Paul Makonda, Kamanda Sirro, Mwakyembe na Mrisho Gambo, kesho mtakuwa wageni wa nani? | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paul Makonda, Kamanda Sirro, Mwakyembe na Mrisho Gambo, kesho mtakuwa wageni wa nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwingereza, May 19, 2017.

 1. M

  Mwingereza JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Jan 21, 2014
  Messages: 689
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 180
  Hawa Jamaa watatu wamejitoa fahamu na sasa wanapambana na wananchi. Wamejiona wao ndio wao katika nafasi zao. Wanafanya kila kitu kinyume na maadili ya ubinadamu na taaluma zao.

  Wanalaumiwa kwa kila baya. Hawa viongozi wanajisahau kwamba kabla ya kupata hizo nafasi, zilishikiliwa na watu wengine ambao leo tuneo uraiani. Mrisho Gambo na Makonda bado vijana, lakini kwa macho ya wengi, wamejipaka vinyesi kutokana na matendo yao ya uonevu mbele ya Umma

  Mwakyembe anatamka vitu vya ajabu ambavyo vinadhalilisha usomi wake. Kamanda Siro naye badala ya kusimamia haki, anasimamia ushabiki, siasa na ukereketwa wa Chama tawala. Kamanda Siro, kabla yako alikuwepo Suleiman Kova, leo yuku mtaani. Kitendo cha kutetea polisi aliyefanya ujinga mbele ya umma dhidi ya Adam malim ni mbegu za chuki ambazo utakuja kuzivuna. Nachojiuliza je mtavuna nini kwenye hizi mbegu mnazozipanda?
   
 2. No Escape

  No Escape JF-Expert Member

  #81
  May 20, 2017
  Joined: Mar 7, 2016
  Messages: 4,572
  Likes Received: 4,229
  Trophy Points: 280
  Pigeni kazi makamanda! Hizi kelele za chura Tu,wamewachagua wenyewe haya ni mapito Tu.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #82
  May 20, 2017
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,127
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  Km hao vijana wawili ndo wa kuonea huruma kabisa. Vyeo vyenyewe vyw kisiasa?
   
 4. m

  my country 1969 Member

  #83
  May 20, 2017
  Joined: Apr 15, 2017
  Messages: 29
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  Wakumbuke huyo mwajiri wao ana kinga ya kutofika kwa pilato mara baada ya madaraka kwisha, na wao wana kinga?
   
 5. Umba Tuku

  Umba Tuku JF-Expert Member

  #84
  May 20, 2017
  Joined: Feb 4, 2017
  Messages: 2,130
  Likes Received: 1,233
  Trophy Points: 280
  Vya mpito naskia nao skuiz wanajidai hawazoeleki muda wowote anaweza kukubadilikia asee :(
   
 6. Planett

  Planett JF-Expert Member

  #85
  May 20, 2017
  Joined: Mar 20, 2014
  Messages: 4,214
  Likes Received: 3,832
  Trophy Points: 280
  wamesahau kuwa ipo siku magufuli atamaliza uongozi wake huku wao wakiwa bado ni vijana kabisa, wanatema BI G kwa karanga za kuonjeshwa
   
 7. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #86
  May 20, 2017
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,774
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  Nyani
   
 8. edwin george

  edwin george JF-Expert Member

  #87
  May 20, 2017
  Joined: Aug 19, 2016
  Messages: 1,061
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Kuna mmoja nae anaitwa tulia akson ningekuwa mbunge ungekuta washanifunga au wameniteka huwa anajitoa ufaham sasa angekutana na wazimu mwenzake
   
 9. Mavipunda

  Mavipunda JF-Expert Member

  #88
  May 20, 2017
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,545
  Likes Received: 3,386
  Trophy Points: 280
  Kova sasa hivi analalamika jamii haimsaidii
   
 10. xplastaz

  xplastaz JF-Expert Member

  #89
  May 20, 2017
  Joined: Apr 22, 2017
  Messages: 428
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Haimsaidii nin, mwenye pesa sio mwenzako mkuu
   
 11. Zjilala

  Zjilala JF-Expert Member

  #90
  May 20, 2017
  Joined: Jun 17, 2013
  Messages: 229
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 60
  Mtoa mada naamini hata wewe ukipewa nafasi ya sirro au mwakyembe utatugeuka tu ndio majukumu ya kazi na siku zote ukifuata sheria lazima uwe na maadui wengi
   
 12. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #91
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 5,953
  Likes Received: 4,377
  Trophy Points: 280
  The Hague inawasubiria hasa Mrisho Gambo amekuwa akivunja haki za binadamu kwa kuwaonea watu kuwaweka ndani kisha kuwalisha slow poison waje kufa baadae huko makwao, uonevu waliofanyiwa viongozi wa Dini pamoja na meya wa Arusha hautakaa usahaulike milele.
   
 13. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #92
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 5,953
  Likes Received: 4,377
  Trophy Points: 280
  Daud Bashite yy anaamini kuwa na utitiri wa waganga wa kienyeji, BAKWATA na baadhi ya viongozi wa Dini ni kinga kwake huku Mrisho gambo yy akijua ataenda kuishi mwezini pindi akitoka hapo Arusha
   
 14. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #93
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 5,953
  Likes Received: 4,377
  Trophy Points: 280
  wanaamini kuwa waganga wa kienyeji watawalinda milele hususani Daud Bashite yy ni muumini mkubwa wa ushirikina anaenda mpaka uarabuni kusaka ndumba za kila Aina.
   
 15. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #94
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 5,953
  Likes Received: 4,377
  Trophy Points: 280
  vijana wenyewe sasa wamekuwa vigagula wanaamini waganga wa kienyeji ndiyo watawalinda milele, kwa Mfano Daud Bashite anamiliki zaidi ya waganga 100 pesa anayotumia kuwalipa wawe busy kumlinda ingeweza kujenga viwanda kadhaa kolomije nk
   
 16. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #95
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 5,953
  Likes Received: 4,377
  Trophy Points: 280
  kuwabambikia watu kesi, kufoji vyeti ni kufuata sheria? huko Arusha watoa rambirambi wapo jela ni sheria gani inazuia kuwahani wafiwa? au wakuu wa mikoa wanamiliki sheria zao binafsi?
   
 17. R

  Rutorial k JF-Expert Member

  #96
  May 20, 2017
  Joined: Jun 8, 2014
  Messages: 766
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 80
  Hivi hajawahi kupiga simu tena clouds? Nasikitika kuzaliwa usukumani!!
   
 18. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #97
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 5,953
  Likes Received: 4,377
  Trophy Points: 280
  mwenye pesa si mwenzako yupi? Mbona Daud Bashite alijitoa fahamu akawabambikia kesi wenye pesa akina Manji, Gwajma na wengineo na sasa Mrisho Gambo kawabambikia kesi meya na viongozi wa Dini? Mwenye pesa yupo unamuongelea? Manji na Daud Bashite nani mwenye pesa zaidi?
   
 19. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #98
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 5,953
  Likes Received: 4,377
  Trophy Points: 280
  Wapo busy na ndumba mpaka watanzania wasahau madhambi yao.
   
 20. ikipendaroho

  ikipendaroho JF-Expert Member

  #99
  May 20, 2017
  Joined: Jul 26, 2015
  Messages: 1,494
  Likes Received: 938
  Trophy Points: 280
  Jamaa anachuki sana na Wazanzibar kwa ujumla. Na hapa hakuwa na nia ya kuisifia serikali ya Zanzibar bali ni mtu binafsi, ambaye ni Mndengereko, kama ulivyoona.
   
 21. Mbugusege

  Mbugusege Member

  #100
  May 20, 2017
  Joined: Mar 28, 2017
  Messages: 35
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Hapo kwa Siro ndo ulipojichanga, wala hujui unachokizungumza kuhusu kamanda ni heri ungemtoa kwenye hilo kundi kabisaaa
   
Loading...