Steve Nyerere: Harakati za Makonda kwa Bongo movie ni batili na za kujitafutia umaarufu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Steve Nyerere amedai kuwa kupigania Bongo movie dhidi ya maharamia wa filamu feki ni batili na za kujitafutia umaarufu kwa kuwa hilo ni suala la kitaifa linalotakiwa kuratibiwa nchi nzima na wakuu wote wa mikoa na polisi na sio Dar tu kwa kuwa vitu vingi vinavyovyoanzishwa hapa Dar vinafeli,
Pia alisema pia Makonda aliwaita watu watano, na tasnia ya filamu haiongozwi na watu hao
 
Bashite anajaribu kila hali ingalau aandikwe kwenye ukurasa wa ndani
 
Bibi na bwana wakigombana nyumbani, waache wenyewe mpaka wakaelewana, lakini ukiwaingilia eeeh, wakipana utabaki na nani eee .......naimba tu
 
Steve Nyerere amedai kuwa kupigania Bongo movie dhidi ya maharamia wa filamu feki ni batili na za kujitafutia umaarufu kwa kuwa hilo ni suala la kitaifa linalotakiwa kuratibiwa nchi nzima na wakuu wote wa mikoa na polisi na sio Dar tu kwa kuwa vitu vingi vinavyovyoanzishwa hapa Dar vinafeli,
Pia alisema pia Makonda aliwaita watu watano, na tasnia ya filamu haiongozwi na watu hao

Huyu naye. Makonda kafanya katika eneo lake kwa kuwa ni tatizo. Hao wengine nao watafanya endapo litakuwa ni tatizo huko kwao.
 
Maskini bashite pamoja na kufanya yote hayo ili atoke fent ford ila waandishi wamekaza tunaishia kuona post za kuzomewa na tunamsikia tu wa wasanii wachache wanaompa kiki za kipumbavu
 
Huyu naye keshaanza ubwege. Makonda kafanya katika eneo lake kwa kuwa ni tatizo. Hao wengine nao watafanya endapo litakuwa ni tatizo huko kwao.
Mkoa kama Mbeya uwaletee sheria za ajabu ajabu unatafuta vurugu na wamachinga ? macho ni ya kwetu,hela ni zetu hakuna wa kutupangia ninunue filamu gani
 
Back
Top Bottom