Mungu yuko wapi?

Mungu yuko wapi?


Mungu hayupo mbinguni tu bali yeye yupo kila mahali unapopafikiria na usipopafikiria, Yeye ndiye amehodhi (host) kila mahali na hakuna mahali palipomuhodhi (occupy)Yeye. Yeye ni umilele unaojitambua (the conscious eternity) hivyo yeye ni Roho kuu kabisa iliyotangulia na kuumba vitu vyote (The Supreme Spirit).
 
MUNGU YUPO NA HAKIKA TUTALUDI KWAKE.

SOMA hii muhimu Sana Kwa swali lako.

Mimi ni msomi wa Qur'an,biblia,elimu dunia na elimu zingine.naamini UISLAMU na naamini UKRISTO zote ni Dini na Imani ya kumjua mungu na kuishi kama MUNGU alivyotuamrisha kupitia MITUME WAKE.


JIBU LA SWALI.

Kuna jamaa juu hapo ametoa jibu zuri sana(comment),Ila watu wamechukulia simpo Sana, Ila Kwa uwezo wa mungu,VIZAIFU NDIVYO BORA KWAKE NDIPO WANAPO TOKA MASHUJAA WAKE.

"VIZURI HILO SWALI UKAMUULIZA MUNGU MWENYEWE".hili ndilo jibu lililojibiwa katika moja ya comment juu hapo.
NI KWELI KWA MAANA.

BINADAMU NI KIUMBE CHA MUNGU,AMEKUUMBA KWA MFANO WAKE,KAMA ALIVYO UMBA MBUZI KONDOO,MALAIKA NA VINGINE,,HIVYO HAMNA KINGINE TUKIJUACHO ZAIDI YA YEYE ALIVYOTUFUNZA YEYE MUNGU.

ISITOSHE WEWE NI KIUMBE CHA MWISHO YAANI KITU CHA MWISHOKABISA KATIKA UUMBAJI WAKE.

AKAKUPA ELIMU NA CHEO KIKUBWA KUSHINDA VIUMBE VYAKE VINGINE VYOTE.NA AMEKUPA DUNIA UTAWALE.YAANI MARAIKA,WANYAMA,MAJINI,VIUMBE VYA MAJINI ETC

HAYOMENGINE UKIJIULIZA NI SAWA KUJIULIZA ILA NI VITU AMBAVYO ALISHAVIJIBU KATIKA VITABU VYAKE.

NI HAKUNA BINADAMU AJUAYE MUNGU ALIKO TOKA.

BINADAMU ANACHOKIJUA NI KILE ALICHOFUNDISHWA NA MUNGU MUUMBA WAKE BASSS. HAJAWAI KUMUULIZA MUNGU WEWE UMETOKA WAPI WEWE AMEKUUMBA NANI WALA NINI NINI.

MUNGU AMETOKEA WAPI?MUNGU SIJUI KABLA YAKE ALIKUWA NANI?YEYE SIJUI NINI,SIJUI KAZALIWA NA NANI????BRAA BRAA HIZO ATAKUJA KUZIJIBU MWENYEWE KWA MAANA,AMETUAMBIA ALIKUWEPO NA YUKO NA ATAKUWEPO.NA ATAKUJA KUUKUMU ULIMWENGU NA WATU WAKE WATAPATA NAFASI YA KUONANA NAE.

KAMA UTAPATA HIYO NAFASI SIKU HIYO BASI ATAKUJIBU MASWALI YAKO,ILA HAKUNA WA KUJIBU HILO SWALI KWA MAANA SISI TUMEUMBWA NA MUNGU HIVYO ALIKOTOKEA YEYE HAKUNA AJUAYE.

UMEYAJUA JUZI YA WEWE KAMA HUKUTOKANA NA NYANI,UNATAKA KUYAJUA YA MUNGU KAUMBWA NA NANI.

ILA KWA MUJIBU WAKE MUNGU NI HAJAZAA,WALA HAJAZALIWA NA WALA HAFANANISHWI NA KIUMBE CHOCHOTE.

ISHI NA COMANDMENT ZAKE, ISHI KATIKA MIFUMO YAKE.ILI UPATE NAFASI YA KUULIZA SWALI LAKO SIKU YA KUONANA NAE.AKUEPUSHE NA WATU WA SHETANI WA MOTONI....DONE

WATU WA MNARA WA BABELI WANAFANANA NA SWALI LAKO.NDIPO WAKAAMUA KUMFATA MUNGU HUKO HUKO.
 
ISITOSHE WEWE NI KIUMBE CHA MWISHO YAANI KITU CHA MWISHOKABISA KATIKA UUMBAJI WAKE.

Sio kweli kwamba mtu ndie kiumbe wa mwisho kuumbwa na Mungu, moja ya sifa ya Mungu ni uumbaji, sifa hiyo ni ya milele yaani aliumba, anaumba na ataendelea kuumba hata vile tusivyovijua.

AKAKUPA ELIMU NA CHEO KIKUBWA KUSHINDA VIUMBE VYAKE VINGINE VYOTE.NA AMEKUPA DUNIA UTAWALE.YAANI MARAIKA,WANYAMA,MAJINI,VIUMBE VYA MAJINI ETC

Binadamu anaweza kutawala viumbe vilivyomo chini ya mamlaka yake lakini malaika hawapo chini ya mamlaka ya binadamu bali wapo chini ya mamlaka ya Mungu.

NI HAKUNA BINADAMU AJUAYE MUNGU ALIKO TOKA.

Mungu hajatoka mahali popote, Yeye alikuwepo, yupo na atakuwepo, Yeye ni UMILELE unaojitambua.

HAKUNA WA KUJIBU HILO SWALI KWA MAANA SISI TUMEUMBWA NA MUNGU HIVYO ALIKOTOKEA YEYE HAKUNA AJUAYE.

Mungu hajatoka mahali popote, unaposema mahali kumbuka ni Yeye ndiye muumbaji wa mahali sasa utasemaji katoka mahali fulani wakati mahali paliumbwa na Yeye mwenyewe !??, Yeye alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo na hafungwi na mahali, Muda, He is not bound to (space - time), ni binadamu tu ambaye ndiye hufungwa na wakati na mahali ndivyo Mungu alivyoumba hivyo.


ILA KWA MUJIBU WAKE MUNGU NI HAJAZAA,WALA HAJAZALIWA NA WALA HAFANANISHWI NA KIUMBE CHOCHOTE.

Kama Mungu hafanani na kitu chochote mbona umenukuu kauli hii kwamba; Mungu amemuumba mwanadamu kwa mfano wake??!!👇🏻

BINADAMU NI KIUMBE CHA MUNGU,AMEKUUMBA KWA MFANO WAKE,
 
Salaam wanabodi,

Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?

Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.
Ulipo yupo.
 
1. Mola muumba yuko juu ya mbingu ya saba juu ya Arshi(hiki ndiyo kiumbe kikubwa zaidi kati ya viumbe alivyo viumba Mola wetu mlezi) yake chini ya Arshi kuna maji na juu ya Arshi kuna kiti cha enzi amestawi huko.

2. Dunia na ulimwengu ni katika viumbe vya mwishoni mwishoni kuumbwa na Mola ila kiumbe cha mwisho kabisa kuumbwa ni sisi wanadamu.

3. Kwa jinsi alivyo jielezea na alivyoelezewa na mitume wake ni kuwa amestawi huko ila hajajielezea kama ameketi kwa namna gani

4. Kuhusu sayari nyingine hakuna mahali katika vitabu vyake vinaonyesha hilo ila tunafahamu ya kuwa kuna viumbe ameumba ambavyo hatuvijui na vyenyewe viko katila uwili. Kwahiyo kama imethibitika kweli sayari zipo basi nazo zimeumbwa na Mola muumba.

5. Yeye ndiyo amejaalia uhai katika dunia, na si pengine. Kwa upande wangu mimi binafsi siamini kama kuna uhai katika sayari nyingine kama zipo lakini, na kama kungekuwa na uhai basi mitume wangetuambia.

Shukrani.
Hayo umeyatoa wapi na huko ulipoyatoa waliyatoa wapi?
 
Yupo pale mwanadamu asipoweza kufika wala kuchunguza. Ndani ya jua.
 
Hao wa ivooo!! walikuwepo tangu enzi za Yesu na bado wapo na watakuwepo sana tu!! hata Mbinguni walikuwepo sembuse Tanzania aaa? na Duniani ?? cha Msingi ni ujipange km Rais tu ndo maana ya Siasa na UONGOZI!!

kama endapo weye Mkeo tu, unaye lala nae kitanda kimoja, unamzalisha mitoto mingi! km Paka, lkn one day huyo! huyo! anakugeuka mazima kwa kaka jambazi ya kuue upotee mazima, sembuse Rais????!......

Roma Akubali tu, kuwa hana kipaji wala Arts za uongozi hata wa Nyumba yake mwenyewewe ule wa kuishi na wanafiki! ni rahisi sana huyu kumchukulia kale kamke kake, kwa udhaifu km huu! na pia

hiyo ya Mr Roma isitufanye na sisi wooote wajanja wa Bongo, tuwe kama yeye!! ''BIG Noooo!!'' Mama yetu huyu ni kichwa hasa, ameiva sana, akajifunze kwake .....

Roma anashindwa kujua maana ya Siasa ni nini..., Mfano kwa mjibu wa Biblia! Yesu ni Mungu so alimjua Yuda Msaliti vizuri mnoo kuliko alivo jijua yeye huyo Yuda! Pia Yesu angeweza kumuua dakika sifuri, lkn alimpenda sana kuliko woote!!...

Hapo alituachia somo tujifunze kutoka kwake! kuwa hao wanafiki tutaishi nao!! na ndo wazuri ili ufikie Lengo ukifanikiwa kuishi nao, kula nao, baaasi weye ndo Rais kiongozi safi! kama Kikwete alivokuwa!

Wanafiki wako Dunia nzima tena hao ndo wazuriii!! kuliko wanao kusifia sifia! kila siku na kukupenda manake wewe km Rais utabweteka mnoo kuishi kwa kupendwa pendwa!!

kifupi mleta mada na Roma wako huyo hamuna Elements za Uongozi Kabisa!..kauzeni ukwaju ndo size yenu....Maadui wanafiki, vizabizabina! ndiyio Mafuta ya weye Kulisongesha gurudumu kwa mafanikio!

Kamwe huwezi kuongoza na kundi la Malaika tu!! hao wanafiki waende wapi wkt na wao pia wameumbwaaaa na Mungu???!
Kifupi weye na Roma wako huyo mjue kuwa kamwe hamna kipaji cha uongozi! hata wa kuongoza bata!

make bata ukimfuga ataharisha hovyo tu! mpaka sebuleni kwako Hao watu wa hivyo ndo mafuta ya uongozi ulio tukuka! kma Yuda angeshindwa kumsaliti Yesu!! Jamaa asinge paa tungekuwa tunakula naye vihepe hapo kwa Masangati!!

siku nyengine usituletee Mada km hizi unajaza saver Bure tu...Mama!! Rais wetu!! ako kichwa hatare sana yule muonega ivo!! ivo! tu akipita hiviii! Mjisemeee! kimoyo! moyo! wewe na Roma '''Mama yuleeeee!!eeeee!! eeeeee!!''
 
Kwa mujibu wa Biblia Matendo ya Mungu ni Makuu mno na hata huyo Mungu ni Mkuu mno hachunguziki kwa akili za mwanadamu. Pokea alichokupa na kukukirimia Neema yake ukifahamu. Hayo mengine mwachie mwenyewe lakini ni kama una amini Mungu yuko
Hachunguziki kwa akili za kibinadamu, je anachunguzika kwa akili za nani? Muelekeze mtoa mada sasa afahamu. Au nawe ni katika miongoni mwa wasiojua? Maswali yake yapo wazi tu, hayahitaji mzunguko mwingi
 
Kama unajua NJAA inafananaje ! ni nani, iko wapi ilipo basi!! hapo hapo utamjua Mungu unaye taka kumjua kirahisi sana!!
 
Kama unajua NJAA inafananaje ! ni nani, iko wapi ilipo basi!! hapo hapo utamjua Mungu unaye taka kumjua kirahisi sana!!
Masuala ya njaa yanaelezeka kibaiolojia. Lakini kabla hatujaiwaza njaa tuwaze huyu aliyetuumba mpka tukawa tunafunction namna hii yuko wapi? Alikuwa wapi? Aliketi wapi? Na alisimama wapi wakati anaumba yote yaliyopo ulimwenguni. Hilo ndio swali mku. Elewa swali.
 
Back
Top Bottom