CHADEMA kutegemea makongamano ni fedheha kubwa

Gangongine

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,854
Reaction score
1,776
Jana amesikika sijui ni msemaji wa CDM akitoa machozi kuhusu kuahirishwa kwa Kongamano la walichokiita Demokrasia ambayo ndio walidhani watafufukia. Bahati mbaya hali yao ikawa mbaya baada ya Kongamano kutofanyika.

Eti huyo mtu anajifanya kukosoa wakati alikuwepo Serikalini miaka 30+ na yeye ni sehemu ya hayo anayoyaita matatizo mzee mnafiki sana yule.

Anajidai kukosoa sababu tu ya uroho wa madaraka, Katiba mpya iliandaliwa likiwa huko CCM anakoponda na bado inamuamini tu. Ajabu ni kwamba kila analosema yeye alikuwa muasisi wa hilo maana alikuwa huko muda mwingi.

Ataishia kunawa tu. Kula asahau kabisa.
 
Jana amesikika sijui ni msemaji wa CDM akitoa machozi kuhusu kuahirishwa kwa Kongamano la walichokiita Demokrasia amvako ndio walidhani watafufukia. Bahati mbaya hali yao ikawa mbaya baada ya Kongamano kutofanyika!
Eti huyo MTU anajifanya kukosoa wakati alikuwepo Serikalini miaka 30+ na yeye ni sehemu ya hayo anayoyaita matatizo. Zee nafiki sana lile?
Linajidai kukosoa sababu tu ya uroho wa madaraka! Katiba mpya iliandaliwa likiwa huko CCM anakoponda na misukule bado inamuamini tu! Ajabu ni kwamba kila analosema yeye alikuwa muasisi wa hilo maana alikuwa huko muda mwingi!
Ataishia kunawa tu. Kula asahau kabisaaaaa!
Naona umejitoaufahamu je cdm ni wananchi wa wapi wa Rwanda nini
 
Jana amesikika sijui ni msemaji wa CDM akitoa machozi kuhusu kuahirishwa kwa Kongamano la walichokiita Demokrasia amvako ndio walidhani watafufukia. Bahati mbaya hali yao ikawa mbaya baada ya Kongamano kutofanyika!
Eti huyo MTU anajifanya kukosoa wakati alikuwepo Serikalini miaka 30+ na yeye ni sehemu ya hayo anayoyaita matatizo. Zee nafiki sana lile?
Linajidai kukosoa sababu tu ya uroho wa madaraka! Katiba mpya iliandaliwa likiwa huko CCM anakoponda na misukule bado inamuamini tu! Ajabu ni kwamba kila analosema yeye alikuwa muasisi wa hilo maana alikuwa huko muda mwingi!
Ataishia kunawa tu. Kula asahau kabisaaaaa!
Kwa akili hizi ...!! Tanzania tutachelewa sana tutabakia kuwa wasindikizaji tu katika hii dunia.
 
Hata hicho chama chako kinajifilisi kwa kutofanya mikutano ili kuongea na wananchi...
 
Kwani ktk hayo makungamano hakuna raia kama wapo, ndo sehemu ya kufikisha ujumbe. Na hilo Kongamano mlilozui lisifanyike hayo ni matunda ya uoga mlionao kuhusu hayahaya makungamano mnayosema hayana faida kwa chama. Sasa kama hayana faida kwa nini mmezuia
 
Jana amesikika sijui ni msemaji wa CDM akitoa machozi kuhusu kuahirishwa kwa Kongamano la walichokiita Demokrasia amvako ndio walidhani watafufukia. Bahati mbaya hali yao ikawa mbaya baada ya Kongamano kutofanyika!
Eti huyo MTU anajifanya kukosoa wakati alikuwepo Serikalini miaka 30+ na yeye ni sehemu ya hayo anayoyaita matatizo. Zee nafiki sana lile?
Linajidai kukosoa sababu tu ya uroho wa madaraka! Katiba mpya iliandaliwa likiwa huko CCM anakoponda na misukule bado inamuamini tu! Ajabu ni kwamba kila analosema yeye alikuwa muasisi wa hilo maana alikuwa huko muda mwingi!
Ataishia kunawa tu. Kula asahau kabisaaaaa!
Huyo mzee ambaye siku hizi ni "mwanademokrasia" si ndo yule alituhumiwa kukimbia na sanduku la kura kwapani au?
 
Jana amesikika sijui ni msemaji wa CDM akitoa machozi kuhusu kuahirishwa kwa Kongamano la walichokiita Demokrasia amvako ndio walidhani watafufukia. Bahati mbaya hali yao ikawa mbaya baada ya Kongamano kutofanyika!
Eti huyo MTU anajifanya kukosoa wakati alikuwepo Serikalini miaka 30+ na yeye ni sehemu ya hayo anayoyaita matatizo. Zee nafiki sana lile?
Linajidai kukosoa sababu tu ya uroho wa madaraka! Katiba mpya iliandaliwa likiwa huko CCM anakoponda na misukule bado inamuamini tu! Ajabu ni kwamba kila analosema yeye alikuwa muasisi wa hilo maana alikuwa huko muda mwingi!
Ataishia kunawa tu. Kula asahau kabisaaaaa!
Kumbuka mwenyekiti wako alisema hatawaangusha wanyonge Leo kawa mbabe hakuna mfano, wewe huwezi ona chochote sababu ni mpiga vigeregere!
 
Jana amesikika sijui ni msemaji wa CDM akitoa machozi kuhusu kuahirishwa kwa Kongamano la walichokiita Demokrasia amvako ndio walidhani watafufukia. Bahati mbaya hali yao ikawa mbaya baada ya Kongamano kutofanyika!
Eti huyo MTU anajifanya kukosoa wakati alikuwepo Serikalini miaka 30+ na yeye ni sehemu ya hayo anayoyaita matatizo. Zee nafiki sana lile?
Linajidai kukosoa sababu tu ya uroho wa madaraka! Katiba mpya iliandaliwa likiwa huko CCM anakoponda na misukule bado inamuamini tu! Ajabu ni kwamba kila analosema yeye alikuwa muasisi wa hilo maana alikuwa huko muda mwingi!
Ataishia kunawa tu. Kula asahau kabisaaaaa!
Chadema start from the grassroots, go to the villages build up your base from them you will see progress
 
Back
Top Bottom