Sikia bwana mkubwa sio kama mimi nimekukataza kufanya uchunguzi wa soka la ajira kwa kile unachosomea, issue ni kwamba wewe umetumia kivuli cha mdogo wako kama yeye ndiye anaomba ushauri, mimi nadhani jambo la msingi kama unaomba ushauri au unataka kufahamu kitu fulani, usione shida au aibu...
Watu wengine mnaboa bwana wewe mwenyewe ndio upo first year, unazingizia kuwa mdogo ako ndio anayehitaji ushauri, we si upo UDOM wewe, tena upo block Q room no 45 we soma tu kwa bidii sasa ukianza kufikiria kuwa utaajiriwa au hautaajiriwa ivi utasoma kweli wewe..naona kama utadisco tu, maana...
Udom nimesoma pale kweli pana tatizo kubwa sana ukisaini lazima zipite week tatu, nakumbuka tulipokuwa first year kuna kuna course fulani majina hayakuletwa chuoni daa tulisafa sana. Ila kwa kuwa umesha saini unaweza kuazima pesa kwa mtu aliyepata pesa, nina uhakika ulichelewa kufanya...
Utapata kwani sisi mwaka 2014 tulipokuwa mwaka wa pili kuna watu hawakupewa pesa zao, walifatilia hatimaye kwa mbinde wakapata lakini hapo ukubali kupoteza muda wa masomo na nauli. Kwa sababu jamaa walienda kufatilia pesa zao kwenye ofisi za loan board zilizopo Dar.Ila hawakuwatumia loan ofisa...
Andika vizuri, unaandika kama unakimbizwa bwana, kwani we ndio msemaji wa TAMISEMI?. Hakika nina shaka na elimu yako, kama ajira zisingekwepo sidhani kama taarifa isingekuwa imeshatolewa na wizara husika mpaka muda huu.Hebu tujitahidi kidogo tu! kutokuwa wazushi. Ndio maana kuna watu wengine...
We jamaa una hisa TANESCO nini?. mbona majibu yako ni hovyo kabisa, we unafikiri kila mtu anauwezo wa kuchangia 5,200 kila mwezi!. Usiwe mbinafsi kwa kujiangalia wewe tu, tazama watu wa vijijini je wanauweza wa kuchangia hiyo pesa kila mwezi.
Mpe pole jamaa yetu, kwa sababu sio kwamba kila aliyepata carry over alikuwa hasomi. Ila ukweli ni kwamba hataajiriwa, kwa sababu ukiangalia saiz walimu ni wengi, kwahiyo sidhan kama atapokelewa bila kuwa na vyeti.
Maendeleo gani? anayokufanyia wakati Makambako maji ni shida as if tupo jangwani. Halafu bili ya maji mwisho wa mwezi unaambiwa ulipe kama kawaida mbunge wana ccm mwenyewe ni shahidi...
Kaka mbona hauna huruma na wenzio, uwe unaangalia je mkopo umetolewa kiasi gani!.Maana me naijua adhaa na karaha za chuoni. Angalia vizuri watu wote waliopata mkopo utagundua hawajapata tution fee na pesa ya fpt.. Na ikumbukwe wengi wao wanatoka katika familia masikini, je watalipaje hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.