Recent content by Mwaume

  1. M

    JamiiForums Tanzania DR Congo kuwa na Serikali ya pamoja, viongozi kutoka meengo wa Kabila na Tshisekedi

    Huu sasa ni uhuni, Afrika kupiga kura ni kupoteza muda tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner wa kufanya naye biashara ya ufuta

    Hii siyo kangomba mkuu? isije ikawa shida kama iliyotokea kwenye korosho
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha :Dkt Mengi kuzikwa kando ya kaburi la mwanae, wazazi wake

    Nitapata wapi kitabu chake cha I CAN I MUST?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha :Dkt Mengi kuzikwa kando ya kaburi la mwanae, wazazi wake

    Tutamuenzi kwa kuiga mazuri yake kwa upendo wapekee kwa watu wote bila kujali kabila dini wala hali ya mtu. Ailaze roho yake mahala pema peponi amina.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Umeongea vizuri mkuu , tuna mazwazwa wengi humu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake

    Asante kwa kuweka kumbukumbu vizuri, kama mtu huna taarifa sahihi usipotoshe.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti?

    Hata mie visiki Hata mie visiki vinanisumbua sana, siyo rahisi kung'oa visiki kwa kuchimba kimoja kimoja hasa kwa shamba kubwa, bila shaka uzi huu utanisaidia pia. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti?

    Ha ha ha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Azindua Kiwanda Cha Kuchakata Muhogo

    Wakuu habari za jioni. Leo tarehe 22 Machi 2019 kwenye taarifa ya habari ya saa kumi jioni nimemuona Waziri Mkuu akizindua kiwanda cha kuchakata muhogo. Nafikiri hii ni fursa nzuri kwa wakulima wa zao hili kwa Mkoa wa Tanga na mikoa ya jirani. Nami sitaki fursa hii inipite hivyo naomba mwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Leo nimemuona Waziri Mkuu akizindua kiwanda cha kuchakata Muhogo Mkoani Tanga, nafikiri ni fursa nzuri kwa wakulima wa Muhogo. Nami sipendi fursa hii inipite, mwenye taarifa kuhusu mpango huu anijuze tafadhali, hasa taarifa za upatikanaji wa mashamba, ulimaji, mbegu, nk. Sent using Jamii...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Uongozi wa Bunge yakutana Kwa Dharura

    Tutaendelea kuibiwa tu, maana kila kinachofanywa na serikali kiwe kizuri kibaya wao huwa no kupongeza tu. Kama binge lisingekuwa data upepo tusingekuwa hapa leo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mihimili mitatu ya Dola na mwingiliano unaokanganya

    Siasa tu, serikali ndo kila kitu hasa kwetu hapa maana hata Jaji Mkuu anateuliwa na Rais
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaomba kuchukua anga la Tanzania

    Mambo ya nchi hayahitaji mzaha. Akipewa Kagame atakae kuja siyo Kagame tena
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

    Siyo kuwa wasio na magari wote waliyataka wakakosa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

    Kumbe mnapaka siyo matako tu bali hadi matakoni[emoji15] [emoji15]
Back
Top Bottom