Bahimba
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 510
- 346
Natazama kipindi cha dk 45, Sam Mahela anamhoji Mh Hashim Rungwe ITV.
Mh Rungwe alikua anaeleza mtazamo wake juu ya vipaumbele vya serikali kwa sasa, na akatoa mawazo yake kama yeye angepata bahati ya kwenda Ikulu, lakini cha kushangaza Sam Mahela akamwambia Mh Rungwe kua anauhakika na anachokoongea au ANAROPOKA TU'
Kiukweli sikitendo cha kiungwana kumwambia mh Rungwe anaropoka, kakosa neno jingine la kumwambia mpaka atamke neno kali namna hiyo.

Mimi nimeiona na hakika imeniuma sana.Mtoto mdogo kama yule kumwambia mtu mzima' anaropoka tu ' ni utovu mkubwa sana wa adabu.Hayo ndiyo malezi ya vijana wetu tuliowasomesha kwa kodi zetu.