Kwani Nyerere na viongozi wenzake walivyopigania uhuru walihusika vipi na mambo ya mwaka 2023 na kuendelea mbele? Uongozi ni vision. Acha kelele. Muache mama apige kazi.
Masuala ya njaa yanaelezeka kibaiolojia. Lakini kabla hatujaiwaza njaa tuwaze huyu aliyetuumba mpka tukawa tunafunction namna hii yuko wapi? Alikuwa wapi? Aliketi wapi? Na alisimama wapi wakati anaumba yote yaliyopo ulimwenguni. Hilo ndio swali mku. Elewa swali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.