kwa kiwango hiki? siwaonei huruma hao wote waliofukuzwa lakini lakini mnapata wapi ujasiri waku waacha wengine kwa sababu yoyote ile? Huo ujasiri sio wa binadamu, binadamu huwa na aibu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Harakati za Makonda kwa Bongo movie ni batili na za kujitafutia umaarufu

    Steve hebu geuka nyuma naona NOAH nyeusi inakufuatilia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tumemuondoa Bi. Awa Dabo wa UNDP kwa kutokuwa na Maelewano na watendaji ofisini kwake

    Ukweli huwa haufichiki tutajuwa tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela kumwambia Hashim Rungwe anaropoka, ni kumkosea adabu

    Huyu jamani ni shiiidaaa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Komandoo Salmin Amour?

    Nyie watu maneno huwa mnatoaga wapi? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  15. M

    JamiiForums Tanzania Magari yaliyotumika kuvamia mkutano wa CUF ya Maalim Seif yakutwa ofisi za CUF Buguruni yameegeshwa

    Mkuu ile dozi ya wahuni wa chadema itakuwa kutwa mara moja 1×1 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Back
Top Bottom