Kwa aina za Mahakama Tanzania sitoshangaa Mke wa Bilionea Msuya akiachiwa huru. Ni nani muuaji wa dada wa Msuya?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,044
71,288
OK Mtamwachia sasa, huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?

Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa uhalali wa Jinai.

Ifike Mahali Madhaifu ya Jeshi la Polisi, yasiondoe uhalali wa Jinai ya mtu.

Licha ya J4 kuua na kufungwa Jela , mlimuachia, Sijui yalikua ni madhaifu ya SHERIA zetu au yalifanyika Makubaliano ya wanaundugu.

Kama kweli Makubaliano ya wanaundugu yanatosha kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE.

Serikali ,Mahakama, hazipaswi kua sehem ya mapatanisho katika Suala la Jinai ,wajibu wa Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola, wajibu wa Mahakama ni kuhakikisha Haki ya mtu aliye hai au aliyekwisha kua Marehem haipotei.

Katika hali ya kawaida kabisaa, Dada wa Bilionea Msuya huyu aliuawawa, na motive iliyokua nyuma ya mauaji hayo, ni MALI za Bilionea Msuya. Ndio sababu Kifo Cha Bilionea Msuya, kinakuja kusababisha Kifo Cha Dada yake Msuya.

Wauaji mnawaachiaz ila mnafunga watu miaka mitano kisa wamekoswa kulipa Faini ya Laki tatu?

Mhukumuni huyo mwanamke, Kunyongwa Hadi kufa.

Pia Soma; Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake
 
OK Mtamwachia sasa , Huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?

Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa uhalali wa Jinai.

Ifike Mahali Madhaifu ya Jeshi la Polisi , yasiondoe uhalali wa Jinai ya mtu.

Licha ya J4 kuua na kufungwa Jela , mlimuachia , Sijui yalikua ni madhaifu ya SHERIA zetu au yalifanyika Makubaliano ya wanaundugu.

Kama kweli Makubaliano ya wanaundugu yanatosha kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE !!.

Serikali ,Mahakama, hazipaswi kua sehem ya mapatanisho katika Suala la Jinai ,wajibu wa Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola, wajibu wa Mahakama ni kuhakikisha Haki ya mtu aliye hai au aliyekwisha kua Marehem haipotei.

Katika hali ya kawaida kabisaa, Dada wa Bilionea Msuya huyu aliuawawa, na motive iliyokua nyuma ya mauaji hayo, ni MALI za Bilionea Msuya !!. Ndio sababu Kifo Cha Bilionea Msuya, kinakuja kusababisha Kifo Cha Dada yake Msuya.

Wauaji mnawaachiaz ila mnafunga watu miaka mitano kisa wamekoswa kulipa Faini ya Laki tatu??.

Mhukumuni huyo mwanamke, Kunyongwa Hadi kufa.
Kaka kwani nani alifanya mauaji?
 
SHeria zetu ni kuwafunga masikini Na ku was control!sio kwa ajili ya matajiri!!

Na
 
Kesi ya mauaji inahitaji ushahidi kamili usio na shaka huo ushahidi ukikosekana kama hamna mtu aliemshuhudia kwa macho yake akitekeleza mauaji ujue mwisho wa siku akipambana atatoka tu wauaji wazoefu wanajua kuharibu ushahidi
 
OK Mtamwachia sasa , Huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?

Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa uhalali wa Jinai.

Ifike Mahali Madhaifu ya Jeshi la Polisi , yasiondoe uhalali wa Jinai ya mtu.

Licha ya J4 kuua na kufungwa Jela , mlimuachia , Sijui yalikua ni madhaifu ya SHERIA zetu au yalifanyika Makubaliano ya wanaundugu.

Kama kweli Makubaliano ya wanaundugu yanatosha kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE !!.

Serikali ,Mahakama, hazipaswi kua sehem ya mapatanisho katika Suala la Jinai ,wajibu wa Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola, wajibu wa Mahakama ni kuhakikisha Haki ya mtu aliye hai au aliyekwisha kua Marehem haipotei.

Katika hali ya kawaida kabisaa, Dada wa Bilionea Msuya huyu aliuawawa, na motive iliyokua nyuma ya mauaji hayo, ni MALI za Bilionea Msuya !!. Ndio sababu Kifo Cha Bilionea Msuya, kinakuja kusababisha Kifo Cha Dada yake Msuya.

Wauaji mnawaachiaz ila mnafunga watu miaka mitano kisa wamekoswa kulipa Faini ya Laki tatu??.

Mhukumuni huyo mwanamke, Kunyongwa Hadi kufa.
Mkuu wewe Ni Mwana familia ee!??
 
Hivi msuya Mali zake alizipataje?
Historia yake enzi akiwa hai ilikuwaje?
Na kwenye biashara alikuwaje???

Ova
ubabe ubabe tu, ilikuwa ukienda ofisini kwake na jiwe akikupa ofa ukaikataa ukiondoka anatuma vijana wake wanakupora hilo jiwe na huna pa kwenda, askari wote wakubwa arusha na manyara walikuwa mfukoni mwake, kwa uchache tu ila kuna mengine mengi sana ya kuogofya sana.
 
OK Mtamwachia sasa , Huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?

Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa uhalali wa Jinai.

Ifike Mahali Madhaifu ya Jeshi la Polisi , yasiondoe uhalali wa Jinai ya mtu.

Licha ya J4 kuua na kufungwa Jela , mlimuachia , Sijui yalikua ni madhaifu ya SHERIA zetu au yalifanyika Makubaliano ya wanaundugu.

Kama kweli Makubaliano ya wanaundugu yanatosha kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE !!.

Serikali ,Mahakama, hazipaswi kua sehem ya mapatanisho katika Suala la Jinai ,wajibu wa Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola, wajibu wa Mahakama ni kuhakikisha Haki ya mtu aliye hai au aliyekwisha kua Marehem haipotei.

Katika hali ya kawaida kabisaa, Dada wa Bilionea Msuya huyu aliuawawa, na motive iliyokua nyuma ya mauaji hayo, ni MALI za Bilionea Msuya !!. Ndio sababu Kifo Cha Bilionea Msuya, kinakuja kusababisha Kifo Cha Dada yake Msuya.

Wauaji mnawaachiaz ila mnafunga watu miaka mitano kisa wamekoswa kulipa Faini ya Laki tatu??.

Mhukumuni huyo mwanamke, Kunyongwa Hadi kufa.
Tusitegemee kupata haki ktk mahakama hizi
 
Watanzania sio kila kitu unawaachia mahakama kuamua. Waliosoma Cuba washanielewa
 
Back
Top Bottom