Siasa zimepata mkunaji sasa. Wasemaji wanaoonekana kwenye vyombo vya habari ni hao. Wanazungumza kwa niaba ya upinzani wote. Hivi najiuliza Tanzania tuna upinzani kweli au masihara. Halafu eti tuwasindikize waende Ikulu hawa.
Kiukweli kabisa hata Mungu atatuadhibu vibaya sana. Haiwezekani hawa walioishi mpaka kuzeekea ndani ya chama tawala eti leo wanataka mabadiliko. Yapi hayo! Wamepata akili mpya kutoka wapi!.
Wajameni tusije tukaacha mbachao kwa msala upitao.