Je, kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti?

Mr.genius

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,037
Points
2,000
Mr.genius

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2012
1,037 2,000
Coolant

Coolant

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Messages
689
Points
1,000
Coolant

Coolant

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2015
689 1,000
Fanya hivi, chukua maji yawekee chumvi then loweka misumari ya 5" au 6" kwa usiku mzima, kesho yake gonga msumari mmoja kwenye kila kisiki vitakauka na kuoza kwa muda mfupi sana.
 
May Day

May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
1,445
Points
2,000
May Day

May Day

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
1,445 2,000
Fanya hivi, chukua maji yawekee chumvi then loweka misumari ya 5" au 6" kwa usiku mzima, kesho yake gonga msumari mmoja kwenye kila kisiki vitakauka na kuoza kwa muda mfupi sana.
Hii njia inafanya kazi Mkuu?

Pia nimeambiwa hata maji ya betri ukimwagia kuzunguka kisiki kina rest in peace.
 
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Messages
725
Points
1,000
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2013
725 1,000
Dawa ya kisiki ni kuking'oa kwa jembe au kukiwasha moto
 
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
2,132
Points
1,500
Narubongo

Narubongo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
2,132 1,500
Hii njia inafanya kazi Mkuu?

Pia nimeambiwa hata maji ya betri ukimwagia kuzunguka kisiki kina rest in peace.
Maji ya betri yana athari za muda mrefu ardhini, achana kabisa kutumia kemikali yoyote kuua kisiki au magugu. Hata chumvi si nzuri ikizidi ardhini

Njia rahisi ni kupalua magome ya mti ubaki nyama tu utakauka taratibu na baadae kubaki kuni, pia kupigilia misumari ya 5" 6" inasaidia kuua mti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
6,051
Points
2,000
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
6,051 2,000
Maji ya betri yana athari za muda mrefu ardhini, achana kabisa kutumia kemikali yoyote kuua kisiki au magugu. Hata chumvi si nzuri ikizidi ardhini

Njia rahisi ni kupalua magome ya mti ubaki nyama tu utakauka taratibu na baadae kubaki kuni, pia kupigilia misumari ya 5" 6" inasaidia kuua mti

Sent using Jamii Forums mobile app
Inachukua muda gani mpaka kuua na kukauka kabisa mkuu...?
 
rommy shabby

rommy shabby

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2017
Messages
282
Points
250
rommy shabby

rommy shabby

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2017
282 250
Samahani kwa kuingilia uzi wako mm nauliza dawa gani ya kupiga kwenye nyasi ili zikauke baadae nizichome moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mwaume

Senior Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
113
Points
225
M

Mwaume

Senior Member
Joined Sep 10, 2014
113 225
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,508
Points
2,000
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,508 2,000
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
6,803
Points
2,000
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
6,803 2,000
Habari wana JF. Naomba kujua kama kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti baada ya kukata miti shambani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiitumie acha vioze vyenyewe, hizo dawa ni sumu kwenye udongo na zinaweza kusababisha udongo kukosa rutuba au kuwa na wadudu ambao wanaweza kushambulia mazao yako.
 
Forum statistics

Threads 1,315,048
Members 505,132
Posts 31,846,361
Top